Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ikapambane na Abrahm1 na mig-29 msije mkasema oooh Urusi kashinda kisa silaha mpya mpya..sisi tulipewa chakavu za miaka ya 1970, sasa urusi kaleta za miaka ya 1940...
 
Kinzhai ilienda 136 meter deep hapo lazima USA atiye adabu wanasema komandoo wengi wa America walifukiwa ndani, maiti zinasafilishwa kimya kimya kwenda Marekani.
 

Attachments

  • VID-20230323-WA0057.mp4
    1.2 MB
Dmitry Medvedev Anasema Muda si Mrefu Wizara ya Ulinzi ya Urusi itapokea Drone mpya na Zakisasa
Na Kasema Uzalishaji wa Drone kwa Urusi haukupewa Uzito Kwa miaka ya Nyuma
lakini sasa Mambo yamebadilika na Wanaleta Mzigo Rasmi Kwa Wizara ya Ulinzi ya Urusi kwa kazi


Tukumbuke Mrusi huwa Hatoi Matoi ukisikia Vifaa ni kweli Vifaa
Hizi Drone Zitakuwa Kilio


According to Dmitry Medvedev, the Ministry of Defense of Russia will soon receive a full line of new drones. Medvedev acknowledged that UAV production has not been Russia's forte in recent years. But now, the times has changed.

MUNGU IBARIKI URUSI
 
Marekani kama nani?? Hili swali umeuliza kirahisi sana wakati hukupaswa kuliuliza kabisa. Kwenye ulimwengu wa sasa unauliza Marekani kama nani? Kwani alipoiwekea vikwazo Iran isiuze mafuta yake duniani aliiwekea kama nani?
Kama aliiwekea Irani vikwazo akae akijua Urusi sio kibonde kama hao aliowazoea. Aendelee kutikisa makalio tu ili apate anachokitafuta mbele ya kidume.
 
Endelea kujitekenya tu, urusi anaweza asiuze ulaya direct ila akauzia nchi wanachama na wao wakampiga hela huyo Marekani wenu. Ni shoga tu mbele ya Urusi. Kwa Ubabe wake wa kijinga ingekuwa nchi dhaifu angeshapeleka jeshi lake kwa kisingizio chochote kile.
 
Orban ameshajibu NATO ni defence alliance ila unabaki unajiuliza kule Libya, Iraq, yugoslavia walikwenda kufanya nini?

"In 1999 when the Kosovo war broke out they wanted to force us to open a front against Serbia from Hungary. We were already NATO members then. We have made it clear that NATO is a defense alliance, not a war alliance. No one can force us to attack another country." - Viktor Orbán
 
Huyu mwamba angekua Rais kuna nchi zingekua zishakutana na hypersonic. Ukraine ishukuru sana Putin ni mtu wa huruma sana.

[emoji635][emoji629]Medvedev, about the German Justice Minister's intention to arrest Putin: "What is this? a declaration of war on Russia! And already in this case, all our resources (all our missiles)will fly to the Bundestag, to the chancellor's office, and so on. Or did he not study well?"
 
Mkuu unazungumzia uvamizi...yeye anazungumzia mapigano...hizo nchi alizotaja hazitakubali vita ipiganwe kwao tuu, watahakikisha uchokozi wa US ukileta vita basi ipiganwe hadi kwenye ardhi ya US..
 
Na Nadhani ni muda wa Russia kuonesha mfano kwa kuifuta UK na kumchimba beat USA 🤣🤣🤣 kwamba asije akaleta wazimu lasivyo ataisha. Hakuna nchi itainua hata kidole 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…