Mkuu nilikuomba utaje kampuni moja ya magari Urusi isiyotegemea uwekezaji au laiseni za nje.Urusi ana kampuni zake zinazotengeneza magari ambazo ni kama
(1) GAZ
(2)KAMAZ
(3)UAZ
(4)AZLK
(5)AvtoVAZ
(6)LADA
(7)AURUS MOTORS
Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili
Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
Marekani amekamatwa pabaya sana, silaha yake ya mwisho SANCTION. inakwenda kuzikwa rasmi. Itakuwa nchi ikipigwa sanctions, inahama mfumo kwenda mfumo mbadala🤣🤣🤣 yajayo yanafurahishaKwa my opinion ts either US hajafanya lolote kwa sababu katika hatua hii hakuna la kufanya pengine sababu hajajua strategies za Chi-Rus kulinda uchumi wa dunia au sababu volume of ant-$ transaction ni too low to qualify materiality concept au China ana agenda tofauti na anayoitoa hadharani. Ndo maana nasema ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.
Mkuu navyoona ww umeshafanya hitimisho, mm bado. Umehitimisha anguko la dola ilihali safari ya kutaka kuiangusha ipo katika early stage na jambo kama hili sio jepesi na haliwezi hitimishwa kwa vol ya mikataba iliyofanyika mpaka sasa. AGAIN, LETS WATCH AND LEARN WENYE UCHUMI WAO. CHINA-RUSSIA-USA.
Hakuna unachokijua wewe kuhusu Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]. Ushirikiano kwenye kampuni ni jambo la kawaida ila sio kwamba weww ukijitoa kwenye project basi ndo kampuni itashindwa kuendelea na mradi.Mkuu, Kamaz ni mfano mzuri. Ilianzishwa wakati wa USSR (kwa kutumia mashine kutoka magharibi), baada ya mwisho wa ukomunisti ilikuwa karibu kufilisika, ikajengwa upya na kubadilisha modeli zake.
Daimler ya Ujerumani iliingia kutoka 2008 hii, mwishoni walishika 15%. Gear box zilinununuliwa na baadaye kutengenezwa kwa laiseni ya ZF Friedrichshafen (Ujerumani), Volvo walishiriki pia katika kiwanda fulani.
Urusi ilitafuta sana ushirikiano wa Daimler, walikuwa na mipango kuwapa hadi asilimia 40 za hisa - sasa Daimler na Volvo wameondoka. Nasoma kwamba modeli za kisasa kabisa K4 und K5 hazitengenezwi tena maana zilitegemea vipuli na laiseni kutoka nje.
Mkuu punguza makele kidogo. Unaleta TANGAZO kwamba KAmaz wanataka kutoa tena series K5 ya malori ya kisasa.Hakuna unachokijua wewe kuhusu Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]. Ushirikiano kwenye kampuni ni jambo la kawaida ila sio kwamba weww ukijitoa kwenye project basi ndo kampuni itashindwa kuendelea na mradi.
View attachment 2570363View attachment 2570364
Ni tajiri gani wa china Sasa hivi Yuko tayari kuwekeza US?Mnaangalia upande mmoja wa shilingi bila kuangalia upande mwingine!mkuu, sijamwona anayelia hapa. Labda ni furaha kidogo kuangalia jinsi gani Urusi inabomoa sifa zake za nchi ya kuwekeza...
Hahaha. Ngoja tushuhidie. Binafsi kwangu ni kama sinema yenye mafunzo, sina ushabiki.Marekani amekamatwa pabaya sana, silaha yake ya mwisho SANCTION. inakwenda kuzikwa rasmi. Itakuwa nchi ikipigwa sanctions, inahama mfumo kwenda mfumo mbadala🤣🤣🤣 yajayo yanafurahisha
Sawa mwenye kuijua urusi vizuri kuliko wengine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujui lolote wewe kuhusu Urusi,ungekuwa unajua ungekaa kimya kabisa wala usingeongea neno.
Urusi ana viwanda sio tu vya magari basi vya kila kitu unachokijua wewe hapa Duniani.wala hakuna kitu kinachotengenezwa ulaya alafu Urusi kisiwepo.
Hayo magari unayosema wew kuna kampuni zaidi ya 10 hapo Urusi zinazotengeneza magari.
Urusi ana madini yote makubwa unayoyajua wewe hapa duniani.
Ukija kwenye chakula ndo usiseme maana umuhimu wa ngano unajulikana duniani kote.
Usiongopewe na movie za kina Rambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaeleweka vizuri sema tu umemjengea chuki ndio maana hata aandike nini huwezi kumkubali.Hivi anaelewa hata alichokiandika hapa.
Huyu Nyang'au mmemuelewa?
K 5 ni truck mpya kabisa ambayo washirika wenza wa hii project walijitoa.Warusi wamekamilisha wenyewe na sasa wameanza kuzitengeneza kwa ajili ya wateja.Mkuu punguza makele kidogo. Unaleta TANGAZO kwamba KAmaz wanataka kutoa tena series K5 ya malori ya kisasa.
Kwanza inathibitisha kwamba uzalishaji ulisimama tangu kuondoka wa Daimler. Pili hatuna taarifa malori hayo yanayotolewa kama "K5" yana sifa gani. Tuone kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izi taarifa zako uwa unachukuga google acount nini?.nani kamwambia Avtovaz sio mali ya WarusiMkuu nilikuomba utaje kampuni moja ya magari Urusi isiyotegemea uwekezaji au laiseni za nje.
Nikusaidie:
(1) GAZ - si kampuni kubwa; tangu mwaka 2006 walinunua viwanda vya zamani kutoka Ulaya; walipatana ushirikiano na GM General Motors wa US na VW Volkswagen; viwanda vyao hutengeneza modeli kwa niaba ya GM na VW.
(2)KAMAZ ni hasa kampuni ya malori. Tagu 2012 Daimler ya Ujerumani walishiriki, hisa zao ziliongezwa hadi asilimia 15; Daimler iliingiza tekinolojia yake, mfano muundo mpya wa ekseli. Tangu vita kuanza modeli mpya za K4 na K5 hazitengenezwi tena. . Daimler ilileta pia kampuni yake ya FUSO (Daimler-Japan) kwa kuanzisha kiwanda kipya kilichomilikiwa 50:50 kwa malori madogo;
(3)UAZ - tangu 2000 ni sehemu ya Sollers JSC; Sollers iliingia katika joint venture na FORD wa Marekani kuwa FORD-Sollers. Modeli nyingi za UAZ zilitegemea vipuli vya nje, mfano ijini za IVECO (Italia), elektroniki n.k.
(4)AZLK - usilete maiti! Ilifilisika tayari 2006; kiwanda kiliuzwa kwa Renault Russia
(5)AvtoVAZ ilikuwa kampuni kubwa ya magari nchini, ilielekea kufilisika tangu 2009. 2012 Renault-Nissan wa Ufaransa ilipata asilimia 74 za hisa, ikawekeza $$ milioni 750
(6)LADA si kampuni ya kipekee, ni brand ya AvtoVAZ (hivyo mali ya Peugeot 2012-2022)
(7)AURUS MOTORS - kampuni ndogo, magari yanatengenezwa katika kiwanda cha FORD-Sollers
Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili
Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
Angalau serikali ya China inawekeza sana kwa kununua US treasury bonds. Nikielewa vema wanafuata shabaha ya kuwa na thamani ya juu ya US Dollar.Ni tajiri gani wa china Sasa hivi Yuko tayari kuwekeza US?Mnaangalia upande mmoja wa shilingi bila kuangalia upande mwingine!
Ndo maana nikasema hakuna unachokijua kuhusu Urusi.nikisema ivyo unaona kama vile nakukosea.
Ukiwa na makampuni yako ya kutengeneza magari utakiwi kuzuia kampuni za nnje kuja kuwekeza kwako kisa na wewe unatengeneza magari.
Hayo uliyoyataja ni makampuni ya nnje yenye viwanda vyao Urusi vya kutengeneza magari, na si kampuni za Urusi za kutengeneza magari.
Urusi ana kampuni zake zinazotengeneza magari ambazo ni kama
(1) GAZ
(2)KAMAZ
(3)UAZ
(4)AZLK
(5)AvtoVAZ
(6)LADA
(7)AURUS MOTORS
Na zipo zingine ndogo ndogo.
Kampuni kama GAZ na AZLK zimeanzishwa kabla ya hata kampuni ya Toyota aijulikani kama itakuja kutokea.toka mwaka 1918 AZLK imeanza kutengeneza magari na kampuni ya GAZ toka mwaka 1930 imeanza kutengeneza magari.sasa kama ni leseni ilibidi Toyota na Nissan waombe wao leseni maana wamewakuta jamaa wanatengeneza magari hapo toka kitambo.
Ndo maana nakwambia vitu vingi uvijui kuhusu Urusi
Nafuatilia wanachokifanya, nasubiri nione muendelezo na matokeo. Mpaka sasa sijaona effort yoyote serious kutoka US kuilinda $. Ni kama vile hawajashtushwa na hizi agreement au sio material enough to catch their attention. Ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.
Hapana. Wao kila siku wanashusha thamani ya fedha yao.Angalau serikali ya China inawekeza sana kwa kununua US treasury bonds. Nikielewa vema wanafuata shabaha ya kuwa na thamani ya juu ya US Dollar.
Ana kiswahili kama ana tafsiri maandiko ya kale kwenye vitabu vya diniHivi anaelewa hata alichokiandika hapa.
Huyu Nyang'au mmemuelewa?
Mkuu ukiangalia matangazo rasmi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izi taarifa zako uwa unachukuga google acount nini?.nani kamwambia Avtovaz sio mali ya WarusiView attachment 2570393
Wagner PMC wazee wa kazi hawanaga show mbovu. Vijana wa NATO wakiwaona tu boxer zinajaa mavi. Hawa mashoga wa NATO kazi wanayoHii Documentary ya Bakhmut itakuwa kali sana kama wakitowa.Bakhmut imeondoka na roho nyingi za wanajeshi wa Ukraine
View attachment 2570296