kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lakini Kuna uwezekano huko bakhumut, Ukraine alikuwa anajifanya kulialia Ili awajaze upepo warusi huku akiendelea kuwachinja vizuri [emoji16][emoji28]Kwanza mtujibu Bakhmut imekuwaje maana mlisema mmeizunguka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Asante kwa darasa mkuu...tulikua tunakosea kumfundisha kwa kilugha..umenyoosha kipindi na somo limeelewekaShoga zako wenyewe wanakili juu ya uwepo/utokeaji wa Multpolar World kwasasa, we namna gani ndugu SHILINGI?
[emoji116]
The transition into a multipolar, fragmented and contested world has happened more quickly and definitively than anticipated. - UK Goverment
Integrated Review Refresh 2023: Responding to a more contested and volatile world
The Integrated Review Refresh 2023 updates the government’s security, defence, development and foreign policy priorities to reflect changes in the global context since Integrated Review 2021.t.co
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Bakhmut tunaishikilia.au weww ujui ilo.kwani nyie mpo Bakhmut sehemu gani maana sioni mkituma tena video au picha ya kuonyesha bado Bakhmut mpo nayo. Mlikuwa kila siku mnatuma picha za kuonyesha mpo Bakhmut.Kwanza mtujibu Bakhmut imekuwaje maana mlisema mmeizunguka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Marekani ina sheria inayosema kuwa Mmarekani yeyote akikamatwa na ICC basi USA ina haki ya kuivamia The HagueKuipiga ICC tutakua tumewaonea .....dawa yao ni kuwapuuza na kuendelea na SMO
Azov plant, zaporinzhzhia nuclear plant, na soledar mine site...zinatosha, watapewa wawekezaji wa Russia buuuree...wao kazi yao ni kulipa kodi serikalini wamemaliza...usijiskie uchungu saana..hiyo ndio akili ya kushikiliwa na kuwadi US ya Rais ZelecomedyKibaya zaidi fedha nyingi zilizotaifishwa za wawekezaji kutoka russia US ndio wanazitumia kuwapa msaada Ukraine kwa chakula na kila kitu, ni vile russia wanakaangwa mafuta yao putin ni babu jinga
Huna ujulo hakuna sehemu kati ya ulizotaja zinashikiliwa na urusi 100%, kazi inaendelea usiandikie mate, Cremea itakuwa ya mwisho kukombolewaAzov plant, zaporinzhzhia nuclear plant, na soledar mine site...zinatosha, watapewa wawekezaji wa Russia buuuree...wao kazi yao ni kulipa kodi serikalini wamemaliza...usijiskie uchungu saana..hiyo ndio akili ya kushikiliwa na kuwadi US ya Rais Zelecomedy
Na tunaendelea kuvuna tuAzov plant, zaporinzhzhia nuclear plant, na soledar mine site...zinatosha, watapewa wawekezaji wa Russia buuuree...wao kazi yao ni kulipa kodi serikalini wamemaliza...usijiskie uchungu saana..hiyo ndio akili ya kushikiliwa na kuwadi US ya Rais Zelecomedy
Kupata kichekesho hiki piga namba 125, kupata vichekesho kama hivi zaidi bonyeza *33*0000# bofyaAchana na Taifa kubwa USA Mungu azidi kuwabariki . Hiyo Android unayopapasa hapo ni Biden.
Wewe unayo 'document' ya maagizo hayo kwamba kikosi maalum Cha Russia kiteke eneo Hilo au unabwabwaja tu kutoka kwenye akili yako mufilisi...Mambo yanayohusu mbinu za kivita waachie professionals ...Bila shaka ilivamiwa kwa lengo maalum (kutuma wanajeshi bila lengo maalum si kawaida...) na lengo lilikuwa kuishika ili vikosi viweza kutua kwa ndege. Lengo hili lilishindikana, na ndege zenye askari ziliangushwa. Ukraine ilifaulu kuharibu njia ya kutua hivyo uvamizi ulikuwa bure. Vikosi vya Kirusi vilipigwa vibaya, pamoja na balaa ile ya foleni ya vifaru na magari iliyopigwa vibaya. Kumbe walikimbia wakatafuta usalama upande wa Belarus na Urusi na kuhamisha mabaki kwenda Donbas.
Basi tuseme Russia imepigwa imeisha kabisa, na Putin kajificha chumbani kremln..umefurahi??Huna ujulo hakuna sehemu kati ya ulizotaja zinashikiliwa na urusi 100%, kazi inaendelea usiandikie mate, Cremea itakuwa ya mwisho kukombolewa
Kiev ileeee....[emoji188][emoji188][emoji188]ruti ya mguu bonden mto Dnpro ukivuka umeibukia ikulu[emoji95][emoji95][emoji95]Sumy region explosions[emoji95][emoji95][emoji95]
Isijekua dnpro river ikawa ndio new border..[emoji95][emoji95][emoji95]Sumy region explosions[emoji95][emoji95][emoji95]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Crimea ya buza labda.yani baada kufikiria kuwa Warusi wataishia wapi baada ya Donbass kuanguka, wewe unakuja na ndoto ya Crimea.Huna ujulo hakuna sehemu kati ya ulizotaja zinashikiliwa na urusi 100%, kazi inaendelea usiandikie mate, Cremea itakuwa ya mwisho kukombolewa
What abouts Tiziii?
Mashine mpya ya Urusi kiboko ya ndege zisizo na rubani. Kilio kimeshaanza huko Ukraine.
“They seem to be burning down”: reports began to appear in the Ukrainian segment of the network about UAVs shot down at a distance of 6-7 kilometers
According to the authors, the Russian Armed Forces can use Ranets-E combat complexes of electromagnetic radiation during a special military operation.
"Ranets-E" is a powerful microwave generator on wheels designed for non-contact destruction of enemy aircraft. The installation station is able to detect enemy equipment using the "friend or foe" system, aim and automatically guide the target, constantly "frying" its electronic insides with powerful microwave radiation.
View attachment 2558714