Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aisee hii ni hatari, maana zile dollars zote walizoprint kuingia kwenye mzunguko wa Dunia, zitarudi USA na kusababisha inflation
Ni mjanja hatakubali zirudi, atajifanya kukusamehe riba mpya kwa makubaliano awekeze nchini kwako kwa kiasi chote anachokudai...mwizi ni mwizi tuu anakuibia alafu anakuuzia mali zako hzohzo
 
Urusi na Ukraine ni walewale tu...yaani Ukraine ni kama Russia mdogo..characteristics za warusi, kijeshi ni almost the same tu, silaha n.k..Hivyo Ukraine naye sio wakubezwa hata kidogo..kwa vinchi vya kijinga Ulaya huko anafyeka tu
Mkuu kama ulinielewa nilikuwa namaanisha kuna baadhi ya nchi za NATO zina nguvu kuliko ukraine kama us,uk,france,turkiye nk.na si kama alivyosema member hapo juu kuwa ukraine ananguvu kuliko nchi yeyote ya NATO(US included).ndio nikamuambia hapana afikirie upya kauli yako(ushabiki ulizidi kuliko uhalisia)
 
Hajafa huyu mkuu..
 
Tunakumbushana tu


Kishida na Japan yake wananunua gesi ya Urusi kwa rubble

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Ni kitu rahisi kuihama ikiwa serikali na serikali zitawekeana mikataba ya malipo baina yao..itaepusha wewe kupandishiwa malipo na charges zisizo za lazima zinazofaidisha nchi moja tu dunian
 
Nimekusoma mkuu shukrani kwa jibu mujarabu. Paragrapgh wala zisikutishe maana nimesoma zote na kuna nilizorudia mara mbili na zaidi.

Nafkiri mm na wewe tunaongelea upande tofauti wa shilingi moja. Wewe ukiwa unazungumzia zaidi foreign xchng mimi nazungumzia zaidi foreign/int transfer. Kimsingi Hapo hakuna hata moja inayohitajia
Dollar kuexist niko pamoja na wewe kwenye hilo lkn kuna watu wameforce sana foreign transfer ihitajie Dollar. Wameilazimisha! And thats how the system works right now mainly.

Labda nikuombe ufafanuzi how does it work technically kama mimi nina account ya pesa za madafu NBC nataka kumlipa mchina mwenye akaunti ya yuan China merchant bank wakati hizi bank mbili hazina kbs uhusiano wa kibiashara. Bear in mind swift is not a real transfer of money but messages.

I don't know lkn nakumbuka kuna kitu niliwahi kusoma nafkiri hapahapa jf kuhusu brexit, great thinkers kule kuna baadhi ya wataalamu walidai kujiondoa kwa uk kwenye eu ni mpango wa kuipungiza nguvu eu na euro ndio maana nikakuuliza lile swali. Pengine kweli Euro ilikuwa tishio kwa usd na us. Kama una lolote kuhusu hilo hebu jazia hapo

Bilateral agreements zinakuja kwa kasi sana. Mchina mwenyewe kashaingia mikataba hiyo na nchi kibao. Na nasikia ana mpango wa kuzioffer discount ya 1% kwenye riba ya mikopo aliyoitoa kupitia BRI ili nchi daiwa zilipe mikopo hiyo kwa yuan. 14% ya mikopo yake ametoa kwa yuan. Na kuna hofu kuwa akaanza kupokea malipo kwa Yuan tu kwenye biashara na washirika wake wa BRI
 
Mie tabu nayoipata unaponambia turudi kwenye dhahabu wakati kuna nchi hawana dhahabu kabisaa that means unamaanisha wawe mufilisi au? Naogopa husije kuwa ni janja ya Russia maana anajua yeye dhahabu anayo ya kutosha. Kila nchi Mungu kaijalia utajili wake kuna wengine kawajalia aridhi yenye rutuba tu basi huwezi waambia utajili wao waupime kwa dhahabu waliyonayo. Ukisema wanunue dhahabu maana yake umelenga kumtajilisha yule ambaye Mungu kamjalia iyo mali asili mfano Russia
 
Boss Mm ni drs la saba, naomba unieleweshe hapo. Mchina akija na Yuan zao, bila uwepo wa currency nyingine kama mzani, ni nn kitatumika kusema Yuan kadhaa ni Tsh kadhaa esp katika mazingira ambayo fedha moja demand yake ipo chini kama tsh na wote tukaridhia?
 
Ndivyo ilivyo. Rejea post ya Kakijana hapo juu. Utajiri wa nchi utategemea na rasili mali walizonazo na sio ushapu wa [emoji986] kwenye kufyatua tu makaratasi yasiyo na thamani.

Anyway hii ni mada ngumu na inayohitaji utaalamu mkubwa kama mm nitakosa majibu yote
 
Hawa jirani Mexico wamzingue USA na kwa hii logistics hata dunia nzima iwe nyuma ya Mecico ingeisha angukia mikononi mwa USA,sababu is too close kufanya ipigwe!

Tatizo la Urusi kutoichukua hadi leo Ukraine ni nn?
Russia has been real exposed
Kwani Nani amekuambia Russia anataka kuchukua maeneo yote ya Ukraine? Russia Hana shida ya maeneo tumia Akili.
 
Japo na mimi ni darasa la saba C, lakini aliyeanzisha mfumo wa utajiri wa makaratasi hakuwa mjinga, ukilitazama kwa kina aligundua kuna nchi hazina utajiri wa asili unaoweza kuhamishika kama minerals lakini zina watu wanaoweza kufanya kazi na kuzalisha mali. Ndiyo maana utajiri wa makaratsi(currency) unapimwa kwa uwezo wako wa kuzalisha siyo mali ulizokalia aridhini. Kwa mantiki hii huu mpango ukifanikiwa utasema Russia ni tajiri kuliko China wakati warusia ni watu wa tungi wakati wachina ni watu wa kujituma na kazalisha mali.
 
Mkuu

Point 1: Sio kweli kwamba kuna currency inabidi iwepo ili iwe au itumike kama mzani. Hapana.

Point 2: Gold ndiyo ilikuwaga inatumika kama mzani. Ndio maana hata USD ilipoanza kutumiaka kama International settlement currency, ilikuwa backed na Gold. Gold Standard. Lakini baadae wakaja kutoa hiyo Standard

Point 3: Nchi zitakubaliana exchange rates za pesa zao na biashara zitafanyika. Mbona zamani before USD biashara zilikuwa zinafanyiaka.?
 
Tuambie tofauti ya Vita na SMO kwenye huu mgogoro unaoendelea hapo Ukraine......?
Vita hua unapiga mpaka sehemu za maamuzi mpaka baadhi ya watoa maamuzi kama vile wizara ya ulinzi nk

Ila SMO ndio unaona kama hii sehemu zawatoa maamuzi zinajulikana ila zinaachwa tu kama hazijulikani zilipo

Pia nchi inakua na tahadhari kubwa kama walofanya UKRAINE wamefunga mipaka ya nchi hakuna mwanaume kati ya 18-60yrs anaruhusiwa kuondoka wote wapambanie taifa lao lililo vitani ila kwa RUSSIA hakuna hili

Kunatofauti nyingi tu za vita na smo ila hizi zinatosha

Mkitaka RUSSIA atangaze vita ombeni UKRAINE apewe silaha zakupiga pale MOSCOW halaf muone kitaenda kutokea nn

SMO inaendelea vyema
 
Nchi ya slovakia imepata punguzo la bei toka kwa Marekani kwa Helkopta aina ya Bell AH-1Z Viper kutokana na nchi ya Slovakia kuwasaidia Ukraine ndege zake 13 za kivita zisizotumika aina ya Mig-29.

Badala yake Marekani itaiuzia Slovakia Helkopta za kivita 12 kwa bei ya punguzo ya Dollar milioni 340 badala ya dollar bilioni moja.
 
Mkuu mimi naona kama kutangaza au kutotangaza general mobilization inategemea na strength za adui na mazingira ya mgogoro(rejea armenia-azbaijan war)
Upande mmoja unaweza ukawa sawa pia upande mwengne unaweza ukawa haupo sawa

Badhi ya nchi general mobilization inatangazwa wakati nchi ikiwa ipo kwenye vita sio kama ikiwa kwa SMO kama ilivyo RUSSIA

Wao watatangaz general mob ikiwa taifa lao likiwa vitani sasa kwasasa hawapo vitani ndio maana hakuna general mobilazition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…