Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

**** la mama ako na mama ako nae **** la mama ake vile vile,, kipapa wewe,, tushakwambia acha shobo na Quran,,, au kinakuwasha unafosi ukunwe!!!
 
Unadhani watakiri kuwa Ina intelligence value?!?!?!
 

HIMARS chache tu zilibadilisha mkondo wa vita Mrusi akaanza kutoka nduki, je zingetumwa zaidi, na hapo ujue kuna madude mengine zaidi ya HIMARS hayajatumwa, ilikua test tu.
 
Hio Ukraine mwisho wake ni Ukrassia 🤣🤣🤣
Na Zelenkyasipokuwa makini akajitia kuendeleza ujinga wake wa kutaka kiendelea kuitunia misuli Russia kwa kudanganywa /shurutishwa na mabeberu - basi akae akujua kwamba mwisho wa siku Ukraine yote itachukuliwa tena na Russian Federation kama ilivyo kuwa enzi za kisoviet - hasilete matani na Super Power - mkombozi wa Dunia dhidi ya mabeberu.
 
Huyu balozi wa Russia nchini marekani ana mkwara wa hatari, kawapiga Marekani mkwara mkali Sana

🇷🇺⚔️🇺🇸An attack on a Russian aircraft in neutral air space will be a declaration of war, - the Russian ambassador in Washington responded to the threats of senators

“ Intentionally attacking a Russian aircraft in neutral airspace is not just a crime under international law, but also an open declaration of war against the largest nuclear power ,” Anatoly Antonov warned. - An armed clash between Russia and the United States would be radically different from the proxy war that the Americans are waging remotely against us in Ukraine. Is the Capitol ready to expose American citizens and the international community to the risk of all-out nuclear war? Answer, dear senator! "

This is how the ambassador responded to the threats of a number of American parliamentarians, in particular Senator Lindsey Graham, to shoot down Russian aircraft in international airspace if they come close to US military equipment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…