Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Si vile, mambo ni tofauti kidogo. Kati ya nchi inazouza silaha nyingi duniani kuna ufuatano huu:Yeah Saudi blah blah but US na UK huwezi kuwatoa hapo ndio wasambazaji wakubwa wa silaha na misaada mingine
Maelezo yenyewe apo yanasema "Yet to be confirmed... If this is True...."Warusi wa buza mtu wenu huyo yumavumbini sasa
Wewe unatoa wapi uuhu umajinuni umetakiwa kuleta source huna umebaki na ngonjera mzee wanguwambie walete silaha zao sie tujibebe bureView attachment 2147664View attachment 2147663
kwa kweli sikufikir kama platform za youtub zitafungaa matangazo ya RT stori haziw balans.mim hipenda kuchungulia chungulia sana RT kuona side bHapo ndio utajuwa unafiki wa West, uhuru wa kuongea leo yamewashinda wanleta yaleyale ya ujamaa. Kesho huku tukifunga magazeti wasilete kelele uhuru wa kuongea hawana tena jeuri ya kuongea hayo. wasije kusema uhuru wa mashoga maana hawana tena jeuri ya kusema. leo tumejuwa kila uhuru una limit
Kunywa Pepsi Big naja lipia kabisa [emoji3577][emoji1666]Mkuu umeongea jambo la point ambalo hata waziri mkuu wa Pakistan aliliongea siku chache zilizo pita.
Ali sema tabia za kuchagua makundi zime igharimu sana Pakistan kwa muda mrefu kwa sababu saa nyingine unajizolea maadui ambo siyo wa lazima.
Mfano angalia ikitokea Marekani akaishambulia Iran nchi pekee itakayo baki salama dhidi ya makombora ya Iran hapo mashariki ya kati ni Oman tu,kitacho ifanya ibaki salama ni siasa zake ambazo zime jitenga na makundi ya kuhamasisha uhasama dhidi ya Iran .
lakini hao hakina Qtaar,UAE,saudia,na wangine hiyo miji yao walio ijenga kwa gharama kubwa itageuka magofu kwa sababu ya kuendekeza makundi.
Ila huu mgogoro umevivua nguo vyombo vya habari vya kimagharibi vinavyo jiita huru kumbe ni takataka.
Kumbe hata TBC tuache kuilaumu maana kila mtu ana tumikia maslahi ya bwana wake.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hivi unapata faida gani wewe mtz kushadadia ukraine kuharibiwa ?Sisi hatuangalii muda, hata iwe miaka 20 kikubwa lengo litimie.nyie muda chukueni sisi tuachieni ukraine
Ila kutuma silaha wanazituma tu wakauwane vizuri... Wana siasa sijuw huwa wanatuchukiliaje yan.Not to WW3
View attachment 2147323
Kiwango cha PhD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MENGI ya andiko hili nimeyapenda ila hilo la vyombo vya habari vya magharibi kuwa ni takataka limeifanya siku yangu kuwa nzuri sana. Kama unavyosema TBC ni afadhali mara elfu kuliko hao wapumbavu na washenzi wa Al jezeera, Sky News, BBC, CNN na kadhalika....ni washenzi tu ...hakuna habari pale....Yaani vita hivi vimetufundisha mengi ukiacha vyombo vya habari lakini unafiki wa wazungu ni wa kiwango cha juu sana...Watu wamekufa Afghanistani, Libya, Irak, Serbia lakin i hatujawahi kuona muungano wa wazungu kama huu...duh...Vita hii imewaumbua mno hawa washenzi...
Nashauri asilete hata updates zake, jamaa kakazana kukopi na kupaste Sasa sisi watz na kirusi wapi na wapi!!?We jamaa sio wote tunajua kirussia/ Ukraine
Niliangalia BBC asubuhi nilivyoamka tu.duh mkuu unaziona wap leo RT imeondolewa sijui youtube live stream.kila nikifungua inasema it is not available in your country.na jana tu nikicheki matangazo yao.huwa napenda kuchek mana wanaonyesha bila upendeleo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeh huyo ndo muingereza... Imagine huyo ni mweupe mwenzie nawaza kwa sauti Ukraine wangekuwa weusi ka sisi sizan ata kama 10 wangefika.UK amenisikitisha sana, imposing sanctions against Russia, lakini ameshindwa kuchukua wakimbizi zaidi ya 1000?
Ukrainians wanalia, Boris Johnson show some humanity, nimeangalia Al Jazeera nikajisikia vibaya. West ni mataifa mabaya sana, I wish a massive power shift.
GANGA ZUMBA tusitupane bhana. Kama kuna deal la kufanya PROPAGANDA na Mimi niunge tafadhali.
Wanaanzisha kamchongo ka chokochoko kengine taratibu.... Ila dah... Hii dunia hii [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pic of the day
Vitu vya kushangaza sana leo wamerudi kule enzi za ujamaa control media wakati wao ndio walikuwa wanasisitiza uhuru wa habari leo watatoa wapi nguvu ya kuja kunyoshea kidole wengine. Wazungu wanafiki sana wametisha watu hata kuongea ukweli hawawezi ni lazima utukane Russia ndio mtu mzuri. Juzi nimemuona Lampard ka balance maneno lakini hakuongea neno baya kuhusu Abrahmavic unaona kabisa hakubaliani na Serikali yake lakini ole wake asifie kwingine atashambuliwa ndio maana kina Tery wamekaa kimyaa tu hawana la kusema.kwa kweli sikufikir kama platform za youtub zitafungaa matangazo ya RT stori haziw balans.mim hipenda kuchungulia chungulia sana RT kuona side b
Askari hata mmoja wa Ukraine hajauwawa katika mgogoro kwa mujibu wa media za West, Isipokuwa askari wa Russia zaidi 12,000 wameuwa....
WTF!