Ya kuku boss...?? [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jamaa kichwa kigumu kweli. Shtani akusaidie tu. Kwani SMO imekamilika?
SMO ni sehemu ya mpango. Hao ndugu zako waliingia kichwa kichwa kwa kuweka vikwazo.
Nchi zimesanuka na kujua mchawi wetu yupo wapi. SMO imeanza just last year. Sasa hivi mabenki huko USA yanafungwa watu tunaanza kuuziana kwa currencies zetu.
Nimekupa mfano India na Tanzania. Sasa mzee unataka ianze kwa kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa imeanza?
Ninakuheshimu kwa sababu unataka kujifunza. Yaani mpaka Tanzania inakubaliana na India kuuziana kwa Tsh na Rupee bado tu unasema haijaanza??? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jaribu basi hata kutumia akili hata kama ya kuku.
Wewe ni KE au ME?Okey, unachosema hapa ni kuwa huo mfumo hautumiki ila nchi zipo kwenye makubaliano na itachukua muda kutumika. HATIMAYE NIMEELEWA. HALELUYA.
OK mkuuAnguko la mabenk USA unaliskia au hujaliskia? $ inashuka thamani..karatasi zimeanza kukosa kazi...mzunguko wa hela hamna wawekezaji wana-withdraw kufanyia pesa zao mambo mengine..mwishowe bank zinacollapse
Wewe naona unataka kuleta ubishi usio na msingi either kwa makusudi au kwa kutokujua.Unajua Venus ww ukisema India na Tanzania zimekubaliana, mm natafuta foreign reserve ya pesa ya Tz india na vice versa halafu unakuta hilo jambo halipo.
Ndo maana kila saa nakwambia naongelea current situation. Mm sipingani na possibility ya huko unaposema tunaenda, ninachosema ni kuwa hatupo huko sasa. Shida yako hapo ni ipi?
Bado mwenzetu hata kiwango cha kuku hajafikia. Natamani aende kwenye banda la kuku akawaone kuku wanavyotumia akili zao. Haya ni maoni yangu binafsi siyo ya JF members 🤣 🤣 🤣 🤣Ya kuku boss...?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari, Ukipata moto unahama halafu baada yapo utavimba. Utaumuka weee. Kuna kemikali inaachiwa kwenye ubongo wako inayokufanya uvimbe ila siyo halisi.Wewe ni KE au ME?
Nataka nijue, maana naona kabisa kuna dalili ya jambo fulani Either ni Mimba au Kitambi.
Wala hata siitaji kengele. Niambie tu.
Kwa tarehe ya leo nikimport TATA india watanibadilishia tsh straight kwenye pesa yao bila kutumia usd kama mzani?
Tangu ujiite wewe ni mpumbavu nimekuwa makini sana kujadiliana na wewe. Lakini slogan ya JF inasema "Ficha upumbavu wako"Tayari, Ukipata moto unahama halafu baada yapo utavimba. Utaumuka weee. Kuna kemikali inaachiwa kwenye ubongo wako inayokufanya uvimbe ila siyo halisi.
UKianza kujenga nyumba unakuwa tayari na nyumba? System ipo kwenye makaratasi halafu mnataka tuizungumzie kuwa ndo sytem iliyopo.Wewe naona unataka kuleta ubishi usio na msingi either kwa makusudi au kwa kutokujua.
Ukiuanza kujenga nyumba unaanza na msingi na kuendelea. Hakuna kitu chochote duniani kinafanyika overnight, kila jambo lina process zake. Sasa sijui unabishabisha kwa lipi!!
Shida ni yako wewe boss unalazimisha tubaki kwenye current situation, while we are moving straight fwd...why unataka tubak hapahapa? Yaan ni kama unatushawishi tuamini kwamba mwanao alioko chekechea unamwazia uchekechea maisha yake yote...huna preparation yoyote ya baadae kufika mzumbe au udsm au hata duce basi...we jamaa niaje niaje??Unajua Venus ww ukisema India na Tanzania zimekubaliana, mm natafuta foreign reserve ya pesa ya Tz india na vice versa halafu unakuta hilo jambo halipo.
Ndo maana kila saa nakwambia naongelea current situation. Mm sipingani na possibility ya huko unaposema tunaenda, ninachosema ni kuwa hatupo huko sasa. Shida yako hapo ni ipi?
Ww ndo uliniita mpumbavu nikakwambia achana na upumbavu wangu jadili hoja nyingine na wengine ila bado naona upumbavu wangu umekunata hauchomoki.Tangu ujiite wewe ni mpumbavu nimekuwa makini sana kujadiliana na wewe. Lakini slogan ya JF inasema "Ficha upumbavu wako"
Mkuu suala hapa ni kwamba hao wenzio kwa sababu hawataki kuipaisha/kuitumia $ ndio maana nauliza vigezo vyao vya kuthaminisha fedha zao nini?
Ukianza kujenga nyumba ndio nyumba hiyo ishaanza. Wote waliokujibu hapa wamekwambia dunia inaelekea kwenye mrengo mwingine lakini wewe unakaza fuvu tu.UKianza kujenga nyumba unakuwa tayari na nyumba? System ipo kwenye makaratasi halafu mnataka tuizungumzie kuwa ndo sytem iliyopo.
Hapana mkuu. Sijasema ninachotaka. Nimesema kilichopo. Kuhusu hii hoja ya mfumo Hakuna sehemu yoyote ambayo nimejadili tunapoelekea. Wakati wote nimekuwa nikijadili tulipo.Shida ni yako wewe boss unalazimisha tubaki kwenye current situation, while we are moving straight fwd...why unataka tubak hapahapa? Yaan ni kama unatushawishi tuamini kwamba mwanao alioko chekechea unamwazia uchekechea maisha yake yote...huna preparation yoyote ya baadae kufika mzumbe au udsm au hata duce basi...we jamaa niaje niaje??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ng'ombe hii imetokea wapi kwenye uzi huu? Nataka niijue kabla ya kuweka comment ta maana.
Kwahiyo unataka kutuambia tuachane na upumbavu wako?Ww ndo uliniita mpumbavu nikakwambia achana na upumbavu wangu jadili hoja nyingine na wengine ila bado naona upumbavu wangu umekunata hauchomoki.
Ukianza kujenga nyumba huna nyumba, ni umeanza kujenga nyumba. Kuna utofauti.Ukianza kujenga nyumba ndio nyumba hiyo ishaanza. Wote waliokujibu hapa wamekwambia dunia inaelekea kwenye mrengo mwingine lakini wewe unakaza fuvu tu.
Kenya wao washakubaliana na UAE kuuziana mafuta kwa local currencies. We kaa ukikaza fuvu tu!!
[emoji40][emoji40][emoji40]Wewe ni KE au ME?
Nataka nijue, maana naona kabisa kuna dalili ya jambo fulani Either ni Mimba au Kitambi.
Hiyo haiondoi dhana kwamba utakuwa na nyumba siku chache zijazo.Ukianza kujenga nyumba huna nyumba, ni umeanza kujenga nyumba. Kuna utofauti.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji48][emoji48][emoji48] bad man..wewe ni mtu m-bad sanaBado mwenzetu hata kiwango cha kuku hajafikia. Natamani aende kwenye banda la kuku akawaone kuku wanavyotumia akili zao. Haya ni maoni yangu binafsi siyo ya JF members [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]