Sasa putin anataka ushahidi gani tena, kama sio muoga nayeye aanze kuwapa silaha cuba, na venezuela.The United States supplies weapons to Ukraine on a daily basis, including anti-tank and anti-aircraft weapons, Biden said.View attachment 2147164
Putin alikuambia mtegemeo yake kbla hajaivamia Ukraine au sio Bwana Sergei Bazhaiev. Hebu tueleze basi mategemeo yake yalikuwa ni yepi ili na sisi tujionee jinsi amekwenda nje ya hayo mategemeo yake. We si ndio Vladmir Laitanan ambaye ni ADC wa bwana Putin[emoji1787]Kwenye huu mgogoro Urusi naona anaenda nje ya mategemeo yake wakati anaanza hii operation.
Alijua ngoma itakuwa rahisi sasa mambo yanazidi kuwa mengi.
Aise umekimbilia wapiiiBora umejitambua.
PropagandaWarusi wa buza mtu wenu huyo yumavumbini sasa
Kufahamu mengi zaidi sina shaka nalo.Yawezekana wewe ndo uliona ngoma ni rahisi sana ila yeye atakuwa aliona na anafahamu mengi zaidi
Tatizo hamuji na udhibitisho maana kuna wengine mlitangaza mmewaua lakini badae wakaonekana wako hai.Warusi wa buza mtu wenu huyo yumavumbini sasa
Kwanza punguza mihemko twende taratibu.Putin alikuambia mtegemeo yake kbla hajaivamia Ukraine au sio Bwana Sergei Bazhaiev. Hebu tueleze basi mategemeo yake yalikuwa ni yepi ili na sisi tujionee jinsi amekwenda nje ya hayo mategemeo yake. We si ndio Vladmir Laitanan ambaye ni ADC wa bwana Putin[emoji1787]
Yaani Russia anakwenda kuvamia moja ya mataifa makubwa ulaya tena yenye backup ya NATO & Co. alafu ategemee ngoma itakuwa rahisi!? Ni hisia zako tu zimekupelekea kuhisi kwamba Putin alihisi ngoma itakuwa rahisi au pengine wewe ndio ulihisi kuwa hiyo operation itakuwa rahisi kwa Mrusi. Nikuambie tu hakuna na hakujawahi kuwepo n vita rahisi duniani hapa. Ikishaitwa vita tu lazima iwe ngumu na hili of all people Putin ndio analijua zaidi.
Huwezi kuwa Raisi wa taifa lenye nguvu zaidi za nyuklia duniani na teknolojia ya silaha kwa ujumla, taifa la pili kwa nguvu za kijeshi duniani kwenye njanja zote na hasa military intelligence alafu eti uingie tu vitani kimakosa/bila kijipanga only kwa 'kuhisi' vita itakuwa rahisi. Dunia ya kwanza watu hawaendeshwi kwa hisia kama sisi huku tu mchambawima.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapa Putin amefanya utumbo.Russia ingekuwa nchi ya kidemokrasia,angewajibishwa!Duh hizo ela zote ni mali ya serikali au jumla ya mali zote walizochukua.
Vipi Kuna habari gani huko!nakuja faster...Aise umekimbilia wapiii
wapo against USA ni wanajeshi wa kiislamMkuu
Naomba more information ya hii habari.
Wanasiasa ni wangese sana...hvyo tuNilikua nje mji wakuu , vipi vita imefikia wapi kwa sasa
Ndio tupo nayo hapa bunju kwa mama chiku muuza sambusaNilikua nje mji wakuu , vipi vita imefikia wapi kwa sasa
Mkuu umewahi kupitia hata JKT? Yani Meja Jenerali akashike AK 47 mstari wa mbele??Warusi wa buza mtu wenu huyo yumavumbini sasa
Ukiwa kiongozi mkubwa hapaswi kuwa na mawazo ya kidem namna hii.Kwa usalama wa nchi ya russia kwa vyovyote kama ningekuwa Putin, ningeendeleza mashambulizi.. Siwez kuweka nchi yangu hatarini kwa sabbu ya nchi ambayo naweza kuipiga..
Then ningekuwa zelensky ningepima upepo.. Nimeona kabsa NATO haina msaada wowote kwangu.. Sasa kwann niumzie raia wangu kwa jumuiya ambayo ambayo inaiogopa russia..
Ningekubali kushindwa ili kunusulu wanachi wangu na raifa langu