Huko kwa magharibi uliposoma na kurudi na gari hamkufundishwa jinsi ya kuandika!?Mkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
Ndiyo maana nikasema labdaMarekani hawezi thubutu kupigana vita na kiduku ......coz anazijua akili zake ......
Marekani atapigana na kina iraq
Sijui kama watu wamekuelewa,hata Mimi nadhani sijakuelewa.Mkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
Mkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
Porojo Zile zile Ujuaji mwiingi Kumbe Zero tuMkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
Wewe si ndiye umesema Putin aliutangazia ulikwengu kuwa ataimaliza Ukraine Kwa wiki Moja?Nimekuambia lete ushahidi unaanza kusema sijui projections!Kwahiyo tumekubaliana hiyo wiki Moja ni projections zako na Wala sio za Putin na hakutangaza popote?Mkuu kwenye issue kama hizi huwa zina projections, wewe kama unaona ni uongo tupe projections zake.