Sikiliza Hawa jamaa, pamoja na mauwaji yote Marekani aliyofanya, lakini ICC haitowi mdomo Wala pua, Popeo former secretary of state jamaa anasema hiyo Court ikikamata mumarekani yeyote basi Marekani watamwekea vikwazo hao mahakimu na kizazi chake chote wasikanyage ardhi ya Marekani, baba mama wajomba watoto, shangazi ndugu yeyote etc. Na huyo mwingine anasema NATO pamoja na Marekani wakiamua kizipiga leo basi NATO na USA watashindwa vibaya Sana. Anaendelea kusema Ukraine ilikuwa na jeshi imara Sana ambalo nchi yeyote ya NATO insigeweza kuishinda Ukraine kasolo Marekani tu nchi nyingine UK, German, French, hawana ubavu wa kupigana na Ukraine, lakini Russia inaipiga Kama mwizi. Hivyo nchi zote za NATO combine hawawezi pigana na Russia hata kidogo. Huyu Jamaa ni former Iraq WMD inspector, amehusika na vita vingi vya USA.The International Criminal Court (ICC) has issued an arrest warrant for war crimes involving the kidnapping and deportation of Ukrainian children.
According to Kyiv, about 16,000 Ukrainian children have been forcibly taken to the Russian Federation.
This is only the third time that the court, based in the Hague, has issued a warrant for a current head of state.
So, what does this mean in practice?View attachment 2559472
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin mwenyewe shoga!!Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kufumiliwa marinda halafu yeye akanona nikitu cha kawaida.
Ndio nafanaisha na shoga anaefurahia warrant iliotolewa na icc kuhusu kukamatwa kwa Putin
Wavaa pampas mnachekesha. Huyo ni kiboko ya mashogaPutin mwenyewe shoga!!View attachment 2559518
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unatujazia server tu na haya Mapicha yako ya kutengeneza,, kama huna cha kukoment ni bora ungeenda kuandamana tu kama mwenzio MK254 ,,,,, sawa we mkenyaThe International Criminal Court (ICC) has issued an arrest warrant for war crimes involving the kidnapping and deportation of Ukrainian children.
According to Kyiv, about 16,000 Ukrainian children have been forcibly taken to the Russian Federation.
This is only the third time that the court, based in the Hague, has issued a warrant for a current head of state.
So, what does this mean in practice?View attachment 2559472
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wavaa kobazi wenzenu nao wameanza kukimbilia ushoga [emoji28][emoji16][emoji1787]Wavaa pampas mnachekesha. Huyo ni kiboko ya mashoga
Aisee hii ni bonge la dharau kwa west.
Hii inaitwa "hata mumtenge,sisi hatuna tatizo nae"
Kwa kifupi kabisa ,hii ni dalili za shift of power.
Vip na hayani mapicha ya kutengeneza?[emoji16][emoji28]Unatujazia server tu na haya Mapicha yako ya kutengeneza,, kama huna cha kukoment ni bora ungeenda kuandamana tu kama mwenzio MK254 ,,,,, sawa we mkenya
German Marder infantry fighting vehicles are on their way to Ukraine - German Defense Minister Pistorius at the meeting of EU foreign and defense ministers in Brussels
In January, Germany announced that it would provide Ukraine with 40 such vehicles.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
View attachment 2559408
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
This is Putin bhana sio wale wengine wanotaka tuwe ......Russia imetangaza kuifutia African countries deni lenye thamani ya zaidi ya $20bil.
Pia Russia imetangaza kuipatia Africa ngano bure kupitia.
Pia imetangaza kuipatia mbolea bure.
Hayo yamesemwa leo na President Putin kwenye kikao na viongozi wa Africa.
Bora Russia anatuletea mbolea ili African countries ziongeze uzalishaji wa kilimo na kujitegemea kwa chakula kuliko wale jamaa wanaotuletea vilainishi ili kuongeza idadi ya ma LGBTQ.
Kweli leo niimeamini Russia ni masikini sana.View attachment 2559530View attachment 2559533
Sio mkenya ni msambaaa wa soniUnatujazia server tu na haya Mapicha yako ya kutengeneza,, kama huna cha kukoment ni bora ungeenda kuandamana tu kama mwenzio MK254 ,,,,, sawa we mkenya
[emoji1255][emoji636]The UK has signed a key digital trade agreement with Ukraine that will support the country's economy and significantly strengthen trade and investment relations between the UK and Ukraine, according to the British government's website.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vip na hayani mapicha ya kutengeneza?[emoji16][emoji28]View attachment 2559534
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii ni photoshop,, angalia vizuri huo mkonoWavaa kobazi wenzenu nao wameanza kukimbilia ushoga [emoji28][emoji16][emoji1787]View attachment 2559524
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wavaa kobazi wenzenu nao wameanza kukimbilia ushoga [emoji28][emoji16][emoji1787]View attachment 2559524
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app