Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hili tamanio ni zuri lakini utekelezaji wake ni mgumu sana. Bahati mbaya hii ni mada ya vita ya Ukraine na Urusi ingawa tunachombeza na mambo mengine mtambuka kuhusu Urusi na Marekani pamoja na kapu zima la maadui wa Marekani!!Dunia inahitaji kuwa na mizani sawaia,maana yake hapa at the end hizo jumuia kama EU,BRICS, AU,na ule umoja wa kiarabu kila jumuia utakuwa na fedha zake ambazo Zita cover hilo gap.
Umeongea kweli.Mkuu kiufupi hakutakiwi kuwa na fedha mmoja yenye nguvu,sababu Nchi moja fedha yake ikitumika ku-facitate international trade duniani unaipa hiyo Nchi advantage za kiuchumi mwishowe anakuwa mkubwa mpaka anaota mbawa na kuanza Ku dictate mambo na vitu vya ajabu against Nchi zingine ndicho anachokifanya USA.
Dunia inahitaji kuwa na mizani sawaia,maana yake hapa at the end hizo jumuia kama EU,BRICS, AU,na ule umoja wa kiarabu kila jumuia utakuwa na fedha zake ambazo Zita cover hilo gap.
Je? Tanzania ndio imefanya ushoga kuwa sera yake kamili ya mambo ya nje( Diplomasia)?Hivi ushoga upo Marekani tu?? Mimi tangu nakua nawajua mashoga katikati ya jamii yetu watanzania. Dar es salaam angalau kila eneo kuna shoga maarufu anayefahamika. Jengeni hoja na siyo kila wakati mnajificha kwenye kichaka cha kuutaja ushoga!!
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Bado upo na wazo ya kizamani enzi za mababu zetu wanapewa shanga wanatoa dhahabu.Hili tamanio ni zuri lakini utekelezaji wake ni mgumu sana. Bahati mbaya hii ni mada ya vita ya Ukraine na Urusi ingawa tunachombeza na mambo mengine mtambuka kuhusu Urusi na Marekani pamoja na kapu zima la maadui wa Marekani!!
Sawa lakini ukweli ndiyo huo. Hebu wewe elezea hilo lengo la kuwa na fedha kwa kila eneo litakavyofikiwa. Kwa kuanzia na hapa kwenye Jumuiya yetu ya Afrika ya Mashariki na uelezee ni jinsi gani kuwepo kwa fedha hiyo kutapunguza utegemezi wa kutumia Dollar kwenye kufanya biashara na mataifa mengine.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Bado upo na wazo ya kizamani enzi za mababu zetu wanapewa shanga wanatoa dhahabu.
Mawazo yako ni ya kimaskini. Kwa mwandiko wako wewe ni mtoto wa mwisho unategemea kuendelea kunyonya maziwa ya mama yako wakati ndevu zimeanza kuota.
Marekani kuna vyama viwili vikubwa vya siasa. Ikiwa madarakani Republican huwezi kusikia haya mambo ya Ushoga kuungwa mkono, lakini Democratic wakiwa madarakani ni lazima wataunga mkono ushoga.Je? Tanzania ndio imefanya ushoga kuwa sera yake kamili ya mambo ya nje( Diplomasia)?
Na inatumia financial muscle yake kulazimisha nchi nyingine kufuata Hilo jambo?
Kama jiweNguvu ya Urusi siyo ya kuamini...bali ni tunaiona "Live" wewe pia unaiona..yaani fikiria, mtaa unaokuzunguka wooote hawakutaki...wamekutenga kama mchawi..maji wamekukatia, barabara wameichimbachimba mashimo ili usipitishe gari, taa wanazpiga mawe hata wanaokuja kukusalimia wanasimuliwa njian kua wewe ni mchawi, hivo wakija wanakuja na wasiwasi..yaan umetengwa,
Aloo sio kwamba kweli una mambo hayo bali ni ukuda wao tuu umewazidi kila kitu wanaona unawatishia amani, lkn maisha yanasonga Mungu kakubariki mchana umechemshiwa kuku na mama watoto, jioni umekula nyama choma na familia yako huku kwao kunanukia maharage yanaungulia jikoni..kuishi kwao ni hadi waibe vya wenzao ndio waishi..
Kama unabisha wajaribu kuipiga Uchina sunction au German au Uk au France km walivyoipiga Urusi alafu tuone kitatokea nn..kama isipofikia ilipo korea kaskazini au cuba..
Kinachowauma hao LGTB ni kushindwa kutia mkono kwenye rasilimali za Urusi...zote zinamilikiwa na serikali..inawauma sana...na kiongozi yeyote duniani anaekua mkali na rasilimali za nchi yake basi anaundiwa zengwe..kama sio kupinduliwa na upinzani basi waasi..na kama uwezekano huo haupo basi atakufa kifo cha kutatanisha
Hivi thamani kwa dhahabu imewekwa na mababu zetu ama na wakoloni waliokuja kututawala?? Sisi kama jamii tulikuwa hatutumii dhahabu kama kitu cha thamani ama kwa mapambo. Kama babu zetu waliona shanga ni za thamani sana si kosa lao. Leo hii sisi tunawakosoa kwa kuwa tumekuzwa tukiambiwa kwamba dhahabu ina thamani kuliko shanga.Bado upo na wazo ya kizamani enzi za mababu zetu wanapewa shanga wanatoa dhahabu.
Hujajibu nilichoulizaMarekani kuna vyama viwili vikubwa vya siasa. Ikiwa madrakani Republican huwezi kusikia haya mambo ya Ushoga kuungwa mkono, lakini Democratic wakiwa madarakani ni lazima wataunga mkono ushoga.
Kwa ivo siyo kweli kuwa kila mmarekani anaunga mkono ushoga. TZ-1 kaweka clip ya Trump akipinga ushoga kwa kuwa yeye ni Republican. Mambo ya kusema Marekani nzima inaunga mkono ushoga ni ukuzaji tu wa mambo wa watu wasio na uelewa wa siasa za Marekani.
Thamani ya kitu inatokana na scarcity yakeHivi thamani kwa dhahabu imewekwa na mababu zetu ama na wakoloni waliokuja kututawala?? Sisi kama jamii tulikuwa hatutumii dhahabu kama kitu cha thamani ama kwa mapambo. Kama babu zetu waliona shanga ni za thamani sana si kosa lao. Leo hii sisi tunawakosoa kwa kuwa tumekuzwa tukiambiwa kwamba dhahabu ina thamani kuliko shanga.
Alipokuwa na njaa Essau aliuza haki yake ya uzaliwa wa kwanza kwa Yakobo. Leo hii kwa kuwa tunajua faida aliyoipata Yakobo kwa kupewa haki ya uzaliwa wa kwanza, ndiyo maana tunaona kama kuwa Essau alikosea kuona dengu ni bora zaidi kuliko haki yake ya uzaliwa wa kwanza!!
Sio kweli kwamba ushoga ni sera ya taifa la Marekani. Nimejibu swali lako kwa kukueleza kwamba mambo ya ushoga inategemeana na chama gani kipo Madarakani Marekani. Kwa sera za Republican haiwezekani wao kuunga mkono Ushoga, utoaji mimba, uvutaji bangi, matumizi ya fedha za umma kusaidia mataifa mengine kiuchumu isipokuwa tu kama kusaidia huko kutaleta manufaa kwa Marekani.Inawezekana Mmarekani mmoja akawa hasapoti ushoga ila Serikari na Tiafa la Marekani linasapoti Ushoga na hii ni fact haijalishi Chama Gani kitaingia madarakani wakisema eti ni Human right.
Na hiyo "Scarcity" si inatokana na "High demand on the product"? Kwa mantiki hiyo mababu zetu wao walihitaji zaidi shanga kuliko dhahabu, na wakoloni walihitaji zaidi dhahabu kuliko shanga.Thamani ya kitu inatokana na scarcity yake
Kwa hiyo hii ni sera ya Serikari ya Marekani? Au Chama Cha Democratic?Sio kweli kwamba ushoga ni sera ya taifa la Marekani. Nimejibu swali lako kwa kukueleza kwamba mambo ya ushoga inategemeana na chama gani kipo Madarakani Marekani. Kwa sera za Republican haiwezekani wao kuunga mkono Ushoga, utoaji mimba, uvutaji bangi, matumizi ya fedha za umma kusaidia mataifa mengine kiuchumu isipokuwa tu kama kusaidia huko kutaleta manufaa kwa Marekani.
Kwa sasa Ushoga unaungwa mkono na Marekani kwa kuwa Democratic ndiyo wapo Madarakani. Wakiingia Republicans wataupinga ushoga. Obama alipokuwa Rais wa Marekani aliruhusu watu wanaobadili jinsi zao (Transgender) kuwa wanajeshi, alipoingia Trump akapiga marufuku watu hao kuwemo jeshini. Kwa ivo suala la ushoga si jambo la Taifa la Marekani bali ni jambo la vyama viwili vinavyotawala nchi hiyo.
Nikikwambia ni sera ya kimchi inaonekana hukubariani nalo.Sio kweli kwamba ushoga ni sera ya taifa la Marekani. Nimejibu swali lako kwa kukueleza kwamba mambo ya ushoga inategemeana na chama gani kipo Madarakani Marekani. Kwa sera za Republican haiwezekani wao kuunga mkono Ushoga, utoaji mimba, uvutaji bangi, matumizi ya fedha za umma kusaidia mataifa mengine kiuchumu isipokuwa tu kama kusaidia huko kutaleta manufaa kwa Marekani.
Kwa sasa Ushoga unaungwa mkono na Marekani kwa kuwa Democratic ndiyo wapo Madarakani. Wakiingia Republicans wataupinga ushoga. Obama alipokuwa Rais wa Marekani aliruhusu watu wanaobadili jinsi zao (Transgender) kuwa wanajeshi, alipoingia Trump akapiga marufuku watu hao kuwemo jeshini. Kwa ivo suala la ushoga si jambo la Taifa la Marekani bali ni jambo la vyama viwili vinavyotawala nchi hiyo.
Sio kila eneo la Afrika walikuwa hawajui thamani ya dhahabu.Na hiyo "Scarcity" si inatokana na "High demand on the product"? Kwa mantiki hiyo mababu zetu wao walihitaji zaidi shanga kuliko dhahabu, na wakoloni walihitaji zaidi dhahabu kuliko shanga.