LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Take it from me, hakuna vita hapo!

Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.

Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.

Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
marekani alipo jaribu kuivamia Syria kwa manowari za kivita
Urusi ilipeleka meli mbili tu! Mmarekani akakimbia

Urusi ikachukua jimbo la Crimea marekani hakufanya kitu

Noth Korea imejihami kwa Uchina na Urusi marekani hawana la kumfanya kiduku

Tangu hapo kikafahamu kuwa Marekani siyo super power tena
Marekani still yupo Syria na sehemu alipo russia hawezi kanyaga .na sehemu alipo russia..Usa hawezi kanyaga
 
Hapa ndio kwenye ubaya wa vita
FMXur8KWUAQlni8.jpeg
 
Milipuko mikubwa na mashambulizi ya anga imeshuhudiwa kote mjini Kyiv wakati vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vikiingia siku yake ya pili.



Maafisa wa Ukraine wamesema Urusi imefanya mashambulizi zaidi ya makombora kuzunguka mji mkuu.

Picha za video zimeonyesha kitu kikubwa -- ama ndege au kombora -- kikianguka kutoka angani baada ya kupigwa risasi.



Maelfu ya watu mjini Kyiv wamekaa usiku kucha katika kituo cha gari moshi ili kujikinga na tishio la mashambulizi ya anga.



Baadhi ya raia wa kutoka Afrika mashariki wanaelezea hisia zao kufuatia vita vya Urusi dhidi ya Ukraine kuingia siku yake ya pili. Mdadisi amezungumza na wanafunzi Watanzania ambao wapo masomoni nchini Ukraine na pamoja na wazazi wa baadhi ya wanafunzi ambao ni raia wa Kenya.




Kuhusu hali na taharuki zinazoendelea nchini humo
 
UPDATE Unusual Russian Navy Concentration Seen In Eastern Mediterrean

Literally the whole #Russian Navy in Med (that we know of) sailed to Syria this morning, while invasion of Ukraine was unfolding. Two SLAVA class cruisers, DDGs, FFGs, 2 Submarines
 
Hahahhaha.. ukraine kwa jinsi ilivyokuwa unstable mrusi anaenda mwongezea maumivu zaid. Unajua ukraine imebomoka kiuchumi kabisa sabab ya chokochoko hiz za kila siku.. sasa imagine jamaa wanakukandamizia misumari zaid

Putin apambane na wakubwa wenzie bana.. anamuonea ukraine .. sasa kama ukraine anaona anapata nafuu ya maisha zaid akiwa na west kuliko east.. why asijiunge nao... Ila putin namuelewa.. hata ningekua mim ningehakikisha navunja huo urafik na hao rivals

Najua Putin yumo humu ataona tuu.. hahahahhahah

Sent using Jamii Forums mobile app
yumo humu anapita pita

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Nobody should feel any doubts that a direct attack on Russia would end with the potential aggressor’s defeat and terrible consequences for the attacker.

Whoever may try to create obstructions to us, let alone pose threats to our country and our people, they should know that Russia’s response will follow without delay and entail consequences that you have never encountered in your history.

Hakuna mtu anayepaswa kuwa na shaka kwamba shambulio la moja kwa moja dhidi ya Urusi litaisha kwa kushindwa kwa mvamizi na matokeo mabaya kwa mvamizi.

Yeyote anayeweza kujaribu kutuwekea vikwazo, achilia mbali vitisho kwa nchi yetu na watu wetu, wanapaswa kujua kwamba majibu ya Urusi yatafuata bila kukawia na yatajumuisha matokeo ambayo hujawahi kupata katika historia yako.
 
Yaan Putin hama tofaut na mbwa anaeufyata mkia huku anabweka
Madai yako tunayajua
1.hutak Ukraine ajiunge NATO
2.Hutak ushirikiano wa ukraine na west kwenye mpaka wako na ukraine kijeshi
3.humtak kiongoz mpya wa ukraine sabab
4.hutak biashara kat ya ukraine na west especialy marekan

Sasa bro Putin ..unajua kabisa ukraine ni taifa maskin kabisa hawana lolote hawana chochote...nashangaaga sana hata wazaz wanaopeleka watoto kusoma elim ya juu ukraine..(uelewa)

Sasa Bro Putin..why usipambane na hao wanaoinyemelea hyo eneo unaenda mpiga maskin ukraine

Yaan ni sawa baba awe na ugomvi na baba mwenzie jiran..halaf ashindwe m face huyo baba..aende kupiga watoto wa huyo baba

Bro Putin..jipange..unaonekana ni mbabe unaeufyata mkia.

Uzi tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
Putin kachokoza tu sio kwamba anampiga msikini, hapo kikinuka USA na NATO wanamsupport Ukraine, Na china plus kim kiduku wakimsupport Putin tutaona ww3.

Af Putin mjanja, hawa jamaa wana intelijensia zao ambazo wanajua kama ukraine akibond na west basi ikitokea vita yyt kubwa Urusi atapigwa sana coz huo mpaka utakua ni kama military base ya NATO na USA.


Kuhusu watu kupeleka watoto kusomea Ukraine nlisemaga tangu zaman ni ushamba tu.
 
Mi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.

Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
Ninyi ndo mnasababisha siku hizi mungu aonekane kama kaptula ya mtumba siku hizi. Israel saizi yake hizbollah. Acheni kumuhusisha mungu wenu na vitu vya ajabu mnamdhalilisha.
 
Back
Top Bottom