Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Asilimia 15 Ina athari Gani kwenye umiliki wa kampuni?
 
Punguza hasira wezi ni west wametaifisha mali nyingi za warusi
 
We mgumu sana kuelewa.Iyo kamaz 910 ndo iyo K5 ambayo ilikuwa project ya ushirikiano.wamejitoa kwa iyo kila kitu ni made in Russia.sasa hapo kiti gani kigumu kuelewa maana ushambiwa patner wamejitoa sasa izo engine au gia box zao zinafata nini hapo.

Hii habari uliyoileta weww ni ya mwaka 2021 kabla ya vikwazo.au wewe umeona mwaka gani hapo

.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamwonea wivu zelenskyy nenda na wewe ukashikwe bhs.
Halafu kwa kauli hii unadai wewe ni mstaarabu kuliko wamarekani. Yaani mtu unayewaza mambo machafu muda wote unawezaje kuwa ni mstaarab?? Halafu uwezo wako wa kufikiri ni wa kutiliwa shaka, maana unavosema "Nenda na wewe" ni kama tukio endelevu wakati hiyo ni picha iliyodukishwa (Photoshop picture) kitambo sana.
 
Mkuu hoja yake ilikuwa hakuna makampuni ya Urusi yanayounda Magari.

Ukamwonyesha hizo kampuni na maendeleo yake Sasa.

Kifupi hii hoja umeshinda kwa asilimia mia(100%)

Akaja na hoja nyingine kuwa bila ushirikiano na makampuni ya nje.
Nayo umeshinda kwa asilimia 100%

Sasa muulize ana hoja gani nyingine?
 
Kwa sasa Kamaz wanatumia R-6 engine na P-6 engine.zote ni made from russia wala hakuna kilichotoka nnje hapo

Ndo maana unaona wanaendelea kuzalisha truck.mwaka jana tu wamezalisha truck elfu 44.mwaka huu wana mpango wa kuzalisha truck elfu 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…