jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Kila mmoja atakufa kwa wakati wake sio kwa kusema watu afe wewe Kama Nan? Hata shetani mwenye licha ya kutuhumiwa anaua watu laakin bado hajafa, kila Jambo na wakati wake.Una roho ya kuua sana wewe.
Kw hiyo NATO mmemshindwa Putin kwa njia zote za kijeshi,sasa mnaombea TU afe.
Kawashinda Kwa mbinu zote za kimedani na hatimae mmekata tamaa na Sasa mnaombea TU kama suluhu ya matatizo yenu.
Kufa kwa binadamu ni mpango wa Mungu,mnaweza mkaandaa mpango ili Putin afe lkn kama Mungu hajaridhia Putin ataendelea kudunda.
Mfano mmoja ni mwanasiasa mmoja wa nchi Fulani ya Afrika alipigwa risasi kibao lakini hakuna,kwa sababu Mungu alitaka aendelee kuwepo.
Vivyo hivyo na Putin ,akifa Leo basi ujue siku zake zimeisha ,kama vile na wewe zitaisha.
Kubali kataa,Putin ni kiongozi juu ya Viongozi wote wa west na NATO.
Putin is a Great leader in this century.
Nayo mashirika ya ujajusi ya Urusi ni moja ya mashirika Bora kabisa ya ujasusi hapa duniani,kitendo Cha kudili na mashirika yote y ujasusi ya west kwa pamoja na kuweza kuyadhibiti,hiyo sio kazi ndogo.
Kwa Sasa hunantegemeo jingine nje ya vita kumshinda Urusi,zaidi ya kufikiria kumuua ili kushinda vita.
Lakini njama zenu zitakutana na SVR,GRU,FSB na akina Spetsnaz
Huyu anayesema yeye Ni msemaji wa Kremlin?Kwanza unatakiwa kujua kifaa kikifanyiwa Upgrade basi uwa kinakuwa na ubora mwingine.
Marekani wanatumia Abram tank.je ! unajua Abram tank ilitengenezwa mwaka gani.ni tank ya toka miaka ya 70 ila Marekani kaifanyia Upgrade.kwa iyo kama unadharau Upgrade ya T-72, T-80 na T-64 basi unatakiwa udharau n a Abram tank.
Kwa iyo futa kauli yako ya kusema Urusi anapeleka tank chakafu na zisizo na ubora
Kumbe huyu mbabe aliliona hili! Hakika Mwenyezi Mungu kuna watu aliwajaliaLet China sleep, for when she wakes, she will shake the world".
Napoleon Bonaparte
Ukiambiwa utoe ushahidi wa ivyo vifaru 3000 utasemaje?.maana hakuna ushahidi wa kusema Warusi wamepoteza vifaru 3000.Mi uwa sipendi kuongea na mtu habari za kusadikika. Kama unaongelea habari za kusadikika basi utakuwa unapoteza muda wako bure.Kwa nini nifute kauli kama ni kweli??? Je ni ubora uliomaliza vifaru vya Kirusi karibu 3000?
Hapa wataisha wengi. Naona mamluki wa wagner ndio wamekuwa wahanga wa battle ya bakhmut. Wanavunwa hakuna mfano.Vladimir Putin’s troops seek to wrest control of the frontline Donetsk city – with Kyiv’s snipers said to have set up a “killing zone”.
Some 520 Russian troops were killed and wounded in Bakhmut alone in one day’s fighting, Ukraine’s military said, claiming Russia had suffered 2,000 fatalities since Friday – marking some of the deadliest days of the war since the invasion began.
Seeking to replenish its heavy losses, Russian mercenary chief Yevgeny Prigozhin said his Wagner private army had opened recruitment centres in 42 cities – as the UK asserted that the impact of casualties “varies dramatically” across Russian regions.
Losses are more than 30 times higher in many eastern regions than in Moscow, with the capital and St Petersburg “relatively unscathed” while in other places ethnic minorities bear the brunt of the Kremlin’s war, according to Britain’s Ministry of Defence.
“Insulating the better-off and more influential elements of Russian society” is likely a “major consideration”, the ministry said, adding that none of the officials in the two front rows of the audience at Mr Putin’s state of the union speech on 21 February are known to have children in the military.
Russian casualties are believed to have soared by tens of thousands as the fighting centred around Bakhmut in recent months, becoming one of the bloodiest battlegrounds of the entire war as Moscow aims to punch a hole in Ukraine’s defences in a step towards seizing the entire Donbas region.
Moscow’s intensified onslaught in the city was finally making progress but their assault will be difficult to sustain without more significant losses, British military officials said.
Wagner Group units have seized most of eastern Bakhmut, with a river flowing through the city now marking the frontline, according to UK intelligence, with Wagner’s leader Mr Prigozhin claiming his mercenaries were less than a mile from the city’s administrative centre.
Ukrainian servicemen on a BMP-2 tank drive towards the city of Bakhmut on Saturday
(AFP/Getty)
Ukrainian troops and supply lines remain vulnerable to continued Russian attempts to outflank them from the north and south as Wagner mercenaries try to close in on them in a pincer movement, British officials said.
But it will be “highly challenging” for Wagner’s soldiers to push ahead because Ukraine has destroyed key bridges over the river, while Ukrainian sniper fire from fortified buildings further west has made the thin strip of open ground in the city’s centre “a killing zone”.
Meanwhile, Russian military bloggers claimed Moscow’s forces had entered a heavily built-up and fortified metal processing factory in the city’s northwest, the focus on which – as opposed to a “wider encirclement of western Bakhmut” – the US-based Institute for the Study of War assessed could bring a further wave of Russian casualties.
While Russia's defence ministry said that up to 210 Ukrainian soldiers were killed in the broader Donetsk part of the frontline, Kyiv’s ground forces signalled an intention to hold out in Bakhmut, claiming their top officer, Colonel Oleksandr Syrskyi, was personally overseeing “the most important sectors of the front” to deny Moscow a victory.
“It is necessary to gain time to accumulate reserves and start a counter-offensive, which is not far off,” the military cited Mr Syrskyi as saying.
Additional reporting by agencies
=====================
Bakhmut a meat grinder....
Sela Son
''Mainjinia mwitu'' mkuu hili umewapatia kweli kweli,hahahahaa!Unaambiwa west wana 8 sec tu za kureact huu mzigo ukitumwa kwao.. Ni kweli kabisa unavosema kwamba SAM operators wa wanaziona ila hawana cha kufanya maana wakati unawaza cha kufanya mzigo unakuwa tayari umefika. Nakumbuka wakati Putin anaitangazia dunia kuhusu kuwa na hizi siraha west walidai ni propaganda simply kwakuwa wao hawawezi so wasichokiweza maana yake hakiwezekani. Kuna hata maengineer mwitu humu walikuja na theories za mitaani kudiscourage haya mafanikio ya Warusi na kudai hii tech ni kinyume na laws of physics, ila kwa kuwa pro west wengi hapa ni robots sikuwashangaa. Leo west hawana budi kukubaliana na ukweli kwamba hypersonic weapons zipo na Russia ni leader kwenye hii field.View attachment 2547815
Mimi ndio nilielishwa propaganda au ni wewe mkuu...ili kukutoa hizo propaganda ulizolishwa tafta idadi ya silaha za UK na USA ulizolishwa propaganda zilizopelekwa kule NAZI regime, alaf uwaulize maswali kama yule kijana wa marekani alietolewa kwenye mjadala wa mmoja hukohuko marekan, video ya huyo kijana imewekwa hapa na mdau mmoja. Labda kama unasemea silaha zingine ambazo unazijua wewe za Uk na Usa ambazo hazijatangazwa pale Ukra kwa BanderaUnaongea kama mtu aliyelishwa na kushiba propaganda tu... Unafikiri watu wa Ukraine (ni hao wanasimama na kutetea nchi, si wanajeshi wa NATO) hawajui wenyewe kwa nini wako tayari kujitolea hadi kufa? Unamini kweli hadithi wanatumwa na US? Unaamini ni wajinga? Walikuwa chini ya Urusi muda mrefu kama koloni yake, hawataki tena.
Na bado hujaelewa kwamba swali si uwezo wa Putin kubadilisha Ulaya kuwa majivu??? Hii inajulikana tangu miaka mingi. Jambo ambalo ama hujui au hutaki kuelewa au unashindwa kuelewa: hatua hii ingebadilisha Urusi kuwa majivu. Hujaelewa kwamba hata baada London kuwa majivu, roketi za Kiingereza zitabadilisha miji mikubwa ya Urusi kuwa hiyohiyo??
Bila kuhesabu roketi za Marekani???
Labda hujui, nikiona jinsi unavyoandika.
Sawa mkuu nahisi nilisoma stor nyingine ukiachia hii uliyoandika hapa..maana haikua nyambizi moja hilo swala kutokeaNani kakwambia kwamba Submarine ikitaka kuwasiliana na Naval base yake au meli yoyote kwa njia ya radio lazima itoke chini ya bahari - nani??
Haya unayo yasema hapa kama kweli USA ilikuwa determined kumtisha Mrusi nchini Cuba mbona Urusi ilitungua ndege mbili za kisasa zinazo tumika kwenye masuala ya upelelezi na marubani wote wawili kupoteza maisha - kumbukeni ndege type U-2 ni za gharama sana kiziundwa pia zina uwezo wa kuruka juu sana, lakini zilitinguliwa bwana - sasa mbona USA ilikaa kimya bila ya aidha kuivamia Cuba au kushambulia meli za Urusi zilizo kuwa zinatoka na kwenda Cuba kupeleka vifaa, mbona US hakushambulia missiles za Urusi ambazo zilikuwa zimekwishwa wekwa Cuba kwa mashambulizi - swali bado ni: kwa nini USA iliogopa kulipiza kisasi wakati ndege zake mbili zilipo tunguliwa na air defense system za Mrusi nchini Cuba - hizi ni story za kweli na sio za kubuni zinazoletwa hapa kwa ku-copy kutoka kwenye machapisho ya Wikipedia ambazo nyingi ni overly biased 2wards USA, mtu unapaswa kuzisoma kwa umakini sana.
Eti Wamerikani walisha kaa mkao wa kuliwasha sijui kitu gani cha kulipua Submarine iliyo kuwa inaelea juu eti "kufanya mawasiliano: hizi story mnazitoa wapi lakini??
Kwa taarifa yako Submarine hiyo haikuwahi kuelea juu eti inatafuta mawasiliano, ilikwenda zake Urusi bila ya kusimama njiani au kuomba msaada wowote njiani.
Bajeti kubwa ya jeshi au ukubwa wa nchi hauna mashiko kwenye swala la kupigana kivita...na katika kupgana inategemea ww umelenga nini...kwa nionavyo mimi Russia amelenga kuondoa kile kikundi cha wanazi pale jinani na kwake tuu na si kupigana na waukraine..kama mnazi zeleboy anavyowashinikiza wananchi wake..Maustadh mumeboronga kuabudu hili kubwa jinga, limeshindwa kufumua haka kainchi, hebu ona
Hii ilikua ni balaa Mkuu!Russian super-ultrasound Kinzhal missile with a blow speed of 12 Mach (12 times the speed of sound) succeeded in hitting the command, control and communications center of Ukrainians and NATO allies, located at a depth of 120 meters (400 feet) under the ground!.
Mwisho wa kunukuu.
VIDEO
Inasikitisha
Baada Yakuona Mambo Yamekuwa magumu na Hawana Njia yeyote Zaidi ya Kujisalimisha Kwa Wagner
Taarifa zinasema Walikuwa Vijana Wadogo walio Okotwa Mitaani na Kulazimishwa Kupigana Na Urusi Kupenda
Wakiwa Njiani Na Bendera yao Nyeupe Waliuliwa wote na Jeshi la Ukrein bila Ya Huruma!
View attachment 2548338
Aisee,inasikitisha sana!VIDEO
Inasikitisha
Baada Yakuona Mambo Yamekuwa magumu na Hawana Njia yeyote Zaidi ya Kujisalimisha Kwa Wagner
Taarifa zinasema Walikuwa Vijana Wadogo walio Okotwa Mitaani na Kulazimishwa Kupigana Na Urusi Kupenda
Wakiwa Njiani Na Bendera yao Nyeupe Waliuliwa wote na Jeshi la Ukrein bila Ya Huruma!
View attachment 2548338
Yaani Sasa hivi wamebaki TU kuomba Putin afe,utadhani wao hawatakufa.Kila mmoja atakufa kwa wakati wake sio kwa kusema watu afe wewe Kama Nan? Hata shetani mwenye licha ya kutuhumiwa anaua watu laakin bado hajafa, kila Jambo na wakati wake.