Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapajawa na sababu maana ka-Ukraine kenyewe kameweza kulemaza hilo lisupapawa mnaloliabudu.
Tulitegemea litafumua ka-Ukraine kwa wiki moja, leo mwaka umeisha limeliwa hadi raha.
Jeshi lenu Somalia limechezewa shele, Juzi juzi hapa Wakongomani walisema hawataki kuliona au kulisikia jeshi lenu la Kenya - yote hayo wewe huyasemi akili zako zote zipo kwa Putin - Putin this Putin that, naona jeshi la Ukraine liki surrender utakumbwa na mshituko wa MOYO.
 
Haya maswali yalishajadiliwa huko nyuma.
Nenda thread za mwanzo ukasome.
Haiwezekani kati kati ya op watu waanze upya kujadili
ndiyo maana tunasema Putin hana hoja ya msingi ya kuivamia Ukraine, just wasting resources za warusi. Ukraine ni nchi huru haiwezekani mtu mmoja ati kutaka kuwachagulia nani wa kucheka naye na nani wa kumnunia.
 
Keshi lenu Somalia limechezewa shele, Juzi juzi hapa Wakongomani walisema hawataki kuliona au kusikia jeshi lenu ka Kenya - yote hayo wewe huyasemi akili zako zote zipo kwa Putin - Putin this Putin that, naona jeshi la Ukraine liki surrender utakumbwa na mshituko wa MOYO.

Hehehe!! Wewe na njaa zako umekomalia vya Kenya watu wanajadili kipodo anachopokea Urusi yule mtume wenu.
 
VIDEO

Kikosi cha 228 Kimegoma Kwenda Kupigana Katikati mwa Mji wa Bakhmut
Wanadai Hawana Vifaa kuweza Kupigana Kwenye hali kama ile ya Hatari
Wanasema Bakhmut kuna Vita Mbaya na Yahali ya juu sana
Hawajapewa Mafunzo yakutosha Kuhimili Hali iliopo Pale.
Hawana Vifaa vya Usiku kwenye Mapambano.
Viongozi wao Wanawatisha Wasipo kwenda Watafungwa na Vitisho Vimekuwa vingi sana na wao Uwezo wakupambana kwenye Hali iliopo paleHawawezi,
Hawapo tayari kwenda Kupigana tena



Ukrainian soldiers from the 228th troop battalion refuse to go to positions in Artemovsk (Bakhmut): "Good afternoon, we are fighters of the 228th battalion, we were tricked into the city of Bakhmut, in the center of hostilities.
We were not given a combat order, we were not shown a combat order "People did not receive proper training in order to perform a combat mission in such difficult conditions.

We were not provided with any sights or night vision devices, no logistics, evacuation of the wounded ... We were repeatedly threatened by the leadership about the fact that we will be locked up in prison, about the fact that there will be consequences for our loved ones.

On this occasion, we express no confidence in our commander "Irish" Gleb, justified by the fact that people do not refuse to carry out combat missions, but demand the necessary conditions for this."


 
ndiyo maana tunasema Putin hana hoja ya msingi ya kuivamia Ukraine, just wasting resources za warusi. Ukraine ni nchi huru haiwezekani mtu mmoja ati kutaka kuwachagulia nani wa kucheka naye na nani wa kumnunia.
Haya ndio mambo yenu mnayotaka kulazimisha kwenye Mataifa ya Afrika.
Je? hii ni sawa.

Kama hili mnaona sahihi ila Urusi kuivamia Ukraine sio sahihi?
IMG-20230329-WA0001.jpg
 
VIDEO

Kikosi cha 228 Kimegoma Kwenda Kupigana Katikati mwa Mji wa Bakhmut
Wanadai Hawana Vifaa kuweza Kupigana Kwenye hali kama ile ya Hatari
Wanasema Bakhmut kuna Vita Mbaya na Yahali ya juu sana
Hawajapewa Mafunzo yakutosha Kuhimili Hali iliopo Pale.
Hawana Vifaa vya Usiku kwenye Mapambano.
Viongozi wao Wanawatisha Wasipo kwenda Watafungwa na Vitisho Vimekuwa vingi sana na wao Uwezo wakupambana kwenye Hali iliopo paleHawawezi,
Hawapo tayari kwenda Kupigana tena



Ukrainian soldiers from the 228th troop battalion refuse to go to positions in Artemovsk (Bakhmut): "Good afternoon, we are fighters of the 228th battalion, we were tricked into the city of Bakhmut, in the center of hostilities.
We were not given a combat order, we were not shown a combat order "People did not receive proper training in order to perform a combat mission in such difficult conditions.

We were not provided with any sights or night vision devices, no logistics, evacuation of the wounded ... We were repeatedly threatened by the leadership about the fact that we will be locked up in prison, about the fact that there will be consequences for our loved ones.

On this occasion, we express no confidence in our commander "Irish" Gleb, justified by the fact that people do not refuse to carry out combat missions, but demand the necessary conditions for this."


View attachment 2571212
Georgia na Finland awakuwa wajinga kukubali matakwa ya Warusi.walijua kabisa tukiendelea kubishana tutaumia sisi.sasa ndugu yetu Ukraine kakubali kubishana ila sasa naona dawa imeanza kuingia.

Mara ya kwanza alikuwa analalamika kuwa mpaka sasa rais wa china ajamtafuta ili kumwambia chochote kile kuhusu mpango wa amani aliokuwa anandaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Juzi tena anaomba rais wa china atembelee Ukraine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani Putin na Xi walisema nini in public - mambo mengine ni kiasi cha kuzisoma between the lines unapata picha kamili - kama unafikiri China inaweza kukaa kimya huku wakijali sana masuala ya biashara na kuipuuzia Russia in case Russia mambo ya vita yakiwaendea vibaya which is mostly unlikely by the way.

Hilo likijitokeza nakuhakilishia Uchina,North Korea na Iran wote watakwenda kimsaidia Mrusi dhidi ya US/NATO maanake wasipo fanya hivyo hawawezi kujuwa nani atakuwa next victim wa siasa hizi za vita na vurugu zinazo anzishwa na Taifa la Merikani kwa lengo la kuvuruga amani Duniani, lkwa hiyo watahamua kushirikiana wote kumaliza donda ndugu za ujeuri wa Taifa la Merikani kwa kuhakikisha linapigwa kweli kweli na kuhalikisha halitainuka tena kuwa tishio kwa amani Duniani - vile vile mataifa hayo yata hakikisha kwamba this time vita inapiganwa huko huko kwenye aridhi ya Merikani ili na yeye ajue vizuri madhara ya vita, hasiwe anavisikia kwenye radio na kuviona kwenye luninga tu.

Nina uhakika hata yeye amekwisha lishtukia hilo kwamba akiendelea kufanya upuuzi wake basi mataifa tajwa hapo juu yenye nguvu za kijeshi yatamchangia na kumpa kipigo kitakatifu.

Vile vile anajua vijinchi nchi vya NATO vingine ni vidogo kieneo kuliko hata Taifa la Rwanda haviwezi kuitisha Taifa kama Urusi hata wakiungana wakafikia mia moja, Putin atavinyoosha tu.
Mkuu pamoja na maelezo mazuri, ila umeharibu pale ulipo dharaniu Nchi .nyingine kwa kuziita "vinchi vidogo-dogo" Mkuu Nchi ni Nchi tu, hivi unaweza kuidharau Japan eti kwa sababu ni ka-nchi kadogo.
Japan imei- tawala hiyo unayoiona kubwa.
 
[emoji298]️300 DJI Mavic 3T Thermal drones have already been handed over to the Ukrainian military in the hottest areas of the frontline, Deputy Prime Minister for Innovations, Development of Education, Science and Technologies, Mykhailo Fedorov, reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
And what are thermo drones supposed to do in the battle scientifically - please clarify.
 
Mkuu pamoja na maelezo mazuri, ila umeharibu pale ulipo dharaniu Nchi .nyingine kwa kuziita "vinchi vidogo-dogo" Mkuu Nchi ni Nchi tu, hivi unaweza kuidharau Japan eti kwa sababu ni ka-nchi kadogo.
Japan imei- tawala hiyo unayoiona kubwa.
Nakubaliana nawe mkuu hapo mimekosea kidogo, taifa lolote ambalo ni member wa United Nations zina haki sawa shape size notwothstanding - extremly sorry Amigo.
 
Back
Top Bottom