Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyo jamaa ni mbumbumbu hatoelewa hii.
 
Okey. Lakini haijawa bado. Hapa ndipo hoja yangu ilipo. Siyo tunapoamini dunia inaelekea , ila mahali tulipo. Mahali tulipo sasa. System iliyopo sasa.
 
Okey. Lakini haijawa bado. Hapa ndipo hoja yangu ilipo. Siyo tunapoamini dunia inaelekea , ila mahali tulipo. Mahali tulipo sasa. System iliyopo sasa.
Wewe jamaa kichwa kigumu kweli. Shtani akusaidie tu. Kwani SMO imekamilika?
SMO ni sehemu ya mpango. Hao ndugu zako waliingia kichwa kichwa kwa kuweka vikwazo.

Nchi zimesanuka na kujua mchawi wetu yupo wapi. SMO imeanza just last year. Sasa hivi mabenki huko USA yanafungwa watu tunaanza kuuziana kwa currencies zetu.

Nimekupa mfano India na Tanzania. Sasa mzee unataka ianze kwa kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa imeanza?

Ninakuheshimu kwa sababu unataka kujifunza. Yaani mpaka Tanzania inakubaliana na India kuuziana kwa Tsh na Rupee bado tu unasema haijaanza??? 😃 😃 😃 😃

Jaribu basi hata kutumia akili hata kama ya kuku.
 
 

Usa na Uk wana tabia ya ubwanyenye hawawez kuacha, wameona kitumbua cha ukrain hawawez kukiokota bas pelosi aliamua kumchokonoa mchina pale Taiwan ili wapige ndege wawili kwa wakati mmoja..na ile ndio ilikua nafasi pekee ya Urusi kuanguka, Mchina akakwepa ikapta..wakaja kwnye maputo..mchina kakwepa..usa kachukia anaona kbs draft kete za moto.

Mchina akaona ngoja ampe kete Iran, Saudia akaimeza imemkaba hata US hawez kumtapisha swahiba wake Saudia..wamebaki kumlaani Israel kumwachia Saudia kumeza kete ya Iran, Netanyahu akasema msinizingue hili ni kosa la aliekua madarakani kabla yangu, Usa akaona bora aanze vitisho..akamchukua Uk waanze vitimbwi na Australia bado mchina akakwepa..sasa amekuja na vitisho vya ICC
 
Unajua Venus ww ukisema India na Tanzania zimekubaliana, mm natafuta foreign reserve ya pesa ya Tz india na vice versa halafu unakuta hilo jambo halipo.

Ndo maana kila saa nakwambia naongelea current situation. Mm sipingani na possibility ya huko unaposema tunaenda, ninachosema ni kuwa hatupo huko sasa. Shida yako hapo ni ipi?
 
Nitaendelea kukuelimisha tu kwa kutumia fimbo mpaka matako yako yalie mbwata:-

1. Saudi Arabia and India have also signaled moving away from the US dollar.
2. Iran, Russia use own currencies for trade
3. The Rupee-Rouble trade arrangement is an alternative payment mechanism to settle dues in rupees instead of Dollars or Euros
4. Russia and China have been teaming up to reduce reliance on the dollar.

SASA WEWE UNATAKA MPAKA UPIGIWE KENGELE UAMBIWE TAYARI SASA TUNAANZA. Huu ni utoto kabisa
 
Ndio maana naendelea kusema mdogo wangu either akili zako ni ndogo au unazidogosha akili zako.
Yani India na Tanzania zimekubaliana wiki hii halafu unataka leo leo uletewe ripoti ya India na Tanzania. This is a stupid mentality.

Grow up basi. Mambo mengine unaweka hapa kama mtoto wa darasa la kwanza. Ndio maana ninakuita wewe ni mbumbumbu.

Mfumo wa foreign Reserve ni system iliyowekwa baada ya vita vya pili vya dunia. Unachotakiwa uondokane na mawazo ya Foreign Reserve ndio utaelewa mfumo wa sasa.
 
Kipanya 44 mbona uniambii kama miji yote ya Ukraine imechezea mvua ya makombola[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Ni bora ukawekeze Somalia kwa sasa ila sio Ukraine.kila wiki ni mwendo wa mvua ya mabomu tu.
 
Wala hata siitaji kengele. Niambie tu.

Kwa tarehe ya leo nikimport TATA india watanibadilishia tsh straight kwenye pesa yao bila kutumia usd kama mzani?
 
Okey, unachosema hapa ni kuwa huo mfumo hautumiki ila nchi zipo kwenye makubaliano na itachukua muda kutumika. HATIMAYE NIMEELEWA. HALELUYA.
 
Okey. Lakini haijawa bado. Hapa ndipo hoja yangu ilipo. Siyo tunapoamini dunia inaelekea , ila mahali tulipo. Mahali tulipo sasa. System iliyopo sasa.
Anguko la mabenk USA unaliskia au hujaliskia? $ inashuka thamani..karatasi zimeanza kukosa kazi...mzunguko wa hela hamna wawekezaji wana-withdraw kufanyia pesa zao mambo mengine..mwishowe bank zinacollapse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…