ww kichwani humo kuna maharage![emoji56]Utanielewa siku mwanao wa kiume akichumbiwa na mwanaume mwenzie hapo ndio utaelewa west ni watu wa aina ipi....LAANA WEWE kwa kuwatetea wanaupinde
Naona sikujieleza vizuri, lakini lengo langu lilikuwa ni hilo hilo - ie Zelensky anatumiwa ku-invent excuse za US/NATO kuingia vitani ana kwa ana na Urusi wakiwa na lengo la kuisambaratisha Urusi if possible, wapo radhi hata ku-resort kwenye matumizi ya silaha za Nuclear bila kujali retribution ya Urusi kwa USA itakuwa ya kiwango gani kama silaha za Nuclear zitatumika - kwa bahati mbaya wapo baadhi ya washauri wa kijeshi na kisiasa kwenye Biden Adminstration wenye element za kiwenda wazimu - hawajali chochote zaidi ya kumshinda Kivita Putin/Urusi kwa gharama yoyote hata kama ni kujiingiza kwenye WW3.Yaani mkuu ulivyo andika ni kama Zelensky is an independent person from the West.No, you cannot separate the West from Zelensky,ni kitu kimoja,kwa hiyo Zelensky anacho-bwata ndicho alicho ambiwa na handlers wake the West aseme.Kumbuka kwamba this is an American-Russian war being fought in Ukraine by Ukrainian mercenaries.Europe wamekuwa dragged into the war lakini realistically haiwahusu.Europeans are so dumb.
Kuna watu wanaenda kupigwa spedi za maana hapoRussian Wagner PMC founder Yevgeny Prigozhin still whining about ammunition problems. Prigozhin says all special communication phones were turned off for him in all offices and divisions, and his passes to all decision-making departments were blocked.
Puto tu Biden alitangaza mpka siku ya mapumziko kitaifa kusherekea je angeangusha drone huyo mzee ingekuaje?Watu wanashangilia taifa kubwa kama marekani kupoteza kadrone kamoja tu [emoji16][emoji28][emoji2][emoji23]
Kweli Kuna watu Wana uhaba wa habari njema,[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Itakuwa hio $56 au zaidi maana sio kwa kulalamika kiasi hicho. Yani wameumia kama wametiwa banzi la kende. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mimi nili-suspect under water antenna kwamba ndio ilotumika ku- trigger mines zilizo blast Gas pipelines, haya mambo ya kudai eti sijui boya lililo tupwa na ndege ya Norway ndilo lilihusika ku trigger ulipuzi huo hiyo si kweli hata kidogo.Gazprom found object that looks like antenna near site of Nord Stream blasts - Putin
Mpaka sasa stock ya jeshi haijatumikaKama Russia analeta askari wapya it means wale wa zamani wameshachinjwa au kutiwa vilema, just simple,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji120]Shukrani sana mkuu.Vyombo vya angani vinavyotumia jet fuel vyote vina option ya ku dump fuel hii iliwekwa makusudi in case of malfunctioning chombo kiweze kupunguza uzito na kutua kikiwa chepesi au kupunguza uwezekano wa mlipuko mkubwa wa chombo in case of emergency au crash landing, tukirud kwenye drone kumwagiwa mafuta kuna theory tatu za msingi ambazo zinaweza kuwa sababu
1. Walitaka chombo kilipuke ionekqne ni ajali iliyotokana na itilafu ya moto au kiungue na kufuta anya trace ya recoded data
2. Sababu ya pili inawezekana ni kujaribu ku weaken propela za chombo iwe rahisi kukidondosha
3. Inawezekana pia waliimwagia mafuta iwe rahisi kui locate ikiwa chini na wawe wakwanza kuiokota
SU-27 ingekuwa ime-intercept USA spy Drone in the Gulf of Mexico, hapa ninge elewa kwamba kumbe Warusi ni Wachokozi, sasa inakuwaje ki-drone cha USA kinasafari zaidi za 2500Km kuja kufanya upelelezi kwenye Russian air space kilikiwa kinategemea nini - kwamba kitapokelewa kwa kuzawadiwa hotdog au humberger.
Ignore button itumike tu kwa huyu mamdogo wa West.ww kichwani humo kuna maharage![emoji56]
Hivi mbuzi wanao firana vingungutj wamefundishwa na west???
Usituletee mahaba humu![emoji35][emoji12]
Usifanye dhambi ya ushoga ni kubwa kuliko dhambi nyimgine!
Allah dhambi pekee Asiyo Samehe hii hapa!
[emoji116][emoji116]
إِنَّ اللَّهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا
[ AN-NISAAI - 116 ]
Hakika Mwenyezi Mungu hasamehi kushirikishwa na kitu. Lakini Yeye husamehe yasiyo kuwa hayo kwa amtakaye. Na anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu basi huyo amepotea upotovu wa mbali.
Ipo chuki dhidi ya Russia iliyojengwa kwa muda mrefu sana mkuu.Hii imewafanya viongozi wa Marekani na the West in general waonekane dumb sana na hivyo kufanya decisions irrational na za kijinga sana.Naona sikujieleza vizuri, lakini lengo langu lilikuwa ni hilo hilo - ie Zelensky anatumiwa ku-invent excuse za US/NATO kuingia vitani ana kwa ana na Urusi wakiwa na lengo la kuisambaratisha Urusi if possible, wapo radhi hata ku-resort kwenye matumizi ya silaha za Nuclear bila kujali retribution ya Urusi kwa USA itakuwa ya kiwango gani kama silaha za Nuclear zitatumika - kwa bahati mbaya wapo baadhi ya washauri wa kijeshi na kisiasa kwenye Biden Adminstration wenye element za kiwenda wazimu - hawajali chochote zaidi ya kumshinda Kivita Putin/Urusi kwa gharama yoyote hata ile hata kama kujiingiza kwenye WW3.
Issue siyo gharama au uwingi wa drone....issue ni Kama ifuatavyo: drone ya Marekani imedondoshwa na aligedondosha ni Russia na Marekani hawezi kufanya kitu zaidi ya kulalamika tuWatu wanashangilia taifa kubwa kama marekani kupoteza kadrone kamoja tu [emoji16][emoji28][emoji2][emoji23]
Kweli Kuna watu Wana uhaba wa habari njema,[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mwamba Anauliza Kwani Wamesha Ipata Hiyo Drone yaoView attachment 2552859
"The soldiers of the 93rd Brigade, along with other defenders, are holding back the enemy's fierce pressure there. Due to their work, enemy tanks, infantry fighting vehicles, MLRS and ammunition depots are blown up," Syrskyi said in a Telegram post.
Issue siyo gharama au uwingi wa drone....issue ni Kama ifuatavyo: drone ya Marekani imedondoshwa na aligedondosha ni Russia na Marekani hawezi kufanya kitu zaidi ya kulalamika tu
Milley said the US knows where the drone landed in the Black Sea, and that it is likely four to five thousand feet under the surface, which would make recovery operations "very difficult" for anyone. He said the US does not have any naval surface vessels in the Black Sea at the moment, but that "we'll work up options.""(I)t probably broke up, probably not a lot to recover, frankly," Milley said. "As far as the loss of anything of sensitive intelligence etc., as normal we would take — and we did take — mitigating measures. So we are quite confident that whatever was of value is no longer of value."
"(W)e don't have any ships there, but we do have a lot of allies and friends in the area," he added. "We’ll work through recovery operations, that's US property, and we'll leave it at that at this point."