Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Tuambie boss.Unajua mpk sasa hv dollar ina tumika kwa kiasi gani (%?) kwenye transaction duniani na graph yake inaelekea wapi (juu/chini) as time goes on!?
Tuambie boss.Unajua mpk sasa hv dollar ina tumika kwa kiasi gani (%?) kwenye transaction duniani na graph yake inaelekea wapi (juu/chini) as time goes on!?
Swali zuri. Kwenye nchi kuna mambo meengi sana ya kufanyiwa kazi na yenye sheria mbali mbali. Trump alipokuwa madarakani alipambana sana na ObanaCare ambayo iko kisheria. Kwa nini? Kwa sababu Republican hawaamini kwenye kutumia fedha za umma kugharamia mambo binafsi ya watu, kama bima ya Afya.Kwahiyo hiko chama kimeamua chenyewe serikali ya marekani imeyapinga hayo?
Kwani Biden ni ammo depot?![]()
Hivi Biden alipokwenda Kyiv kwa nini wale wenye Hypersonic Missiles wasingemdungua!!??
Unampa shule kidogo. Na mifano juu. ProRussia mnajua mpk mnajua tena!Kitu cha kwanza ulipaswa kujiuliza kwa nini Russia kaamua kupeleka jeshi Ukraine? Chanzo cha Russia kuanzisha military operation hapo Ukraine ni nini? Putin ni kichaa kwamba aamke tu na kurusha makombora nchi nyingine?
Jua kwamba mgogoro huo haujaanza feb 24, 2022 pale Russia ilipotuma missile ya kwanza kwenda Ukraine, mgogoro huo una historia ndefu.
Kwa kujiongezea ufahamu Kapitie mambo machache ukianza na geopolitical situations
View attachment 2570459
Anzia na youtube link hiyo
Humo ndani wamegusia kidogo ishu ya US ilivyoingilia michakato ya changes za viongozi wa Ukraine, wenyewe wanafikiri nani awe kiongozi na nani hafai kuwa kwenye uongozi mpya
View attachment 2570470
View attachment 2570471
![]()
Leaked audio reveals embarrassing U.S. exchange on Ukraine, EU
A conversation between a State Department official and the U.S. ambassador to Ukraine that was posted on YouTube revealed an embarrassing exchange on U.S. strategy for a political transition in that country, including a crude American swipe at the European Union.www.reuters.com
Ukiachana na hapo, rudi nyuma kapitie nini kilipelekea kuvunjika kwa Partition Treaty/Karkiv pact kati ya Russia na Ukraine, ingia chimbo fanya utafiti wa majarida kujua sababu.
Kwa ufupi kujua nini maana ya hizo treaty pitia link hiyo
![]()
Kharkiv Pact
The Agreement between Ukraine and Russia on the Black Sea Fleet in Ukraine, widely referred to as the Kharkiv Pact (Ukrainian: Харківський пакт)[1][2] or Kharkiv Accords (Russian: Харьковские соглашения),[3][4][5] was a treaty between Ukraine and Russia whereby the Russian lease on naval...military-history.fandom.com
View attachment 2570483
View attachment 2570484
Lakini pia mwaka 2021, mshauri wa Putin alitoa accusation kwa US kwamba wanatengeneza biological weapons karibu na mipaka ya Russia,
View attachment 2570493
unajua biological labs ambazo Russia walikua wanaziongelea zilikua wapi?
Inawezekana. Hivi waliokuwa wanashadadia kwamba "Sasa White House watapigwa huko huko" walikuwa wanadhani Ikulu ya Marekani ni "Ammo Depot"??Kwani Biden ni ammo depot?
Tupe tofauti ww kati ya vita na smoRussia preparing for major military recruitment campaign to sign up '400,000 troops', MoD says
Russian media is reporting that authorities are preparing to start a major military recruitment campaign with the aim of signing up "an additional 400,000 troops".
The UK MoD said Russia is presenting the campaign as a drive for volunteer, professional personnel rather than a new, mandatory mobilisation.
It added that Russian authorities have likely selected a supposedly "volunteer model" to meet their personnel shortfall in order to minimise domestic dissent.
But the MoD notes that rebuilding Russia's combat power will require more than just personnel - as it needs more munitions and military equipment than it currently has available.
==========================
SMO au Vita kamili hii ?
Nimeamini nyinyi ni mashoga tunaobishana nao humu.🚮
May 23, 2019
![]()
Nearly half of Russians support equal rights for members of the LGBT community, marking the highest level of support in 14 years, according to the independent Levada Center pollster.
Since Russia banned the display of “gay propaganda” to minors in 2013, authorities have refused to authorize gay pride events across the country and polls have shown worsening attitudes toward sexual minorities.
NEWS
Russians Most Opposed to Having LGBT Neighbors – Poll
READ MORE
Forty-seven percent of Russian respondents agreed that “gays and lesbians should enjoy the same rights as other citizens,” the poll released Thursday showed, while 43 percent disagreed.
When asked the same question in 2013, the year the “gay propaganda” law passed, 8 percent fewer Russians agreed that LGBT people deserve equal rights (39 percent).
The increase in support since 2013 can be attributed to the gradual decline in anti-LGBT sentiment appearing on TV over the past six years, political analyst Alexei Makarkin told the RBC news website.
“But if fired-up people yelling about Russia’s perverted, millennia-old moral foundations are shown again,” he warned, “the degree of intolerance toward the LGBT community will rise again.”
Levada conducted the survey among 1,625 respondents in 50 Russian regions on April 18-23.
Umetoa maelezo ebu jibu hili swali je serikali imeyakataa hayo?Swali zuri. Kwenye nchi kuna mambo meengi sana ya kufanyiwa kazi na yenye sheria mbali mbali. Trump alipokuwa madarakani alipambana sana na ObanaCare ambayo iko kisheria. Kwa nini? Kwa sababu Republican hawaamini kwenye kutumia fedha za umma kugharamia mambo binafsi ya watu, kama bima ya Afya.
Leo Democratic wapo madarakani, husikii serikali ya Marekani ikipambana na Obamacare badala yake wanaiimarisha. Mambo ya kuunga mkono ushoga ni mambo ya Democratic na wala si mambo ya wamarekani wote, yaani nchi. Kuna sheria na maamuzi ya Mahakama Kuu ya Marekani kwamba mashoga wasinyanyaswe kutokana na ushoga wao.
Sasa chama cha Demokratic kwa kuwa kinaunga mkono haki za mashoga, chenyewe kikiwa madarakani kinasimamia kwa nguvu zote sheria na maamuzi hayo ya Mahakama Kuu. Maana yake kwa wakati Democratic wapo madarakani kuunga mkono ushoga itakuwa ndiyo sera ya serikali ya Marekani.
Mwakani Republican wakishinda Uchaguzi, huwezi kuta kuna viongozi mashoga kwenye serikali ya Marekani kama ilivyo sasa, waliobadili jinsia zao (Transgender) nao watatimuliwa jeshini ama kuwekewa sheria ngumu sana. Kwa ivo kusema hii ni sera ya Marekani siyo sahihi kwani Republican hawaifuati.
Wewe hizo source nilizoweka ni Wademocrat?Nimeshasema mara nyingi sana humu kwamba hiyo ni sera ya Democtratic. Huwezi kuta Republicans wanatishia watu kwa sababu ya mambo ya ushoga. Siku wakiondoka madarakani, huwezi sikia aina hiyo ya vitisho.
🚮Inawezekana. Hivi waliokuwa wanashadadia kwamba "Sasa White House watapigwa huko huko" walikuwa wanadhani Ikulu ya Marekani ni "Ammo Depot"??
Hili ngese linajaribu kutaka kuonyesha Republican ni wanapinga ushoga kitu ambacho sicho Cha kweli.Umetoa maelezo ebu jibu hili swali je serikali imeyakataa hayo?
Jibu Ndio au Hapana!
Mbona swali alitaki maelezo hili
Unachojaribu kufanya ni kitu cha ajabu sana. Hebu jistukie kdg! Ina maana na wewe usiilaumu urusi kwa sababu SMO ni sera na mpango wa Putin na wala sio warusi wote sio!?Swali zuri. Kwenye nchi kuna mambo meengi sana ya kufanyiwa kazi na yenye sheria mbali mbali. Trump alipokuwa madarakani alipambana sana na ObanaCare ambayo iko kisheria. Kwa nini? Kwa sababu Republican hawaamini kwenye kutumia fedha za umma kugharamia mambo binafsi ya watu, kama bima ya Afya.
Leo Democratic wapo madarakani, husikii serikali ya Marekani ikipambana na Obamacare badala yake wanaiimarisha. Mambo ya kuunga mkono ushoga ni mambo ya Democratic na wala si mambo ya wamarekani wote, yaani nchi. Kuna sheria na maamuzi ya Mahakama Kuu ya Marekani kwamba mashoga wasinyanyaswe kutokana na ushoga wao.
Sasa chama cha Demokratic kwa kuwa kinaunga mkono haki za mashoga, chenyewe kikiwa madarakani kinasimamia kwa nguvu zote sheria na maamuzi hayo ya Mahakama Kuu. Maana yake kwa wakati Democratic wapo madarakani kuunga mkono ushoga itakuwa ndiyo sera ya serikali ya Marekani.
Mwakani Republican wakishinda Uchaguzi, huwezi kuta kuna viongozi mashoga kwenye serikali ya Marekani kama ilivyo sasa, waliobadili jinsia zao (Transgender) nao watatimuliwa jeshini ama kuwekewa sheria ngumu sana. Kwa ivo kusema hii ni sera ya Marekani siyo sahihi kwani Republican hawaifuati.
Nasubiri kuona Mali za Israel zikizuiwa Ili kupunguza uwezo wa Israel kutekeleza uhalifu huko occupied west bank!Unaweza kuilinganisha hivyo. Isipokuwa kwa nchi inayotafuta na kuhitaji wawekezaji, ni hatua ya kuharibu sifa kama nchi salama kwa wawekezaji. Nchi zisizotegemea sana uwekezaji ( na kuwa na mfumo imara zaidi ya mahakama kulio Urusi) hali ni tofauti. Labda hapa si swali la haki bali la nguvu ya kiuchumi.
Pamoja na hayo, mali za Urusi hazikunyang'anywa huko magharibi. Ziliwekwa chini ya namna ya ulinzi. Kisheria ni tofauti ya maana.
Tena kuna sababu ya kufanya vile. Maana katika vita hii yuko mmoja anayevunja sheria ya kimataifa: Urusi. Hii sababu ya karibu nchi zote za Umoja wa Kimataifa ama kushtaki Urusi au kutoitetea. Kimatifa imekubaliwa kukamata mali ya yule anayevunja amani na haki, ili kupunguza uwezo wake wa kutekeleza uhalifu.
Unawajua largest fertilizer export?Unapayukapayuka tu!Mimi siwekezi. ila najua Urusi imetafuta sana wawekezaji na inaendelea kuwatafuta. Maana inawahitaji. Kwa nini viwanda vyote vikubwa vya magari vilikuwa uwekezaji wa nje? Mbona miradi mikubwa ya kutoa gesi kwenye kaskazini ilikuwa ya wawekezaji?
Sema wewe!
(jibu langu: walikosa uwezo wa kitekinolojia na pia pesa nchini, sivyo?)
Ulaya kuhitaji Urusi? Walitumia kama chanzo nafuu cha makaa, gesi na mafuta. Sasa wameshabadilisha, na menginevyo waliamua (kabla ya vita) kuachana na kabohidrati kama mafuta na gesi. Ugomvi huu unawasaidia kuelekea huko haraka zaidi.
Kuna nini tena wanachohitaji kutoka Urusi?
(Vodka kutoka Urusi ilikuwa nafuu pia, lakini siku hizi unapata wengi wanaotengeneza vodka.... nini tena??? )
uturuki si koloni lake kama vile belaruzKuna Taarifa Mwamba PUTUN kutembelea Uturuk
Sasa Tuone nini watafanya
Washalemazwa hawa ndio maana uelewa wao umeshuka sanaHili ngese linajaribu kutaka kuonyesha Republican ni wanapinga ushoga kitu ambacho sicho Cha kweli.
Anataka kuonyesha ushoga unaungwa mkono na Wademocrat pekee, hapa anajaribu kudanganya wazi wazi.
Anataka aonyeshe serikari ya Marekani ipo Neutral ila sijui hajui wamefunganisha mpaka sera zao za mambo ya nje na ushoga.
Hili litakuwa bwabwa lililojaza dodoso tayari, maana huwezi kuwaza kinyumenyume.