Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unadhani watu mamilioni waliopo barabarani wote ajenda yao ni Pensheni?
Regime change itatokea West kabla ya Russia.
There you are - well said - huu ndio mwanzo wasopokuwa makini Ulaya magharibi itavurugika sio kwa masuala ya pension bali mdororo wa uchumi mengine ni gheresha tu na uongo wa vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi hawataki raoa wao wajue kinacho endelea Duniani - mwisho wa siku watashiliza Serikali zao ziridushe uhisiano mzuri na Urusi.
Wapuuzi sana hawa halafu wasivyo na soni wanasema eti USA ni taifa la demokrasia kila mtu ana uhuru wa kusema alitakalo bila kikwazo, sasa mbona huyo mama walimtoa mkuku alipo muhoji Blinken swali lenye mshiko - mazaba zabina sana hawa. Kazi ku preach ambacho hawa ki-practice wao.
 
Pia jiulize ni watu wa namna gani na kutoka nchi zipi?
Kuhusu Urusi sina habari, naomba kuelimishwa. Kuhusu Marekani naona picha za watu wengi kutoka Amerika Kusini. kuhusu Ulaya naona picha za watu wengi (na kwa bahati mbaya za maiti nyingi wanaokufa baharini) kutoka Afrika ya Magharibi, na Syria, Afghanistan, Iran.
 
Wee jamaa hujawahi chezea majii kabisa, chukua hii assignment nenda na jiwe rusha ndani ya maji alafu tazama mawimbi.

Sasa unaponiambia bomb linapigwa alafu mawimbi yanaenda upande mmoja nashindwa kukuelewa.
 

Aircraft carrier yanini kwa zama hizi?? Inaonekana bado mshamba wa tech. Sahv Russia anakupiga akiwa moscow hizo aircraft carrier hazina maana sikuhz ndugu yangu.
 
Zelensky hana sifa ya kuwa kiongozi kwasababu hana akili
 
Huyu SAfrika wanamtafutia angle wammalize kiuchumi maana sio loyal kabisa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
ww ndio hujui kabisa..., uchumi wa SA unamilikiwa na Wazungu...,Weusi wameachwa wacheze sebene la siasa...sasa watawamaliza Wazungu wenzao...na hao Weupe ...wengi ni Waingereza, Waholanzi...,,, yaani siku zote hujui jeuri wa SA inatokana na kwamba Uchumi wa nchi unamilikiwa na Weupe...na Serikali ya ANC inajua hawa West hawawez fanya lolote hapo...,
ndio maana hawana la kuwafanya SA...zaidi ya kuchezesha mdomo basi...

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Geografia ya Urusi ulitegemea watu wapange foleni kutokea wapi mkuu?
Uliwahi skia wahamiaji haramu wa Kichina?
Ukielewa jiografia hutopata tabu kwanini Urusi hakuna wahamiaji haramu.
 
Kama haupo kwenye kundi la wenye akili huwezi kuwatambua walio na akili. Inawezekana Russia wanaona Zelensky hana akili, lakini hata wao wanajua ndani kabisa ya nafsi zao, kuwa jamaa ni shupavu, muadilifu na muaminifu kwa wananchi wake!!
Muaminifu kwa wananchi wake au muaminifu kwa marekani?? Zelensky anaweza akawa na afadhari kuliko wewe akili kisoda
 
Jiulize ni nchi zipi ambako watu wanapanga foleni ili wapate nafasi ya kuingia. Urusi??? Belarus???
China ???
Watu wanapenda nchi zenye "loopholes" watu hawapendi kufanya kazi zinazochosha sana...hawapendi kuvuja jasho..nchi zenye mianya mingi ndizo zinazopendwa na wengi...ukitaka nchi yako iwe na nyomi la wageni tengneza mazingira ya kitonga na sera za kuwalinda..hata kama ni wezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…