Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyo ni mmoja wa Majenelali wachache kwenye jeshi la Merikani wenye akili iliyo tulia unlike Waziri wake wa Ulinzi na Blinken - hao akili zao fyatu kabisa, hawana habari kwamba Putin akihamua tu basi Kiev na puppet wao clown Zelensky may fall in just 72 hours!! Putin anawafanyia timing tu akisubiri an opportune time ya ku-spring up a MEGA surprise attack - they won't even know what hit them!

Waukraine wamshukuru Mungu kwamba Rais Putin ana ubinadamu SANA sana kwa kuwa anawachukulia Waukraine kama ndugu zake, kama angelihamua kutumia mbinu za Kimerikani za "shock and awe" nawahakikishieni hakuna Mu-Ukraine hata mmoja angepona na infrastructures zote za Ukraine zingekuwa reduced back to stone age era.
 
What a brilliant analyses - be bressed AMIGO.
 
James Vasquez really set up an organization, collected over $3m in donations from pro-Ukrainians and now disappeared.

Him and Malcolm Nance literally went to Ukraine for a holiday [emoji23]View attachment 2563136View attachment 2563137
Hii comment imenichekesha sana, inahusiana na huu uwizi hawa jamaa wamefanya..

“The Ukrainian flag is easy to remember. Blue water above washing clean the dirty gold below”

Sasa namshauri Kipanya ebu na yeye apitishe bakuli kwa Pro-NATO akina MK254 wapate hela ya kwenda kupeleka msaada huko 😂😂😂

Kipanya yeye anaishia kujitolea bure huku wakati wenzake wanapiga hela tu pale Ukraine
 
Kwa nini mnaamini kwamba wamarekani wote ni LGTB??

Kwani Marekani haina mkono kwenye rasirimali za Urusi??
Hakuna anaejiaminisha hvo mkuu, wao wenyewe ndio wanajitangaza ni nchi ya LGTB society, na sera yao ni kama unaungana nao iwe kiurafiki, kisiasa, kiuchumi au kijeshi au kimsaada ni lazima sera za nchi yako ziweke kipengele chao cha LGTB society, labda kama wewe unataka kuwabadilishia wanachokifanya na kukitangaza, nakutahatharisha kama wanakufahamu na wanajua pakukupata watakumaliza na hatutajua ulipopotelea...wee wapingie sera zao waziwazi kwamba wao sio LGTB uone kama utaiona kesho
 
Haya maelezo yako YOTE siyo sahihi kwa asilimia mia moja.
 
Huko ndiyo kutamu mrusi anatamani sana mambo ya nuke
Binafsi namuonaga msemaji wa White House Mr.Kirby hana tofauti kubwa na Zelensky wote waigizaji mahili.

Yaani hana hata habari kwamba Urusi wana depleted Uranium shells za kimwaga za kitumika kwenye vifaru vyao - warusi hawatumii depleted uranium shells for ethical reasons za kujali binadamu wenzao unlike them Gringos.

Halafu mtu na akili zake timamu anaitisha waandishi wa habari Ikulu akijaribu kuitishia Urusi na eti "waondoe vifaru vyao Ukraine kabla ya vifaru za Leopard, Challeger na Abram zinavyo tumia depleted Uranium shells havijawasili nchini Ukraine-yaani anajaribu kumtishia nyau, kasahau kabisa ni silaha gani ya juzi Urusi iliyo itumia kupenyeza na lipua bunkers wakauuwa maafisa jeshi la US na Polandi walikuwa wanalio kuwa wanaipatia jeshi Ukraine na NATO some troops helping Ukraine taarifa za kiitelijensia kutoka kwenye satellite, taarifa hizo baadae zinatumiwa na wanajeshi wa mizinga na rokets kuwalenga wanajeshi wa Urusi baada ya kupewa cordinates na movement za wanajeshin wa Urusi.

Warusi walipo choshwa na ujinga huu ndio wakahamua kuvurumisha kombora babu kubwa kuwaonyesha vichwa ngumu wa NATO/US kwamba Urusi ikidhamilia kufanya kweli hashindwi kitu.

Sasa nini kilotokea baadae baada ya Urusi kuwa na picha kamili kuhusu NATO/US walipo jificha kwenye reinforced concrete bunker chini ya futi 400/600 chini ya aridhi warusi wakaingia ghalani na kichagua kombora lenye uwezo mkubwa wakupenyaza na kuwalilipuwa wahusika wakuu waliokuwa wanaratibu vita hiii nchini Ukraine wakiwa mafichoni chini ya reinforced concrete bunkers. Mpaka sasa wengi wa maafisa wa jeshi la Merikani,Poland na Ukraine imeshindikana kuwaondoa kwenye kifusi.

Hivi inaingia akilini kwamba kombora lenye uwezo wa kuchimba jengo/bunker la zege kali futi 400 chini ya aridhi linaweza kweli kushindwa kuvitia kibereti vifaru vya mabeberu na kuvichakaza - come on.
 
Kama Russia ina nguvu hizo mnazosema inayo, sasa makelele ya nini Ukraine inapopewa silaha na washirika wake? Halafu inakuwaje ni sawa tu kwa Russia kupewa Drones na Iran ila Ukraine akipewa silaha na Uingereza inakuwa nongwa!!??
Anaepiga kelele hata mtu akitembelewa tuu na rafiki ni West mkuu.
 
Usahihi ni upi mkuu LGTBi
Mambo ya LGTB siyo mambo ya Wamarekani bali ya chama cha siasa kinachoitwa Democratic ambacho ndicho chama tawala kwa sasa nchini Marekani. Kwa ivo wakija Republican haya mambo ya ushoga kushadadiwa hutayasikia tena.

Leo Republican wangekuwa madarakani, Uganda ingeshangiliwa kwa hatua yake ya kupambana na ushoga badala ya kukaripiwa. Jambo rahisi unalifanya liwe gumu bila ya sababu za msingi!!
 
Uzuri mambo mengine unajijibu hapa hapa mwenyewe,hakuna sehemu ambaylpo watu wanasema matumizi ya dollar yanawezekana kukndoka Mara moja but kidogo kidogo.Ukianza kuangalia kuanzia kuanzishwa kwa euro mwaka 1999 hadi Leo ni zaidi ya miaka 20 hivyo ni kidogo kidogo mwishowe tatakiwisha kabisa.

Hivyo tunamanisha kuwa,kupitia hii SMO imepelekea hayo matumizi ya USD kuendelea kupungua kwa kiwango kikubwa.

Vilevile moja ya sababu kubwa ya Mataifa kutotaka USD kutumika kama only currency kwenye international trade ni kuondoa hiyo midororo ya kiuchumi iwapo fedha inayotumika iki lose value.

Angalia mdororo wa uchumi wa Dunia wa 2008,ulianzia USA internally badae ukasambaa Duniani kote kutokana na USD kutumika kama the only international currency kwenye ku exchange na akiba za Nchi.

Kwa kipindi hicho kama USD ingekuwa haitegemewi kwa asilimia kubwa kama international currency maana madhara ya kiuchumi Duniani yangekuwa kidogo sana au yasiwepo kabisa
 
Mkuu na huko ulaya Democratic ya marekani ndio inatawala?

Either unajua sana unapotosha au ni wakala wao au hujui na hutaki kujua...au yote matatu kwa pamoja....

Hukuona hata Tz ilishawah chimbwa biti miaka ya nyuma...au ulikua ughaibuni unaenjoy sera zao mkuu..?
 
Uzuri mambo mengine unajijibu hapa hapa mwenyewe,
Kuna mahali nimeuliza swali ambalo nimejijibu? Ninachosema hayo matamanio yanawezekana lakini si rahisi kiasi baaadhi ya watu wanavyodhani. Kwenye kutoa mifano niliona mambo ya "Crypto currencies" yakitajwa lakini ni lazima ifahamike kwamba wanasiasa kwenye nchi nyingi sana wana hofu juu ya uimara wa mfumo wenyewe wa Cyrpto Currency.

Mabenki mengi ya serikali za ulimwengu wana hofu kubwa sana ya kusambaratika kwa uchumi wa dunia kama sehemu kubwa ya biashara itafanyika kupitia mfumo huo. Yale yale ya kusema kuwa Dollar haifanani na uchumi wa Marekani ndiyo yanaulizwa jinsi mfumo huo wa biashara utakavyoaminika na kudhibitika hata pia kwenye mambo kama ya utakatishaji fedha.
 

Ukrainian officials say Russians sustaining heavy losses in three hotspots along the front lines​

From CNN's Tim Lister, Svitlana Vlasova and Olga Voitovych

Ukrainian officials say Russian forces have kept up their bombardments across Donetsk region, with more than 200 strikes against the Bakhmut area alone in the past 24 hours — but they claim the Russians are losing hundreds of men a day across the front lines.

The eastern city of Bakhmut remains "the focus of the enemy's main attack," according to Serhii Cherevatyi, the spokesman for the Eastern Grouping of the armed forces.

Cherevatyi said it was difficult to tell whether the intensity of Russian attacks around Bakhmut was waning because of factors such as weather, the rotation of units or reserves being brought forward by the Russians.

However, he said Russian tactics have remained the same with small tactical groups "trying to deplete our defenses." He said soldiers from the Wagner mercenary group are near Bakhmut, with Russian troops providing reinforcements where necessary.

“We knock them out. In fact, there will be no more Wagner fighters in a little while if they continue the same dynamics," Cherevatyi said.

Cherevatyi drew a distinction between the battle for Bakhmut and fighting elsewhere. He said further north, Wagner was less in evidence around Lyman and Kupyansk, where regular Russian forces, supported by the Luhansk militia, had made more than 400 attacks over the past day.

“The main task now is to withstand, to deplete the enemy's forces, while units are being trained both in Ukraine and abroad, equipped with new defense equipment, and coordinated,” Cherevatyi said.

In and around the town of Avdiivka, in the Donetsk region, intense Russian bombardments and air strikes continue against Ukrainian defenses.

"All the time we were in the city, there were explosions. We did not see a single building that was not damaged. Unfortunately, there are still civilians in Avdiivka. People live in basements," military spokesman Oleksiy Dmytrashkivskyi said.

But he said many of the civilians were unwilling to leave, especially the elderly, and there has been no electricity in the city since May last year.

Dmytrashkivskyi said that the Russians were trying to bypass the town “and these attacks are constantly accompanied by shelling. Yesterday the enemy managed 26 attacks and suffered quite significant losses.

More than 100 people were killed and more than 240 wounded,” he claimed. “During the day, they attack with the help of aircraft, artillery and manpower. They are suffering heavy losses in manpower and equipment.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…