Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Do you understand the term "likelly" dude?
Hata mimi nilikiwa nataka kumuhoji swali hilo hilo - Waingereza wazushi sana na wachonganishi - siku moja waziri wa Ulizi wa Uingereza kafinga safari kwenda White House Merikani na kumwambia Joe Biden na majenerali wa Merikani wa Merikani kwamba ana uhakika Putin anatayarisha meli zake kwenye Black Sea ili kuishambulia USA kwa nuclear missiles - uzuri Joe Biden na washauri wake wa kijeshi wala hawakukurupuka walitafakari kiundani taarifa za Waziri wa Ulizi wa Uingereza na kuhamua kuzipuuzia - we angalia taarifa nyingi za utatanishi kihusu Urusi zinatoka kwenye media za Uingereza - wanatamani sana Amerika iipige Urusi kwa kutumia silaha za nyuklia hata huu mpango wa Uingereza kutaka kupeleka Depleted Uranium shells Ukraine lengo lake ni kumjaribu kumtega Putin ili waone atajibu vipi matumizi ya shells ya DU kwenye vita ya Ukraine - na hapo ndipo wajaribu kuwashawishi Wamerikani kutumia tactical nuclear bombs/missiles, dhamila za Uingereza kuhusu Urusi sio nzuri hata kidogo.
 
Hii vita imekuwa Janga kubwa sana kwa urusi,Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱
1680162717068.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Utoto wake upo wapi hapo. Yaani kuna mtu anasema kwamba yale makombora yanayojaribiwa Urusi yatarushwa mpaka White House, na mimi nasema kwa nini wasubiri warushe washington wakati jamaa alikuja hadi Kyiv? Ukiona kitu hukielewi siyo kwamba LAZIMA kiko chini ya kiwango, inawezekana wewe ndiye uwezo wako wa kuelewa ndiyo uko chini ya kiwango.

Yaani nyie hamuwezi kujenga hoja mpaka mseme mambo ya hoja za kitoto, ushoga, ujinga, na mengineyo?? Jifunzeni kuwa watu wazima kwa kujibu hoja kwa hoja badala ya kutafuta sifa kwa kuita watu kwa sifa za ajabu ajabu!!
Tutayazungumzia kwa sababu ndio ajenda ya US na Wanato
IMG-20230329-WA0001.jpg
 
[emoji636]According to the latest British Defence Intelligence report, Russia will not be able to recruit another 400,000 people to the army voluntarily, as it has declared.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji389]Japan has allocated a new humanitarian aid package to Ukraine in the amount of $470 million. The funds will mainly be used for demining and restoring the energy system, the Japanese Foreign Ministry's press service reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
putiin-1024x709.jpg


Putin says Ukraine ‘special military operation’ is taking longer than expected​

KYIV, Ukraine (AP) — Russian President Vladimir Putin acknowledged Wednesday that his “special military operation” in Ukraine is taking longer than expected.
“Of course, it could be a lengthy process,” Putin said of the more than 9-month-old war that began with Russia’s invasion Feb. 24
 
putiin-1024x709.jpg


Putin says Ukraine ‘special military operation’ is taking longer than expected​

KYIV, Ukraine (AP) — Russian President Vladimir Putin acknowledged Wednesday that his “special military operation” in Ukraine is taking longer than expected.
“Of course, it could be a lengthy process,” Putin said of the more than 9-month-old war that began with Russia’s invasion Feb. 24
Chanzo cha taarifa mawazo yako wewe mwenyewe
 
Kwa my opinion ts either US hajafanya lolote kwa sababu katika hatua hii hakuna la kufanya pengine sababu hajajua strategies za Chi-Rus kulinda uchumi wa dunia au sababu volume of ant-$ transaction ni too low to qualify materiality concept au China ana agenda tofauti na anayoitoa hadharani. Ndo maana nasema ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.

Mkuu navyoona ww umeshafanya hitimisho, mm bado. Umehitimisha anguko la dola ilihali safari ya kutaka kuiangusha ipo katika early stage na jambo kama hili sio jepesi na haliwezi hitimishwa kwa vol ya mikataba iliyofanyika mpaka sasa. AGAIN, LETS WATCH AND LEARN WENYE UCHUMI WAO. CHINA-RUSSIA-USA.
Unajua mpk sasa hv dollar ina tumika kwa kiasi gani (%?) kwenye transaction duniani na graph yake inaelekea wapi (juu/chini) as time goes on!?
 
❗️US Espionage Case: Russian Security Services Detain Wall Street Journal Correspondent

A US citizen suspected of spying has been detained in Yekaterinburg by the FSB for collecting state secret information from entities of the Russian military industrial complex.

Evan Gershkovich covers news from Russia, Ukraine and other parts of the former USSR for the American newspaper.

Just In @RT_India_official
 
Back
Top Bottom