Mkuu kuhusu dai eti "Raia wengi wa Ukraine wanazungumza..." hujaleta ushahidi nani alisema nini, lini na wapi.I am a technical person si zungumzi mambo ya kubuni hapa. Raia wengi wa Ukraine wanazungumza kwamba wao waliona missiles za Urusi kwa macho yao zikivurumishwa na kupiga strategic targets karibu zote bila ya kipangamizi chochote, Mukraine mmoja tena mwanajeshi alisema kama kunamtu anasema eti missile za Urusi zilitunguliwa hiyo si kweli hata kidogo.
The truth of the matter ni kwamba siku ya tukio all Ukrainian air defense systems were redered ineffective ie ziligeuzwa kama toys baada ya Warusi kutanguliza kwanza dummy missiles kwa lengo la kusoma specs za Ukraine air defense systems taarifa hizo zinatumwa in real time kwa missiles za Urusi zinazo fuata nyuma ya Dummy missiles - missiles alisi za Russia zina uwezo wa kuingilia mawasiliano ya uongozaji wa missiles za Ukraine ADS baada ya kuzisoma - ndio maana ADS za Ukraine siku hiyo zilijikuta zinatiwa kiberiti kirahisi.
Mkuu usijali nitakupatia "umpe pole" kwa sasa.NiTAFUTIENI NAMBA YA PUTINI, NATAKA NIMPONGEZE MAANA NI SHUJAA WA DUNIA
Wengine tunajua. My Lai ilikuwa Bucha ya Marekani huko Vietnam . . . .Wangapi humu who knows palitokea nini My lai wakati wa vita ya VietNam??
Mkuu tupo pamoja, ila ni aibu kwa Urusi kuchukua miaka 2 sasa.Endelea tu kukaunti masiku na masaa. Sisi tunachoangalia na kujali maeneo yaliyojitenga na mashoga yalalindwa kwa 100%
Kidume PUTIN amepeleka njaa ulaya, naombea hii vita ichukue miaka minne zaidiMkuu usijali nitakupatia "umpe pole" kwa sasa.
Tangu lini "maeneo" yanajitenga? Watu wanaweza kujitenga,. Ila katika kila uchaguzi huru wakazi wa mikoa yote ya Ukraine walithibitisha wanataka kuwa raia wa Ukraine - hadi Putin alituma aliowahi kuajiri. . .Endelea tu kukaunti masiku na masaa. Sisi tunachoangalia na kujali maeneo yaliyojitenga na mashoga yalalindwa kwa 100%
Nimekupa ushauri tu uache kucheka cheka sio tabia ya kiume. Nimemaliza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila shana na wewe unaitaji ile huduma pendwa ya kilainishi kama ilivyofanyiwa ndege yenu
Weka ushaidiTangu lini "maeneo" yanajitenga? Watu wanaweza kujitenga,. Ila katika kila uchaguzi huru wakazi wa mikoa yote ya Ukraine walithibitisha wanataka kuwa raia wa Ukraine - hadi Putin alituma aliowahi kuajiri. . .
Mbona sisi tulishamaliza ndani ya miezi mitatu tu, sasa kazi ipo kwa NATO, G7, umoja wa ulaya kwenda kugomboa maeneo ya watu waliokataa ushogaMkuu tupo pamoja, ila ni aibu kwa Urusi kuchukua miaka 2 sasa.
Mkuu mbona unaamini propaganda bila kuuliza kama ni kweli? Je una mfano 1 kuhusu watoto chini ya miaka 18 katika jeshi la Ukraine? Sidhani.Uliyoandika lines za mwisho ndiyo ambayo serikali ya Zelensky inafanywa!Inakamata wanaume Kwa nguvu na kuwapeleka Frontline,wamepeleka Hadi vitoto vya chini ya miaka 18!
Su-27 ipo tayari.sema kama unataka umwagiwe mafuta kama ndege yenuNimekupa ushauri tu uache kucheka cheka sio tabia ya kiume. Nimemaliza.
Jielimishe. Matokeo yote ya uchaguzi wa Ukraine yanapatikana online. Kama hujui kutafuta kwenye intaneti, heri upumzike kidogo ukafanye mazoezi kabla ya kurudi.Weka ushaidi
Una nafsi dhaifu Sana...anyway nilitaka nikutukane nikagundua sitakua na tofauti na wewe.Mkuu tatizo lako umempenda zaidi Putin., Putin aliliona hili jambo kuwa ni dogo sana ndio maana akaita SMO na lengo lake ni within 96 dayas atakuwa amemaliza kazi, Leo ni mwaka. 96 days zipo ndani ya One week niliyotaja. Zama kwenye vyazo vya habari utaona.
Mkuu hapa tunapeana elimu na maarifa ya dunia hii, matamshi yasio na staaha na matusi "bichwa lako"hayapendezi na hasa tukiamini sisi sote hatupo kwenye foolish age. Hivi wewe ukiambiwa bichwa lako utafurahi.Wewe inachotakiwa ni kuionea huruma na ukrane maana itaaribiwa vibaya sana na kuijenga tena itachukua muda maana mpaka wakati huo uchumi wa ulaya na marekani utakuwa unapumulia mashine. HIFADHI HII KTK BICHWA LAKO, URUSI HAWEZI KUSHINDWA HII VITA KWA KIVYOVYOTE VILEMkuu
Unaongelea uchaguzi gani?Jielimishe. Matokeo yote ya uchaguzi wa Ukraine yanapatikana online. Kama hujui kutafuta kwenye intaneti, heri upumzike kidogo ukafanye mazoezi kabla ya kurudi.
🤝Mkuu hapa tunapeana elimu na maarifa ya dunia hii, matamshi yasio na staaha na matusi "bichwa lako"hayapendezi na hasa tukiamini sisi sote hatupo kwenye foolish age. Hivi wewe ukiambiwa bichwa lako utafurahi. Kwa mantiki hiyo "tafadhali ukiona hoja zangu humu usichangie. Sikujui bali nakuheshimu.
Mkuu wewe una predict, lakini watu wengine pale wamepata uwanja huru wa kujaribia zana zao; kwa hiyo hawangependa ngoma iishe haraka hivyo maana bado wana zama nyingi za kujaribiwa na zingine kuziboresha.. Ila kama ninavyo sema muda utaongea.Hawana nguvu kiasi hicho, walitwangwa mpaka kibaraka wao US na NATO yake wakaona kitakachofata ni wataisha wote na nchi nzima itakuwa annexed na masilahi yao wanayotaka Ukraine watayakosa.
Ndio kuanza kupeleka masilaha, bila hivyo angeelemewa.
Hahahahahah muda utaongea maana kila mtu anataka atest kuzikaanga silaha za NATO 🤣🤣🤣 bado kiduku na mchina hawajapeleka zana zao 😀Mkuu wewe una predict, lakini watu wengine pale wamepata uwanja huru wa kujaribia zana zao; kwa hiyo hawangependa ngoma iishe haraka hivyo maana bado wana zama nyingi za kujaribiwa na zingine kuziboresha.. Ila kama ninavyo sema muda utaongea.
Naona tutakesha hapa tukibishana kwa vitu ambavyo ni so obvious - kama huwezi kutofautisha kati Dummy missiles na virokeri vya DIY (backyard) vinavyo undwa na wapalestina na waasi wa Yemeni basi tena.Mkuu kuhusu dai eti "Raia wengi wa Ukraine wanazungumza..." hujaleta ushahidi nani alisema nini, lini na wapi.
Kuhusu roketi za "dummy" sina taarifa kamili, ila ni dhahiri kwamba mifumo mingi inashindwa kama idadi ya roketi zinazokaribia wakati moja ni kubwa mno. Kuhusu IRIS-T tumeoana kwamba safari iliyopita roketi nyingi zilizolengwa Kyiv ziliangushwa, ila moja ilipiga. Lakini idadi ya mifumo ya IRIS-T zilikuwa mbili tu, moja imeongezeka, nadhani.
Mafanikio ya mashambulio mengine yatategemea Urusi itakuwa na uwezo kukusanya tena idadi kubwa ya roketi...
Wakati mnaimba mapambio Asadi must go, alikuwa hajachaguliwa na wanachi wa syria ktkt uchaguzi huru?Tangu lini "maeneo" yanajitenga? Watu wanaweza kujitenga,. Ila katika kila uchaguzi huru wakazi wa mikoa yote ya Ukraine walithibitisha wanataka kuwa raia wa Ukraine - hadi Putin alituma aliowahi kuajiri. . .