Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



Near Bakhmut, the Armed Forces of Ukraine destroyed an ammunition depot and military equipment of the russian invaders with one shot.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#Ukraine should already start preparations for receiving from foreign partners F-16 multi-purpose warplanes, including training pilots, preparing maintenance bases, and setting up an airfield network.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
ss-230220-biden-zelensky-ukraine-17-e0525f.jpg

Hivi Biden alipokwenda Kyiv kwa nini wale wenye Hypersonic Missiles wasingemdungua!!??
Mkuu,
Huzijui Sheria za kimataifa khs vita?
Viongozi wa kiserikali Huwa hawauwawi
Ndo maana mpk sahv zelensky Yuko hai na wanakua alipo[emoji4]
 
Nimeshasema mara nyingi sana humu kwamba hiyo ni sera ya Democtratic. Huwezi kuta Republicans wanatishia watu kwa sababu ya mambo ya ushoga. Siku wakiondoka madarakani, huwezi sikia aina hiyo ya vitisho.
Kipindi cha Trump,Makonda alipigwa ban na US!Moja ya sababu ni kuminya haki za mashoga!
Trump ni republican!
 
US Desperate To Stop Nord Stream Investigation — Russian Embassy

According to Russia’s Embassy in Washington, the US is trying to do everything possible to prevent an independent investigation and “hide behind the actions of its allies” instead of establishing the actual circumstances of the Nord Stream explosions.

The Russian diplomatic mission’s statement accused the White House of trying to "put the brakes on" the information of authoritative journalists that is dangerous for the US about the likely direct involvement of American special services in organizing the “crimes of the century.”

Subscribe to RT
Marekani haijawahi kuwa na hofu kama safari hii
Marekani Iko na hofu kubwa sana,
Hii ni kwa sababu safari safari hii inasababishwa kua wamejikuta Wana dili na mwerevu .
 
Ukosoma vizuri,wamemnukuu Putin akisema "It could be a lengthy process",wao Wakaja na heading Yao!
So hapo wamemuwekea maneno mdomoni!
Ila hapo hapo wanasahau kuwa alisema malengo lazima yatimie na Victory is inevitable!
Sasa mtu aliyesema ataendelea na SMO mpaka malengo yatimie,ndio huyo wanakuja kugeuza maneno yake!
 
To date, the sanitary losses of the Russian army exceed 220,000 people, British Defense Minister Ben Wallace said in an interview with Sky News.

"The Russian military is experiencing significant and deep systemic problems right now. The latest US estimates I've seen put the casualty figure at over 220,000 wounded and killed," Wallace said.

In February, British intelligence estimated the sanitary losses of the Russian army at 175,000-200,000 people.

Join our telegram channel for more videos - link in comment

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nilitaja tu hali halisi kwamba Urusi ilishindwa kuthibiti anga juu ya Ukraine - ingawa wana ndege nyingi na bora kuliko Ukraine. (Yule ghostfighter sijali.)
Siku hizi unaona matokeo ya udhaifu huu: vifaru vya Kiingereza na vya Kijerumani vinapelekwa Ukraine kutoka Poland, sasa vinasafirishwa hadi mstari wa mapigano. Kama Urusi ingetawala anga, vifaru hivyo visingefika, vingeangamizwa karibu na Poland tayari.
Ila uwezo huu haupo. Sababu kuu: kwenye mwanza wa vita Warusi walishindwa kumaliza zile SAM 3 na SAM 4 za Ukraine, Hivyo ndege zao zilipaswa kushambulia chini, karibu na uso wa ardhi . Hapa zilipigwa na roketi hizo za mbegani. Hivyo wameacha majaribio kuingia Ukraine. Wanarusha tu makombora kutoka mbali - au wanafikaa kifupi moja kwa moja kwenye mstari wa mapigano.
Lakini tangu mwaka hakuna majaribio tena kudhibiti anga.
Kumbe vifaru vinasafiri jinsi Waukraine wanavyotaka.
Lazma vifaa vifike kwenye Uwanja wa maangamizi hiyo ndo njia pekee ya Urusi kupata au kuteka vifaru vizima. There much more to this war than just Ukraine
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️There are reports that Wagner PMC fighters are storming the district administration building and Bakhmut City Council (red circle), the Armed Forces of Ukraine are retreating into the city center from Bakhmutskaya and Blagoveshchenskaya streets[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️.


Muda sio mrefu bendera itapepea kwenye mlingoti wa jengo la halmashauri ya mji wa BakhmutView attachment 2570303
Hao wanao kimbilia kwenye City Center na kwa kuwa raia wamekwisha hama basi binafusi ningemshauri Putin kwamba wanajeshi wa Ukraine walio kimbilia katikati ya mji awamalize kwa mvua ya white phosphorous incendiary agents - kwa kuwa wengi wa wanajeshi hao wala si raia wa Ukraine majority ni some US/NATO troops na mamluki.
 
Waki,waki,waki,waki waki🚮🚮 Nini kinwazuia wasiende?

Hapajawa na sababu maana ka-Ukraine kenyewe kameweza kulemaza hilo lisupapawa mnaloliabudu.
Tulitegemea litafumua ka-Ukraine kwa wiki moja, leo mwaka umeisha limeliwa hadi raha.
 
Back
Top Bottom