President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Vladimir Putin visiting Crimea 🫡
Sasa wewe na huyo nani anaporojo !!?Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Naomba kukujibu kadiri ya uwezo wangu.
Nini maana ya preferred reserve currency...?
USD kwa miaka yote imekuwa ni preferred reserve currency kwa sababu hii World Order iliamua kwa pamoja kwamba USD ndio iwe medium of exchange, iwe ndio inatumika kwenye biashara baina ya nchi kwa nchi. Na vilevile waka provide means ya ku enable hizo exchanges kufanyika (kupitia SWIFT mechanism).
Kwa hiyo, concept nzima ya Reserve Currency ni utaratibu wa wao westerns waliouweka.
Sasa nakuja kujibu swali lako.
Ninachotokea sasa hivi ni kuivunja hii "Western World Order".
Ndio maana unaona initiative za ku dump hiyo dollars (Wana sell Treasury Bonds and Bills)
Ndio unaona nchi zinaanza kukubaliana kufanya biashara kwa kutumia local currencies zao
Sasa, kwenye new world order, kuna uwezekano kabisa wa haya mambo ya Reserve currency yakapotea, just unatakiwa uwe na reserve ya kutosha ya nchi ambayo wewe unafanya nayo biashara. Kwa mfano, nafanya sana biashara na Kenya, basi nakuwa na reserve kubwa ya KSHS na sio USD.
Au nataka kufanya biashara na Russia ya Mafuta au mbolea, basi natakiwa niwe na Ruble za kutosha, na sio USD.
Au mnaweza kukubaliana, mimi bwana nina Gold ya kutosha... Kwa hiyo nitakuwa nakupa Gold kiasi fulani... wewe nipe mbolea au mafuta kiasi fulani... nikiwa na Ruble nalipa, nilkiwa na Gold nalipa. Yaani inakuwa ni resources based transactions na sio makaratasi tena.
Na hiyo ndio New World Order inavyoweza kuwa.
Elon Musk is right.They will infact have proven that what Trump is doing is right, and what the Biden administration and his handlers are doing is wrong.If Trump is arrested, he will be re-elected as President of the United States with a landslide victory - Elon Musk
Lazma aichukue si kilikua kichaka chakufichia MAGAIDILakini nani alianzisha vita na mwingine kati yaukrein na urusi urusi ndiye mchokozi unachukua aridhi ya jirani wako kwa nguvu
Anguko la mabenk USA unaliskia au hujaliskia? $ inashuka thamani..karatasi zimeanza kukosa kazi...mzunguko wa hela hamna wawekezaji wana-withdraw kufanyia pesa zao mambo mengine..mwishowe bank zinacollapse
Punguzeni kulialia haitawasaidia kitu hiimipumbav ya afrika haiez elewa , mpk siku Urusi izivamie nchi za afrika ndipo yatapata akili , wao kaz kusema mbona fulan alivamia sehem fulan , ukimuuliza ulitaka ukraine ifanyej baada ya kuvamiwa anakaa kimya , Urusi wakorof sana 2014 Urusi alipora Crimea ,Ukraine alikaa kimya sababu hawakutaka vita , Urusi akanogewa akaona dunia imemkalia kimya akaamua aivamie kbs Ukraine yote akiamin dunia itakaa kimya pia , weng hawaelew attitude ya Urusi wao wanahisi majiran wa urusi ni wajinga ila wao wasioijua hata serikali ya Urusi ndo wanaijua zaid Siasa ya hapo mashariki ya Ulaya na jiran yao Urusi
A bilateral currency swap is a financial arrangement between two parties, usually central banks or governments, to exchange one currency for another at a predetermined exchange rate. The purpose of the swap is to provide liquidity and support to the parties' domestic financial markets and currencies.Mkuu ni hivi: kuna mkakati wa baadhi ya Nchi hawataki kutumia $. Kwani ndicho USA anacholingia. Sasa basi:- tunajiuliza ni kipimo gani kitatumika kwenye mizania ya ulinganifu wa fedha zao kwamba e.g Mtanzania anauza nyumba yake Tshs. 200m na anayetaka kununua ni Mjapan na ana Yuen fedha ya kijapan na wanauziana kwa fedha zao? Mjapan atatoa Yuen ngapi bila kuhusisha $. ili kununua hiyo nyumba?
Mkuu nami nimefarijika sana. Kuna mwana GT mmoja nae amelezea vizuri pia.. Hivi ndivyo JF ya GT inayotakiwa kuelimishana. Ni matumaini yangu kuwa sasa wengi wamelewa.Ooh, Ok, kabla sijajibu kuna wadau wameielezea vzr huko nyuma. Fuatilia wale waliokuwa wakinijibu swali nililouliza wameeleza itakavyokuwa na majibu yao yana usahihi ila ni mchakato sio jambo ambalo lipo kwenye mfumo.
JIBU LANGU: Mzani unaotumika katika reserves za nchi nyingi mpaka sasa ni U.S. dollars, euros na Yen(Japaneese), hii ni pamoja na bonds, treasury bills, and other government securities unazozifahamu.
US wenyewe wanareserve zaidi kwa euros and yen. Urusi ina dola na Gold sema kwenye dola vikwazo vinamzuia isiwe na manufaa kwake.
Soko la Dunia bado linahitaji stable currency kama mzani, sababu dhahabu wakati mwingine inaweza ikathaminishwa kulingana na uhitaji wake, Mfano nchi mbili zenye dhahabu ya kutosha zikihitaji kufanya biashara na zote hazitaki dhahabu nn kitakuwa mzani wa kuamua biashara ifanyike? Hapo ndo umuhimu wa stable currency unapokuja.
Uchumi ni mpana sana. Kuuelewa hili suala vzr ni kurudi nyuma kwa kujiuliza tulitoka wapi mpaka tukawa na one stable currency na kuiamini?
Hili swali litakurudisha kwenye biashara ya kubadilishana mahindi na ng'ombe na litakuleta mpaka hapa tulipo. Pengine litakupa mwanga wa tunapoelekea. Ni safari ndefu sana.
HAYO NI MACHACHE KWA UELEWA WANGU BOSS.
Kwanini mnaumia ama mnazisemea nchi huru zinazoizunguka RUSSIAGeorgia na Ukraine ni nchi huru wala hazijawai jihusisha na lolote ndan au krb na Urusi kwann yeye Urusi ajione mwamuz wa nchi huru zinazomzungumka ? Hao hawataki kutumika kama guard ya Urusi dhidi ya Ulaya , hizo nchi zilikuwa neutral kwa miaka zaid ya 25 yaan hazikuwa na ukaribu na ulaya either kisiasa au kiuchumi huku urusi akikaa meza moja na hao mabeberu meza moja na kunywa nao then akirud mashariki ya ulaya anawaambie wenzie hakuna kuwa krb na ulaya , Kama ni wewe ungekubali huu uzuzu ?
Hata ww na mie lazima tufe for God au wewe utaishi mileleeePutin. Must die for God sake