Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani inasikitisha sana

Sina lakuongeze hapa umemaliza kila kitu
 
Western hagemony inapitia kipindi kigumu sanaaa
 
Foreign Minister wa Ukraine amewaambia EU kwamba Ukraine inataka ipewe misaada zaidi ili kupambana na Russia.

Amesema kwamba, EU wanapaswa kuendelea kutoa misaada mingi kwa Ukraine.

Daaaah... ila EU wanakazi kwa kweli.View attachment 2560444
UKRAINE kwasasa haombi anataka kwanguvu sanaaa
Sababu anajua anapigana kwaniaba ya western naanajua atapewa kila analolitaka maadam halihatarishi usalama wa RUSSIA direct

Maana kuuhatarisha usalama wa RUSSIA direct nitatizo kubwa

Western wanalo
 
Mkuu,anayeshtakiwa mtu ambaye kwa namna moja au nyingine amehusika na uhalifu wa kivita sio nchi.
Mnahis Putin ataenda nchi gani bila wito? Au ataenda nchi gani bila walinzi? Au ataenda nchi gan bila intel ya moscow kutoa go-ahead? Ni ndoto za kuokota kibunda kwenye dirisha la benk...eeh hela unaziona ila sio zako...japo una acount hapo...
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian Drive By Freezes Volkswagen Assets

One of the foreign carmakers that suspended operations in [emoji635], the [emoji629] giant left their local partner, GAZ which was to produce Volkswagen vehicles at its factory in Nizhny Novgorod, high and dry last August by unilaterally breaking their contract.

GAZ estimated its losses from the terminated contract at almost $208mn and took the Germans to court and succeeded at the first hurdle.

Volkswagen are currently trying to sell their manufacturing plant in Kaluga, South of Moscow, which has a production capacity of 225k vehicles per year.

Vorsprung durch cash @RT_India_official

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian Military Jets Patrolling Special Operation Area

The Russian Defense Ministry published footage of Su-34 twin-engine bombers patrolling the area of the Ukraine conflict.

The jets perform round-the-clock sorties, independent of weather conditions, and are armed with various missile types, suited for different purposes.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu niamani huyo Putin ni suala la muda tu lazima afike the Hague,kizuri hati ikiandikwa imeandikwa lazima mhusika afike the Hague,ikiwa kwa hiari au kwa nguvu.Labda afe leo ndio atapona kufika the Hague.
Askar wa nchi gan anaeweza kuipita security ya Putin had amfikie...hebu fikiria tuu..maana hawez kuja nchini kwako bila taarifa na wewe mwenye nchi kukubali ujio wake..na hawezi kuja peke yake bila ulinzi..ni kitu kisichoweza kutokea..na ni nchi gani inaweza kukubali Putin aje nchini kwake alaf ifanye njama za kumkamata? Imaginary scenario mnajipunguzia machungu washoga..
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian Field Artillery Destroys Camouflaged Ukrainian Positions

Russian defense officials released new footage of central military district servicemen firing the 152mm Msta-B howitzers and reportedly destroying camouflaged Ukrainian positions.

The Msta-B crews can fire from an enclosed firing position using high-explosive fragmentation projectiles at more than 15 km with drone-amplified accuracy controls.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wafanye hiviiii..... Wale Viongozi wa Africa wote walioenda Moscow nao ni "partners in crime" .... Wakamatwe nao na ICC na Iran, Syria,Venezuela,India, China ...Sasa nani atamkamata Putin kwa akili zao!!?? Wao washindwe wasakizie wengine!!
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Putin’s Staff To Ditch iPhones — Kommersant

Members of the Russian presidential administration have been instructed to discard their iPhones by the end of March, the business daily Kommersant reported on Monday. The outlet said the decision was made due to the risk of Western espionage.

Russian officials will have to “throw away or give to their kids” their devices running the iOS operating system and switch to phones running the Android operating system, Chinese software, or the Russian Aurora system, a source told the newspaper.

Kremlin spokesman Dmitry Peskov declined to confirm or deny the report but stressed that officials are not allowed to use smartphones “for work purposes” anyway. He said that any such device, regardless of its operating system, is too exposed to handle classified information.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wa Sudan tu hapa kapinduliwa na hajapelekwa ICC ...ndio wajitekenye kwa Putin ..... Ujinga mzigo Sana kaka.... Nani huyu wa kumkamata Putin!!
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Key Points From Chinese Foreign Ministry Spokesman Wang Wenbin On Tuesday

[emoji830]China to create favorable travel conditions with Russia

[emoji830]Beijing hopes that Japanese PM Kishida’s trip to Kiev does not lead to a more significant escalation

[emoji830]Chinese authorities maintain contact with all parties involved in the Ukraine conflict

[emoji830]Beijing strongly opposes Taiwan’s chief of staff’s visit to the United States

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yule ni shoga mkuu (Principal Gay) ...maana mwandamizi (senior)ni cheo chini ya mkuu....
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️The West Spreads Neo-Nazis Ideology Around The World — Russian Security Council Secretary

Statements from Nikolai Patrushev during a trip to Ulyanovsk on Tuesday:

[emoji830]The US is used to juggling the law and considers the rest of the world vassals

[emoji830]As Russia upholds justice and its independence, Moscow is at odds with the US

[emoji830]Washington uses blank lies and sweeping accusations to discredit Russia

[emoji830]The US and its henchmen sow hatred toward Russia and its people

[emoji830]Russia will never forget the tragedy at Khatyn, where civilians were killed 80 years ago

[emoji830]Extremists are using the internet to reduce support for the special military operation in Ukraine

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tuanzie na Blair, Bush Jr, Sarkozy , Obama ...kama una akili kidogo... hata zile za kutawaza tu zitakutosha kutambua nani muovu katika hili la ICC.
 
Marekani Ingekua na nguvu hiyo Sasa hivi Watalaban wangekua wafungwa huko afghanisatani,
na Rais wa Afghanistan badala ya Watalaban waliopo Sasa hivi,angekua ankunywa chai Washington Kila wikiendi.

Marekani Ingekua na uwezo huo Sasa hivi Niko Maduro angekua mfungwa Venezuela,na Guaido angekua ndio Rais wa Venezuela hivi Sasa.

Marekani Ingekua na nguvu hiyo Sasa hivi Bashir Al Assad angekua marehemu au mfungwa huko Syria..

siku zote,Unapopoteza nguvu ni ngumu sana kukubali na kuona kwa macho,ila waandishi huona ndio maana wamemuuliza.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia na China wamewashika vibaya washirika Marekani wanatapatapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Japanese Prime Minister Kishida Arrives In Kiev For Zelensky Talks

Japanese Prime Minister Fumio Kishida arrived in Kiev on Tuesday by train to meet Ukrainian President Vladimir Zelensky, just hours after meeting Indian PM Narendra Modi in New Delhi.

Kishida is the last G7 leader to visit Ukraine since the start of the special military operation - and is set to chair the group’s summit in May - and is expected to announce further support for Kiev.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…