Unaweza kuilinganisha hivyo. Isipokuwa kwa nchi inayotafuta na kuhitaji wawekezaji, ni hatua ya kuharibu sifa kama nchi salama kwa wawekezaji. Nchi zisizotegemea sana uwekezaji ( na kuwa na mfumo imara zaidi ya mahakama kulio Urusi) hali ni tofauti. Labda hapa si swali la haki bali la nguvu ya kiuchumi.Vp kuhusu wao west waliofreeze pesa na mali za serikali ya Russia na Oligarchs wa Urusi?
“And it will depend on the time, the best time,” Reznikov said, speaking in English. “It will depend on weather conditions. During the springtime, we have wet land. And you know, you can use only tracked vehicles without wheels for example.”
Mimi siwekezi. ila najua Urusi imetafuta sana wawekezaji na inaendelea kuwatafuta. Maana inawahitaji. Kwa nini viwanda vyote vikubwa vya magari vilikuwa uwekezaji wa nje? Mbona miradi mikubwa ya kutoa gesi kwenye kaskazini ilikuwa ya wawekezaji?Hakuna ulazima wa wewe kuwekeza Urusi au Urusi kuwekeza kwako.ulaya inamuitaji Urusi kuliko Urusi anavyoiitaji ulaya.
Vigumu sana ku-reason na jamaa huyu 'am afraid.Je, westerns mbona wame freeze assets za matajiri wa Russia (Mfano: Abromovich).
Je, huo sio ujambazi? Au wakifanya Russia ndio Ujambazi, ila westerns wakifanya sio ujambazi...
Ila Uingereza inajenga sifa zake za kuwekeza na Ulaya Magharibi kwa jumla?mkuu, sijamwona anayelia hapa. Labda ni furaha kidogo kuangalia jinsi gani Urusi inabomoa sifa zake za nchi ya kuwekeza...
Halafu wanapoteza faida walio nayo kuhusu cheap oil and gas.Hakuna ulazima wa wewe kuwekeza Urusi au Urusi kuwekeza kwako.ulaya inamuitaji Urusi kuliko Urusi anavyoiitaji ulaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujui lolote wewe kuhusu Urusi,ungekuwa unajua ungekaa kimya kabisa wala usingeongea neno.Mimi siwekezi. ila najua Urusi imetafuta sana wawekezaji na inaendelea kuwatafuta. Maana inawahitaji. Kwa nini viwanda vyote vikubwa vya magari vilikuwa uwekezaji wa nje? Mbona miradi mikubwa ya kutoa gesi kwenye kaskazini ilikuwa ya wawekezaji?
Sema wewe!
(jibu langu: walikosa uwezo wa kitekinolojia na pia pesa nchini, sivyo?)
Ulaya kuhitaji Urusi? Walitumia kama chanzo nafuu cha makaa, gesi na mafuta. Sasa wameshabadilisha, na menginevyo waliamua (kabla ya vita) kuachana na kabohidrati kama mafuta na gesi. Ugomvi huu unawasaidia kuelekea huko haraka zaidi.
Kuna nini tena wanachohitaji kutoka Urusi?
(Vodka kutoka Urusi ilikuwa nafuu pia, lakini siku hizi unapata wengi wanaotengeneza vodka.... nini tena??? )
Hivi anaelewa hata alichokiandika hapa.Unaweza kuilinganisha hivyo. Isipokuwa kwa nchi inayotafuta na kuhitaji wawekezaji, ni hatua ya kuharibu sifa kama nchi salama kwa wawekezaji. Nchi zisizotegemea sana uwekezaji ( na kuwa na mfumo imara zaidi ya mahakama kulio Urusi) hali ni tofauti. Labda hapa si swali la haki bali la nguvu ya kiuchumi.
Pamoja na hayo, mali za Urusi hazikunyang'anywa huko magharibi. Ziliwekwa chini ya namna ya ulinzi. Kisheria ni tofauti ya maana.
Tena kuna sababu ya kufanya vile. Maana katika vita hii yuko mmoja anayevunja sheria ya kimataifa: Urusi. Hii sababu ya karibu nchi zote za Umoja wa Kimataifa ama kushtaki Urusi au kutoitetea. Kimatifa imekubaliwa kukamata mali ya yule anayevunja amani na haki, ili kupunguza uwezo wake wa kutekeleza uhalifu.
mkuu asante kutuletea mifano ya propaganda ya urusi - ila hii hapa?? Maana yake ni nini?[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji635] The Legendary Somali Battalion marched victoriously to Donetsk where they were then greeted with flowers and flags as liberators.View attachment 2570183
Mkuu nimeshaelewa unapenda kujivunia utaalamu wako. Umeniambia mara ngapi sina habari?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujui lolote wewe kuhusu Urusi,ungekuwa unajua ungekaa kimya kabisa wala usingeongea neno.
Urusi ana viwanda sio tu vya magari basi vya kila kitu unachokijua wewe hapa Duniani.wala hakuna kitu kinachotengenezwa ulaya alafu Urusi kisiwepo.
Hayo magari unayosema wew kuna kampuni zaidi ya 10 hapo Urusi zinazotengeneza magari.
Urusi ana madini yote makubwa unayoyajua wewe hapa duniani.
Ukija kwenye chakula ndo usiseme maana umuhimu wa ngano unajulikana duniani kote.
Usiongopewe na movie za kina Rambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
| Rank | Brand | Sales | Market share |
|---|---|---|---|
| Total | 1,425,791 | 100% | |
| 1 | Renault-Nissan (includes AvtoVAZ) | 477,279 | 33.5% |
| - | AvtoVAZ | 266,296 | 18.7% |
| 2 | VW Group | 156,712 | 11.0% |
| 3 | Kia | 149,567 | 10.5% |
| 4 | Hyundai Group | 145,300 | 10.2% |
| 5 | Toyota Group | 118,685 | 8.3% |
| 6 | GAZ | 55,803 | 3.9% |
| 7 | UAZ | 48,848 | 3.4% |
| 8 | Mercedes-Benz | 43,912 | 3.1% |
| 9 | Ford | 42,528 | 3.0% |
| 10 | General Motors | 31,737 | 2.2% |
Wachina sio wajinga wanajua kwamba ni rahisi CIA kutumia Zelensky kumdhuru Xi kwa kutumia Pollonium 210.Simu tu hapokei, ndio unategemea ukimualika atakuja?
Uzuri wanasonga mbele. Slowly but sureVIDEO
Wale Mliokuwa Mnahoji Kuhusu Bakhmut kwann Inachelewa Kukombolewa
Hii ni Video Fupi kuonyesha Bakhmut kuna Mji chini ya Ardhi
yani Kuna mapambano yanaendekea Chini kwa Chini
na Unaambiwa Ukrieni Wanatega Mabomu Makali chini huko Sehemu walio ikimbia
Kwahiyo Wagner Wanakwenda Kwa Umakini Hatua kwa hatua na Hawana Papara
View attachment 2570181
SafiUnaweza kuilinganisha hivyo. Isipokuwa kwa nchi inayotafuta na kuhitaji wawekezaji, ni hatua ya kuharibu sifa kama nchi salama kwa wawekezaji. Nchi zisizotegemea sana uwekezaji ( na kuwa na mfumo imara zaidi ya mahakama kulio Urusi) hali ni tofauti. Labda hapa si swali la haki bali la nguvu ya kiuchumi.
Pamoja na hayo, mali za Urusi hazikunyang'anywa huko magharibi. Ziliwekwa chini ya namna ya ulinzi. Kisheria ni tofauti ya maana.
Tena kuna sababu ya kufanya vile. Maana katika vita hii yuko mmoja anayevunja sheria ya kimataifa: Urusi. Hii sababu ya karibu nchi zote za Umoja wa Kimataifa ama kushtaki Urusi au kutoitetea. Kimatifa imekubaliwa kukamata mali ya yule anayevunja amani na haki, ili kupunguza uwezo wake wa kutekeleza uhalifu.
Ndo maana nikasema hakuna unachokijua kuhusu Urusi.nikisema ivyo unaona kama vile nakukosea.Mkuu nimeshaelewa unapenda kujivunia utaalamu wako. Umeniambia mara ngapi sina habari?
basi nisaidie kwa utaalamu wako. Naleta hapa chini orodha ya makampuni yanayotengeneza magari nchini Urusi. Niambie moja liliyofanya kazi bila uwekezaji wa nje ya Urusi (au kununua laiseni ya kutoa gari lenye asili ya nje, au kukopi gari la nje).
Car Manufacturers in Russia
Rank Brand Sales Market share Total 1,425,791 100% 1 Renault-Nissan
(includes AvtoVAZ)477,279 33.5% - AvtoVAZ 266,296 18.7% 2 VW Group 156,712 11.0% 3 Kia 149,567 10.5% 4 Hyundai Group 145,300 10.2% 5 Toyota Group 118,685 8.3% 6 GAZ 55,803 3.9% 7 UAZ 48,848 3.4% 8 Mercedes-Benz 43,912 3.1% 9 Ford 42,528 3.0% 10 General Motors 31,737 2.2%
Kuku wako hakuna haja ya kukimbizana. Jioni ikifika ataingia bandani mchezo kwishabado, lakini kitendo cha kusafirishwa hadi vimefika uwanja wa vita hawa watu wa magharibi watatamba sana, ilitakiwa vile timbili njiani pamoja na wasindizaji wao ili wajue Urusi ni moto wa kuotea mbali.