Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hamna usinitumie acha ninae muongelea afanye. Kwani we ni secretary au msemaji wake?
Basi usione makosa ya kiuandishi kiupande wake ukaona pro Russia hawafanyi.

Yaani maneno mengine hayaeleweki kabisa hata kusomeka wala hatulalamiki na kutukana ila nyinyi mnatukana kisa mko tofauti ya kimawazo na wenzako.
 
FSB wamshikilia mwandishi wa Wall Street Journal.

Majasusi wa shirika la ujasusi wa ndani la Russia FSB ambayo zamani ilikuwa ikiitwa KGB wanamshikilia mwandishi wa habari wa jarida la Wall Street Journal kwa tuhuma za kufanya shughuli za ujasusi wa ndani yaani "espionage"nchini Russia.

Mwandishi huyo Evan Gershkovich mwenye umri wa miaka 31 amekamatwa katika mji mdogo wa Urals ndani ya jiji la Yekateringburg ambako amekuwa akifanya kazi ya kuripoti mgogoro wa Russia na Ukraine.

Gershkovish ni mwakilishi wa jarida hilo nchini Russia lakini ni raia wa Marekani na kwa mujibu wa FSB Gershkovich ambae ameidhinishwa na wizara ya mambo ya nje ya Russia kifanya kazi zake nchini humo , amekuwa akijishughulisha na shughuli za kijasusi kwa niaba ya serikali ya Marekani.

FSB wakizungumza na shirika la habari la Russia la Interfax wamedai Gershkovich amekuwa akikusanya taarifa za kijasusi zinohusu makampuni na viwanda vya kijeshi vinavyojishughulisha na masuala ya utengenezaji silaha na sehemu zote nyeti za kijeshi.

Taarifa zaidi kutoka kwa watu walo karibu na Gershkovich ambazo wamezitoa kwa mtandao wa Telegram zasema Gershkovich aliacha kuwepo mtandaoni kuanzia saa tisa alasiri ya jana.

Ujasusi wa ndani yaani "Espionage" wahusu ukusanyaji wa taarifa nyeti kuhusu nchi mwenyeji na kuzipeleka kwa nchi ya jasusi husika. Kitendo cha kutambua kuwepo kwa majasusi wanofanya ujasusi wa ndani chaitwa "Counter Espionage" na ni kazi muhimu sana kwa idara yoyote ya Usalama wa taifa.
 
Walianza kupewa AD zisizo fanya kazi ila pia vifaru wanavyopewa hasa vya wingereza havijafanyiwa modernization toka 1999. Kumbe hata ndege wanazopewa haziwezi kubeba makombora ya kisasa! Ukraine is a millitary dumping area
Screenshot_20230330-123826~2.png
 
Utoto wake upo wapi hapo. Yaani kuna mtu anasema kwamba yale makombora yanayojaribiwa Urusi yatarushwa mpaka White House, na mimi nasema kwa nini wasubiri warushe washington wakati jamaa alikuja hadi Kyiv? Ukiona kitu hukielewi siyo kwamba LAZIMA kiko chini ya kiwango, inawezekana wewe ndiye uwezo wako wa kuelewa ndiyo uko chini ya kiwango.

Yaani nyie hamuwezi kujenga hoja mpaka mseme mambo ya hoja za kitoto, ushoga, ujinga, na mengineyo?? Jifunzeni kuwa watu wazima kwa kujibu hoja kwa hoja badala ya kutafuta sifa kwa kuita watu kwa sifa za ajabu ajabu!!
Hivi Russia au Putin atafaidika Nini Kwa kumdungua Biden?Kufanya hivyo si kuanzisha world war 3?Au Kwa lugha nyingine nuclear war!
Hivyo hivyo US hawezi kumdungua Putin Kwa mantiki hiyo hiyo!
Ila Kwa sababu mnajadili Kwa mihemko,mnashindwa kuelewa hayo!
US na washirika wake wameepuka kutoa long range missiles zinazoweza kupiga Russia na badala yake wanampa silaha zinazoweza kupiga targets ndani ya Ukraine na sababu inaeleweka na imetajwa kuwa ni kuzuia escalation of the war!
Ukiwa unayajua hayo huwezi kuuliza kwanini Russia hawezi kushambulia viongozi wanaofika Kyiv!Ndio maana Russia alipewa taarifa in advance Ili asijeshambulia na akajitetea kuwa alikuwa hajui kuwa Biden Yuko Ukraine!
 
Tumsikilize na Lissu juu ya Russia vs Ukraine



Kumbe west Kwa miaka 200 wamekuwa wakiivamia urusi,

Mrusi inabidi atoe kichapo kitakatifu

Lisu alikimbilia Belgium,
Na Belgium ndio makao makuu ya NATO.
Angekua mtu muoga angepindisha ukweli,lkn lisu sio muoga kasema ukweli kabisa.
Lisu ni msema kweli daima hajali ukweli huo utakukera ama la.
 
Wall Street Journal Reporter Detained in Russia for ‘Espionage’

Russian security services said the US citizen was involved in the collection of ‘secret information’ about a defense company. Fellow journalists have said the claim is ‘obviously bogus.’

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
BRICS
Mambo yanazidi Kuiva Sasa Maombi yameongezeka Kwa nchi Kutaka Kujiunga
Nchi zilizo wasilisha Maombi ni
Saudi Arabia, UAE, Egypt, Algeria, Argentina, Mexico and Nigeria.
View attachment 2570792

🇿🇦South African Foreign Minister:
Requests to join the BRICS group were submitted by Saudi Arabia, UAE, Egypt, Algeria, Argentina, Mexico and Nigeria.
kujiunga na umoja wa kimaskini, sijui nani atamkopa mwenzie.
 
[emoji389]Ukraine has received a $1.25 billion grant from the US. The US has already sent $15.5 billion in grants since the start of the war, Ukraine’s Ministry of Finance reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji389]Ukraine has received a $1.25 billion grant from the US. The US has already sent $15.5 billion in grants since the start of the war, Ukraine’s Ministry of Finance reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin analia anasema tabia ya US ni mbaya sana, bila wao vita ingekuwa imeshakwisha kitambo saana. anasema "its US who are holding up this war"
 
International Atomic Energy Agency (IAEA) Director General Rafael Grossi said that there had been a significant increase in the number of troops in the area of Zaporizhzhia Nuclear Power Plant (NPP) and it could no longer be protected.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom