Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,498
- 3,881
Wataruka ruka mpaka mwisho,lakini dictator Putin lazima afikishwe the Hague kujibu mashtakaUrusi inasema kwamba imefungua uchunguzi wa uhalifu dhidi ya mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu Karim Khan baada ya mahakama hiyo yenye makao yake makuu mjini The Hague kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin.
Khan ni raia wa UK hivyo ni sawa Russia wakifanya uchunguzi wao.Urusi inasema kwamba imefungua uchunguzi wa uhalifu dhidi ya mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu Karim Khan baada ya mahakama hiyo yenye makao yake makuu mjini The Hague kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin.
Bado ongeza idadi hio ni ndogorussia has already lost about 165,610 troops in Ukraine (+700 over the past day).
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hujiskii furaha kuondokana na ugumu wa maisha yaan...selfishness ni uraibu..ni arosto hakika..Putin break the chain of colonialisim.. Vunja genge la wezi wa kimataifa..vunja genge la wanyonyaji..angalau Afrika tupumue...hakuna cha kumtahayarisha wala nini...kwa kipi cha aibu unachokihisi wewe..kile kitabu cha zamani ningekipata ningetoa version mpya "PUTIN AMPIGA MKOLONI"Dikiteta anazidi kutahayariView attachment 2559227
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Subiri upakwe mafuta ndipo utakapojua mwenzako US ameshapakwa anapuyanga tu saizi.Upumbavu wako, nenda kawasimuliwe wanya pombe za mapuya na gongo kule Beach Mauzi
Is this even an issue my friend. Seriously? Katika ulimwengu wa picture editing. Ok so hii inaisaidia vip ukraien katika vita vyake? Ar u getin paid?Dikiteta anazidi kutahayariView attachment 2559227
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
"Poland continues to import Russian vegetables despite wide-ranging EU sanctions against Moscow, Berliner Zeitung reported this week."[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
EU Country Importing Cheap Russian Veggies Despite Sanctions β Media
Poland continues to import Russian vegetables despite wide-ranging EU sanctions against Moscow, Berliner Zeitung reported this week.
According to the newspaper, dozens of trucks are constantly arriving at the wholesale market in the Polish town of Bronisze on the outskirts of Warsaw, loaded with Russian cucumbers and tomatoes. The outlet noted that the cucumbers are priced at 55 zloty ($12.48) for 5 kilos, well below the cost of EU-produced vegetables.
Vegetables have become increasingly expensive in recent months, with local farmers needing help to meet higher energy costs to power their greenhouses. Official statistics show that annual inflation in Poland accelerated in February to 18.4%, the highest since 1996 and one of the highest levels in the EU, with food prices and energy costs rising faster.
Subscribe to RT
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aisee hii ni bonge la dharau kwa west."Leo Viongizi 40 wa Africa wapo Moscow katika kongamano la "Russia-Africa in a Multipolar World"View attachment 2559225
Na kosa lao kubwa ni kua wamekubali kutumika kama mpira wa nanihii.Hawa majaji wanaweza kufa wote if Russia akiamua.
Objective and just...maana ICC wanachukulia vitu kiushabiki sana ili wapendwe na west...wanafanya vitu kwa dhihaka, vitendo vyao haviendani na uhalisia..wanaendesha vitu kimitegomitego hawana msimamo na sheria zao...China's Foreign Ministry commented on the arrest warrant for Putin, Sky News reported.
βThe International Criminal Court should take 'objective and just' position on Putin,β Chinese Foreign Ministry spokesperson Wang Wenbin said.
He emphasized that China "will continue to play a fair role in the Ukrainian crisis."
[emoji328]: Reuters
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app