Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Lakini yeye kaolewa ingawa hana watoto, akili kama hizi za kipuuzi unajua Muuba wake alizichukuliaje wakati anamleta hapa Duniani.Tutayazungumzia kwa sababu ndio ajenda ya US na Wanato View attachment 2570747
Mtu anafunga safari kutoka Merikani kuja kuwatisha tisha Waafrica kwamba kubalini LBGTQ or else - kwa nini yeye haonyeshi mfano wa kuachana na mumewe ili akaolewe na mwanamke mwenzake - mkuki kwa nguruwe.