D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Vita IPI?Mwenye nguvu za kidiplomasia za kuimaliza hii vita ni China pekee
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Lancet kamikaze drone strikes a Ukrainian RM-70 MLRS, causing a massive explosion and detonating the rocket ammunition.
These RM-70 were supplied by Czech Republic
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Putin sio mpenzi wakusafiri nje ya russia.Russia ina Kila kitu kama ni fursa zinamfuata zenyewe.Pia russia inaviongozi makini na wenye akili mfano waziri wa mambo ya nje pamoja na mabalozi wanamuwakilisha vyema.==========================
- US President Joe Biden welcomes an International Criminal Court arrest warrant for Russian President Vladimir Putin, calling it "justified."
- Putin and a Russian official are accused of forcibly deportingthousands of Ukrainian children to Russia. The Kremlin says the warrants are "unacceptable."
- Neither Russia nor the US are ICC members. Putin is unlikely to stand trial but the warrant heavily restricts his ability to travel.
Mzee Putin atasafiri zaidi nchi za Iran, China, Korea Kaskazini labda kidogo India au Brazil huenda huko atakwepa kuvaa pingu.
Mbona sijaelewa!? How wanapiga pesa? Silaha wanazompa Ukraine watapataje faida ikiwa Ukraine mwenyewe anachapika? Atawalipa vipi? Biden Jr ananufaika vipi kwenye hii vita? Nielewesheni plz hii msaada wanayompa Ukraine wanaandikishiana kwamakubaliano? Na if that so kwanini raisi WA Ukraine asikubali kukaa mezani na Urusi yakaisha?Mkuu Zelensky akili zake fyatu kabisa - hajali fate Waukraine wenzake anacho jali yeye ni fedha pamoja na kutajirisha US Military Industrial Complex pamoja na mwanae Biden anbaye aliwahi kufanya kazi Ukraine kama mshauri na ku-own kampuni ya mafuta kama sikosei - vita hii hajatokea kwa bahati mbaya kuna genge lawa tu wanapiga pesa big time akiwemo Biden Jr kwa niaba ya familia of course - ndio maana wanataka vita hii iendelee indefinitely!!
Mkuu ukiona umezidiwa hoja pita kushoto.. Ukimuona mtu mwenye maneno ya OVYO sehemu kama hii unamwombea kwa MUMGU asitarabikeKuna ng'ombe hii imetokea wapi kwenye uzi huu? Nataka niijue kabla ya kuweka comment za maana.
Mimi nadhani UN na vibaraka vyake kama hao ICC wangekaa tu kimya kama wanaona kina cha maji cha Urusi nikirefu kuliko kuendelea kujidhalilisha namna hii.Medvedev afananisha hati ya kumkamata Putin ya ICC kama Toilet paper , adai kwamba inapaswa kutumika kama TOILET PAPER.View attachment 2555673