LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The United States supplies weapons to Ukraine on a daily basis, including anti-tank and anti-aircraft weapons, Biden said.View attachment 2147164
Sasa putin anataka ushahidi gani tena, kama sio muoga nayeye aanze kuwapa silaha cuba, na venezuela.

Hizo ant- tanks na ant-aircraft weapons zinasababisha maafa kwa wanajeshi wa urusi then ndio kujaribu kuzuiya uvamizi.

Putin alisema atakaejaribu kumzuiya atajuta.
Kizee Biden kijeuri sana kanamjaribu ivyoivyo namikwarayake.
 
Kwenye huu mgogoro Urusi naona anaenda nje ya mategemeo yake wakati anaanza hii operation.
Alijua ngoma itakuwa rahisi sasa mambo yanazidi kuwa mengi.
Putin alikuambia mtegemeo yake kbla hajaivamia Ukraine au sio Bwana Sergei Bazhaiev. Hebu tueleze basi mategemeo yake yalikuwa ni yepi ili na sisi tujionee jinsi amekwenda nje ya hayo mategemeo yake. We si ndio Vladmir Laitanan ambaye ni ADC wa bwana Putin[emoji1787]

Yaani Russia anakwenda kuvamia moja ya mataifa makubwa ulaya tena yenye backup ya NATO & Co. alafu ategemee ngoma itakuwa rahisi!? Ni hisia zako tu zimekupelekea kuhisi kwamba Putin alihisi ngoma itakuwa rahisi au pengine wewe ndio ulihisi kuwa hiyo operation itakuwa rahisi kwa Mrusi. Nikuambie tu hakuna na hakujawahi kuwepo n vita rahisi duniani hapa. Ikishaitwa vita tu lazima iwe ngumu na hili of all people Putin ndio analijua zaidi.

Huwezi kuwa Raisi wa taifa lenye nguvu zaidi za nyuklia duniani na teknolojia ya silaha kwa ujumla, taifa la pili kwa nguvu za kijeshi duniani kwenye njanja zote na hasa military intelligence alafu eti uingie tu vitani kimakosa/bila kijipanga only kwa 'kuhisi' vita itakuwa rahisi. Dunia ya kwanza watu hawaendeshwi kwa hisia kama sisi huku tu mchambawima.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
EU sets date for energy independence from Russia(2027)​

Brussels plans to propose phasing out Russian fossil fuels to improve European energy security
 
US sees consumer prices jump most since 1982​

Inflation soaring amid rising commodity and labor costs.

February consumer price gains in the US accelerated by 7.9% compared to last year, marking the fastest annual jump since 1982. The Bureau of Labor Statistics’ Consumer Price Index (CPI) outpaced January’s previous 40-year high of 7.5%.
 
Kw
Putin alikuambia mtegemeo yake kbla hajaivamia Ukraine au sio Bwana Sergei Bazhaiev. Hebu tueleze basi mategemeo yake yalikuwa ni yepi ili na sisi tujionee jinsi amekwenda nje ya hayo mategemeo yake. We si ndio Vladmir Laitanan ambaye ni ADC wa bwana Putin[emoji1787]

Yaani Russia anakwenda kuvamia moja ya mataifa makubwa ulaya tena yenye backup ya NATO & Co. alafu ategemee ngoma itakuwa rahisi!? Ni hisia zako tu zimekupelekea kuhisi kwamba Putin alihisi ngoma itakuwa rahisi au pengine wewe ndio ulihisi kuwa hiyo operation itakuwa rahisi kwa Mrusi. Nikuambie tu hakuna na hakujawahi kuwepo n vita rahisi duniani hapa. Ikishaitwa vita tu lazima iwe ngumu na hili of all people Putin ndio analijua zaidi.

Huwezi kuwa Raisi wa taifa lenye nguvu zaidi za nyuklia duniani na teknolojia ya silaha kwa ujumla, taifa la pili kwa nguvu za kijeshi duniani kwenye njanja zote na hasa military intelligence alafu eti uingie tu vitani kimakosa/bila kijipanga only kwa 'kuhisi' vita itakuwa rahisi. Dunia ya kwanza watu hawaendeshwi kwa hisia kama sisi huku tu mchambawima.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwanza punguza mihemko twende taratibu.
Hii sio vita kulingana na kauli ya Putin ameita operation maalum.

Lakini pia ukisoma baadhi ya vyanzo vinasema alikuwa na malengo by 02 march awe kashaikamata Kyiev leo ni tarehe ngapi?

Ukiachana na hilo kuna vyanzo vingi tu vinadai wanajeshi wa urusi wanakosa supply ya mafuta pamoja na ammunation mpaka wanatelekeza vyombo vyao. Hii ina speculate aidha hawakujipanga vizuri au mipango yao imeenda kinyume na matarajio.

Jingine unakubali kuwa vita haijawahi kuwa rahisi wakati huohuo unakataa kwamba mambo hayawezi kwenda kinyume na matarajio.
Common sense is not common.
 
IOC chief dismisses ‘politicization’ of sport in fresh attack on Russia​

Thomas Bach reiterated that Russian and Belarusian athletes should be suspended wherever possible.

“We will not fall into the trap of the cheap argument that this would be a politicization of sport, going against the Olympic Charter which requires political neutrality,” Bach said in a wordy IOC statement issued on Friday titled ‘Give Peace a Chance’.

“Whoever so blatantly violates the Olympic Truce with political and even military means cannot denounce the consequences as being politically motivated,” the German official added.
 
Kwa usalama wa nchi ya russia kwa vyovyote kama ningekuwa Putin, ningeendeleza mashambulizi.. Siwez kuweka nchi yangu hatarini kwa sabbu ya nchi ambayo naweza kuipiga..

Then ningekuwa zelensky ningepima upepo.. Nimeona kabsa NATO haina msaada wowote kwangu.. Sasa kwann niumzie raia wangu kwa jumuiya ambayo ambayo inaiogopa russia..

Ningekubali kushindwa ili kunusulu wanachi wangu na raifa langu
Ukiwa kiongozi mkubwa hapaswi kuwa na mawazo ya kidem namna hii.
 
Back
Top Bottom