Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Take it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Marekani still yupo Syria na sehemu alipo russia hawezi kanyaga .na sehemu alipo russia..Usa hawezi kanyagamarekani alipo jaribu kuivamia Syria kwa manowari za kivita
Urusi ilipeleka meli mbili tu! Mmarekani akakimbia
Urusi ikachukua jimbo la Crimea marekani hakufanya kitu
Noth Korea imejihami kwa Uchina na Urusi marekani hawana la kumfanya kiduku
Tangu hapo kikafahamu kuwa Marekani siyo super power tena
Hizi ndio propaganda za magharibi... Utaambiwa mamilioni wafariki.. halafu bomu limetupwa msituni au jangwani
yumo humu anapita pitaHahahhaha.. ukraine kwa jinsi ilivyokuwa unstable mrusi anaenda mwongezea maumivu zaid. Unajua ukraine imebomoka kiuchumi kabisa sabab ya chokochoko hiz za kila siku.. sasa imagine jamaa wanakukandamizia misumari zaid
Putin apambane na wakubwa wenzie bana.. anamuonea ukraine .. sasa kama ukraine anaona anapata nafuu ya maisha zaid akiwa na west kuliko east.. why asijiunge nao... Ila putin namuelewa.. hata ningekua mim ningehakikisha navunja huo urafik na hao rivals
Najua Putin yumo humu ataona tuu.. hahahahhahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuchumi anaenda kuwa dhoof lihaliTangu zamani Kijeshi Urusi ni mbabe kama USA ila ki uchumi ni mnyonge sana....
Atachoka sana., Amemwaga mboga.....Kiuchumi anaenda kuwa dhoof lihali
Putin kachokoza tu sio kwamba anampiga msikini, hapo kikinuka USA na NATO wanamsupport Ukraine, Na china plus kim kiduku wakimsupport Putin tutaona ww3.Yaan Putin hama tofaut na mbwa anaeufyata mkia huku anabweka
Madai yako tunayajua
1.hutak Ukraine ajiunge NATO
2.Hutak ushirikiano wa ukraine na west kwenye mpaka wako na ukraine kijeshi
3.humtak kiongoz mpya wa ukraine sabab
4.hutak biashara kat ya ukraine na west especialy marekan
Sasa bro Putin ..unajua kabisa ukraine ni taifa maskin kabisa hawana lolote hawana chochote...nashangaaga sana hata wazaz wanaopeleka watoto kusoma elim ya juu ukraine..(uelewa)
Sasa Bro Putin..why usipambane na hao wanaoinyemelea hyo eneo unaenda mpiga maskin ukraine
Yaan ni sawa baba awe na ugomvi na baba mwenzie jiran..halaf ashindwe m face huyo baba..aende kupiga watoto wa huyo baba
Bro Putin..jipange..unaonekana ni mbabe unaeufyata mkia.
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita siku tatu watakuja walevi wakwambie ukraine ni dhaifu kumbe mzee mzima alishawaweka duarani. Watu vita wanaviweza mazee.Mwamba Putin ameshasema atakaeshoboka atamuoa bila mahari😂
Ninyi ndo mnasababisha siku hizi mungu aonekane kama kaptula ya mtumba siku hizi. Israel saizi yake hizbollah. Acheni kumuhusisha mungu wenu na vitu vya ajabu mnamdhalilisha.Mi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.
Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
🤣🤣🤣🤣🤣DadekiiiWote alowapigia 27 hawakupokea simu, hapa nawaza si ampigie mama? Si chifu ana huruma anaweza tuma hata majeshi yake yasaidie Ukraine.