Unataka kusema wewe unaujua uchumi kuliko bricsSomehow nikukatishe kitu bro,
Kwenye trading hasa hii ya foreign exchanges (Forex) kuna kitu inaitwa trade pair.
Pair ni just between two, ya tatu ni uongo.
Lel say tunabadil Mtama na Mchele, kwamba 4Kilo Mtama kwa 1 Kilo Mchele. Hii is what we call Trade Pair.
Kutoka kwenye maelezo yako hapo juu ni kama umetaja trade pair zaidi ya moja
Kwamba TSH/USD
then USD/INR
Mwisho ndio iwe TSH/INR
Hilo binafsi nasema linawezekana kwa kuzungumzika tu ila practicality ni zero na kitu ambacho hakiwezekani. Kila pair ulio taja ina involve fees.
Ukituma TSH to someone in India inakuwa exchanged moja kwa moja to Indian Rupee INR bila kuipeleka to USD first. Kinachofanyika online ni kama kinachofanyika manual kwenye zile Bureau Exchange zetu za kawaida.
Kwani ulishawahi kwenda Bureau Exchange unataka fedha ya kenya wakabadilisha kwanza to dollar then wabadilishe tena to KES ndio wakupe? Si kweli.
The exchange to USD, I mean trade pair ya TSH/USD Itafanyika if and only if utakua unahitaji dollar unless utakua na jambo lako binafsi.
Nikupe mfano mwingine wa kuelekezana hili kwa mapana. Hope bank umeingia mara nyingi... zile rates umezisoma sana ukutani. Always bei ya kununua na bei ya kuuza iko tofauti. Bei ya kuuza ikiwa chini huku bei ya kununua ikiwa juu. Sasa hiki kishike vizuri af tutumie number kuupima mtizamo ulio nao.
Kubadili TSH to USD means unafanya ununuzi so bei itakua juu... lel say ni 15 kwa 1. So kama unahitaji 10 utakua umetoa 150TSH ili upate USD hizo 10. Then uje awam ya pili kuzitoa hizo 10 USD kuzipeleka katika Rupee... USD to INR. Maana ake itakulazimu ufanye ununuzi wa mara ya pili ambapo napo bei itakua juu. Na of course hii ni biashara kichaa hakuna bank inayoweza kufanya hivi.
That's why leo hii unawezs open bank account ya currency tofauti tofauti zaidi ya moja. Mfano unaweza ukawa na account ya bank in Tsh only, ama ukawa na account with Multi currencies like Euro, Yuen, Ruble, USD etc. Main purpose ya account kama hizi ni ku'hold values na kuepuka exchanges fees when you need them.
Kwa mfano wale wenye shughul za mara kwa mara nje ya nchi akiwa na account yake lel say in Yuen hahitaji kuingia gharama za Exchanges akiwa China.
So instead zipo trade pair kwa kila currency ya nchi duniani kote. Hata leo hii ukifika tu mpaka wa Rwanda, unaweza badil fedha zako za TZ upate za Rwanda bila dalal wa kati anayeitwa dollar. Sio lazima uwe na Dagaa ili uweze fanya mabadilishano ya Nazi na Maharage.
It's not that hard to ditch away mdudu dollar, na haijaanza jana wala juzi. Ilianzia kitambo tu Europe wenyewe tangu kuanzishwa kwa EURO, before that US dollar ilikuwa na global share of almost 90%, 1999 ilishuka hadi 71%... 2021 ilikua inasoma 57% na kwa mwendo huu yajayo yanafurahisha.
Hapa bongo tuna msemo wetu, mbwa ukisha mjua jina hakusumbui. This is what China and Russia wanamfanyia US... Wanamjua nje ndani. United State sio taifa la kale enzi za akina Nuh, ni la juzi tu. Ni taita ambalo lime take Global Power baada ya Vita ya pili ya dunia na kuanguka rasmi kwa USSR. Hapa tusisungumzie akina nani walio kua behind those two world war!
In short they know much zaidi ya kile tunachokiona nje. Umegusia Petro Dollar, umesahau au unakumbuka ila umepotezea kujiuliza how "Petro-dollar" imekuja into existence.
Unasema kila kitu lazima kinunuliwe kwa dollar, maybe its true... but why we are forced to do so? Of course ni ku-keep demand high ili aongeze supply kwa ku-print more dollars afanyie shughul zake. In some case you don't need to say terms kama "Stable", "Trust"... It's a joke, unasemaje "Trust" ilihali unapigwa pini ukienda kinyume na matakwa ya mhusika?
Anyway usiku umekwenda niweke kituo nikalale zangu [emoji99][emoji99][emoji99][emoji99]
Ndivyo mambo yalivyo kwenye dunia hii. Kuna mmoja kwenye mbio za km 10 amepewa head start ya 30mnts. Mfumo niliougusia ndio najua mambo yalivyo kwa jinsi nilivyopitia makbrasha mbalimbali. Hata kwa Swift huwezi transfer pesa kwa mabenki mawili ya nchi tofauti yasiyokuwa na uhusiano bila kuwa na 3rd party/intermediary bank ambapo USd lzm ihusike na fees zake pia huwezi kuzikwepa. Na transaction nyingi sasa zinahusisha mabenki yasiyo na uhusiano.Somehow nikukatishe kitu bro,
Kwenye trading hasa hii ya foreign exchanges (Forex) kuna kitu inaitwa trade pair.
Pair ni just between two, ya tatu ni uongo.
Lel say tunabadil Mtama na Mchele, kwamba 4Kilo Mtama kwa 1 Kilo Mchele. Hii is what we call Trade Pair.
Kutoka kwenye maelezo yako hapo juu ni kama umetaja trade pair zaidi ya moja
Kwamba TSH/USD
then USD/INR
Mwisho ndio iwe TSH/INR
Hilo binafsi nasema linawezekana kwa kuzungumzika tu ila practicality ni zero na kitu ambacho hakiwezekani. Kila pair ulio taja ina involve fees.
Ukituma TSH to someone in India inakuwa exchanged moja kwa moja to Indian Rupee INR bila kuipeleka to USD first. Kinachofanyika online ni kama kinachofanyika manual kwenye zile Bureau Exchange zetu za kawaida.
Kwani ulishawahi kwenda Bureau Exchange unataka fedha ya kenya wakabadilisha kwanza to dollar then wabadilishe tena to KES ndio wakupe? Si kweli.
The exchange to USD, I mean trade pair ya TSH/USD Itafanyika if and only if utakua unahitaji dollar unless utakua na jambo lako binafsi.
Nikupe mfano mwingine wa kuelekezana hili kwa mapana. Hope bank umeingia mara nyingi... zile rates umezisoma sana ukutani. Always bei ya kununua na bei ya kuuza iko tofauti. Bei ya kuuza ikiwa chini huku bei ya kununua ikiwa juu. Sasa hiki kishike vizuri af tutumie number kuupima mtizamo ulio nao.
Kubadili TSH to USD means unafanya ununuzi so bei itakua juu... lel say ni 15 kwa 1. So kama unahitaji 10 utakua umetoa 150TSH ili upate USD hizo 10. Then uje awam ya pili kuzitoa hizo 10 USD kuzipeleka katika Rupee... USD to INR. Maana ake itakulazimu ufanye ununuzi wa mara ya pili ambapo napo bei itakua juu. Na of course hii ni biashara kichaa hakuna bank inayoweza kufanya hivi.
That's why leo hii unawezs open bank account ya currency tofauti tofauti zaidi ya moja. Mfano unaweza ukawa na account ya bank in Tsh only, ama ukawa na account with Multi currencies like Euro, Yuen, Ruble, USD etc. Main purpose ya account kama hizi ni ku'hold values na kuepuka exchanges fees when you need them.
Kwa mfano wale wenye shughul za mara kwa mara nje ya nchi akiwa na account yake lel say in Yuen hahitaji kuingia gharama za Exchanges akiwa China.
So instead zipo trade pair kwa kila currency ya nchi duniani kote. Hata leo hii ukifika tu mpaka wa Rwanda, unaweza badil fedha zako za TZ upate za Rwanda bila dalal wa kati anayeitwa dollar. Sio lazima uwe na Dagaa ili uweze fanya mabadilishano ya Nazi na Maharage.
It's not that hard to ditch away mdudu dollar, na haijaanza jana wala juzi. Ilianzia kitambo tu Europe wenyewe tangu kuanzishwa kwa EURO, before that US dollar ilikuwa na global share of almost 90%, 1999 ilishuka hadi 71%... 2021 ilikua inasoma 57% na kwa mwendo huu yajayo yanafurahisha.
Hapa bongo tuna msemo wetu, mbwa ukisha mjua jina hakusumbui. This is what China and Russia wanamfanyia US... Wanamjua nje ndani. United State sio taifa la kale enzi za akina Nuh, ni la juzi tu. Ni taita ambalo lime take Global Power baada ya Vita ya pili ya dunia na kuanguka rasmi kwa USSR. Hapa tusisungumzie akina nani walio kua behind those two world war!
In short they know much zaidi ya kile tunachokiona nje. Umegusia Petro Dollar, umesahau au unakumbuka ila umepotezea kujiuliza how "Petro-dollar" imekuja into existence.
Unasema kila kitu lazima kinunuliwe kwa dollar, maybe its true... but why we are forced to do so? Of course ni ku-keep demand high ili aongeze supply kwa ku-print more dollars afanyie shughul zake. In some case you don't need to say terms kama "Stable", "Trust"... It's a joke, unasemaje "Trust" ilihali unapigwa pini ukienda kinyume na matakwa ya mhusika?
Anyway usiku umekwenda niweke kituo nikalale zangu [emoji99][emoji99][emoji99][emoji99]
Hizo tanks nazani wanazuga tu ili ufanye mpango wa amani na iwe mwisho wa habari US bila NATO Ni Sudan kusini kabisaaaaaaa.Kishida vowed that his country would help Ukraine “with the greatest effort to regain peace” during a visit to Kyiv on March 21. Kishida’s visit to Kyiv occurred as Chinese leader Xi Jinping was visiting Moscow.
Meanwhile, the Pentagon said on March 21 that the U.S. would provide an older version of the M1 Abrams tanks to speed up the delivery.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Eeh wamerudishwa wale ambao ni brain washed..15 ....pata picha ni wangap wamegoma kurudi kwa wanazi...watoto 15 kati ya 307,000+Ombudsman Dmytro Lubinets reported on March 21 that 15 children from formerly-occupied territories of Kharkiv and Kherson oblasts were returned to Ukraine.
"Finally home! Despite all the challenges, we continue to work so that Ukrainian children have the opportunity to see their relatives and be on their land," Lubinets wrote
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnama una uraibu wa kupost jamvinPresident of Ukraine Volodymyr Zelensky accepted the invitation to participate in the G7 summit in May in an online format.#stoprussia #StopRussianWar #StopRussianAggression
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umekosea mkuu, fuatilia upya...Dhahabu ndio kipimio halisi cha currency yoyote duniani, umeikuta dola ndio ulinganifu wa currency KWASABABU...Mkuu hii mechanism pia still inadepend dollar. Kwa nje utaona kama haipo au haihusiki lkn yenyewe ndio imeinfluence mfumo mzima.
Chukulia mfano unataka kumlipa mtu aliyepo India let say umeagiza mzigo wa vitambaa wa rupee milioni 5. Wewe una shilingi za kitanzania mtu aliyekuuzia anapokea rupee ukienda bank na kufanya muamala huo au ukitumia njia nyingine utaona inawezekana na dollar haitahusika lkn imehusika.
Wewe una akaunti ya sh kwenye local bank kama crdb na huyo supplier wako ana akaunti ya rupee kwenye bank ya kwao India let say Baroda. Mfumo utahitaji crdb wawe na akaunti ya dollar kwenye bank ya kimarekani na Baroda nao wawe na akaunti ya dollar kwenye benki ya kimarekani pia (inaeza kua benki hiyohiyo moja). Wewe ukitaka Crdb wamlipe supplier wako kiasi fulani wao crdb watahamisha pesa (dollar) kutoka kwenye akaunti yao kwenye us bank kwenda kwenye akaunti ya Baroda ya dollar pia kwenye us bank alaf baroda watamuingizia huyo supplier kwenye akaunti yake ya rupee sawa na kiasi cha dollar walizopokea.
Ili dollar ihamwe sio jambo rahisi. Kitu kikubwa dollar ina stability/trust na uwezo wa kununua bidhaa muhimu duniani i.e. oil. Hauhofii kuamka asbh na kukuta imashuka thamani kwa % kubwa pia bila dollar ndio pekee utayoweza kununulia mafuta. Ndio sababu kila mtu anataka dollar.
Mmmh kawaida kutizama kitu kimoja kila mtu akawa na uelewa wake kulingana na kile ambacho tayar anakifaham juu ya kile alichokiona.Ndivyo mambo yalivyo kwenye dunia hii. Kuna mmoja kwenye mbio za km 10 amepewa head start ya 30mnts. Mfumo niliougusia ndio najua mambo yalivyo kwa jinsi nilivyopitia makbrasha mbalimbali. Hata kwa Swift huwezi transfer pesa kwa mabenki mawili ya nchi tofauti yasiyokuwa na uhusiano bila kuwa na 3rd party/intermediary bank ambapo USd lzm ihusike na fees zake pia huwezi kuzikwepa. Na transaction nyingi sasa zinahusisha mabenki yasiyo na uhusiano.
Haina maana ni mfumo fair na sijasema ni mfumo fair. Ndio maana juhudi za kuikimbia dollar ni kubwa kila pembe ya dunia asante pia kwa mfano wa Euro. Je, kujitoa kwa UK kwenye EU kuna uhusiano na hili pia?
Point yangu ni kwamba tusifikirie ni kitu kirahisi kuihama
Sawa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Mnama una uraibu wa kupost jamvin
Na ndio maana ikitokea hakuna latest unalazimika kutuma post za zaman ili mrad utume
Mwamba atakutafutia dawa ya kuondokana na hio hali
Pole sana mnama View attachment 2561307
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Mkuu sikupi sababu unazotaka bali nakupa ushahidi....Mkuu najiuliza kama unatumia maneno yako ukitaka kuwatukana matusi tu? Au unaamini kweli kwamba kuna uhalisia fulani juu ya mambo ya lgtb?
Yaani una mifano kweli kwamba viongozi wa nchi za NATO ni washoga? Au ni watu waliobadilisha jinsia? Kama ni vile, nashukuru ukitaja mifano na sababu zako.
Wanajitangaza wenyewe na wameweka sheria na sera nyingine wanazipenyeza hadi kwenye nchi za wengine hasa wakati wa hitaji fulani...sasa wewe unawafichia kwenye wanalolipigania waziwazi unataka kumaanisha nini? Nini lengo lako?Mkuu, siwezi kutambua kwamba Ukraine ni "best army" kuliko nchi yeyote ya NATO.
Lakini nina swali: ukimwita Biden "shoga", je unataka kumtukana tu au una sababu yoyote kuamini yeye ni shoga? Ukiwa na sababu, nashukuru ukieleza kifupi "shoga" ni nani na jinsi gani yule babu Biden anapaswa kuitwa vile.
(najaribu kuelewa siri ya lugha hiyo kuhusu NATO au "magharibi" kuwa washoga, LGBT na kadhalika)
Kwenye vita hakuna "evacuation" kwa jeshi pinzani..bali kuna PoW....lingine ???Tuambie tofauti ya Vita na SMO kwenye huu mgogoro unaoendelea hapo Ukraine......?
Ulikua hujafuatilia...ulikua na ushabiki mwingi...vinginevyo itakua wewe ni mpotoshaji hapa jukwaani..yaan manipulatorMkuu nakumbuka kwamba nilitaja changamoto ya kifizikia kutumia roketi ya hypersonic pamoja na rada ambayo inahitajika kulenga kwa umakini hasa kama lengo inasogea. Nilirejelea makala iliyomtaja mtaalamu mmoja -
Jinsi ilivyo mara nyingi, hakuna aliyejaribu kujibu hoja. Badala yake lugha ya kawaida kuhusu "propaganda ya NATO" au "wamagharibi". Ukipenda kujadili - angalia Putin's 'invincible' missile has a very common problem
Nimekupata. Yaani ukitaka mafuta ya saudia inabidi uwe na dollar na ili kuipata dollar ni lzm uuze kitu USA au ununue kutoka nchi nyingine yenye reserve ya dollar ambapo nayo itakuwa imeipata kwa kuuza us wakati US yeye dollar anaipata kwa kuichapa tu kwenye printa chumbani[emoji1787]Umekosea mkuu, fuatilia upya...Dhahabu ndio kipimio halisi cha currency yoyote duniani, umeikuta dola ndio ulinganifu wa currency KWASABABU...
The way US anavyo-impose sunction kwa nchi asiyoipenda ndivyo alivyoshinikiza dola iwe mlinganyo wa mauziano ya bidhaa duniani baada ya kuona uchumi wake haukui kwa kuprint dola linganifu na hazina(us reserve) yake ya dhahabu...
Kwenye mashinikizo yake alikua na nguvu kipind hcho kwenye mifumo mingi ya kifedha unayoijua wewe..ili kupunguza competition akapendekeza hilo wazo la kuitoa dola kwenye ulinganifu wa dhahabu na kuipanga yenyewe ndio iwe "dhahabu" dhidi ya currency zingine zote duniani,
Ilipofanikiwa kuipitisha, akaprint dola za kutosha dunia, sio za kutosha reserve ya marekani tena bali reserve ya dunia nzima... (aka-assume kinguvu rasilimali zote duniani ni za USA) nguvu alinazotumia kushawish west wazipige nchi zngne sunction ndio nguvu aliyotumia kufanya hayo.
Kwahiyo tukirudi kwenye ulinganifu halisi wa gold inamaanisha nchi zote zenye rasilimali asilia kutoka ardhi ya ALIETUUMBA ndie atakua na nguvu halisi kwa wale watakaofanikiwa kuzivuna na kuziweka kama reserve zao..
Hizo dola zitashuka thamani kuliko ilivyoshuka hela ya uganda kpindi cha vita au zimbabwe kipnd wazungu wanaondoshwa huko, maana dola zote zikirudi USA fikiria ni anguko la kiasi gani atapata, ndio maana ni mkali kwelikweli, na akitaka asianguke asikubal dola zirud kwake, wale anaowadai warudishe madeni kwa kutumia dhahabu, vinginevyo kilio chake atakituliza kwa vita ya nyuklia kwa huyu aliemsababishia haya yote, hawez kubali kushindwa, atasema bora wote tukose tuanze upya.
Ila kama unamuonea huruma USA mpambanie ndugu yangu..mzungu wako asianguke...pambania unapofurahisha moyo wako..