Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Kubali tu kwamba upo upande wa mashoga.Tulikuwa tunajadili mambo ya Makonda. Hii sasa unajibu nini??
Hayo ya makonda hayana tija kwa sasa.
Kubali tu kwamba upo upande wa mashoga.Tulikuwa tunajadili mambo ya Makonda. Hii sasa unajibu nini??
Aliyeleta ndiyo ulitakiwa kumwambia kwamba hayana tija. Mimi nimenukuu alicholeta Boma-e ila wewe umeingia kwenye mjadala usiouelewa umetokea wapi.Kubali tu kwamba upo upande wa mashoga.
Hayo ya makonda hayana tija kwa sasa.
Sasa hata ili la wewe kuwa upande wa mashoga unataka kulikataa?Aliyeleta ndiyo ulitakiwa kumwambia kwamba hayana tija. Mimi nimenukuu alicholeta Boma-e ila wewe umeingia kwenye mjadala usiouelewa umetokea wapi.
Siko upande wa mashoga ila nachukia uzushi dhidi ya Marekani na unafiki wa watanzania. Utafikiri kwenye watanzania kumi mashoga wapo saba.Sasa hata ili la wewe kuwa upande wa mashoga unataka kulikataa?
Safi sana kama umeanza kujitambua na kujitoa kwenye kutetea hao mashoga westernersSiko upande wa mashoga ila nachukia uzushi dhidi ya Marekani na unafiki wa watanzania.
Sijawahi kutetea mashoga ila nakataa uzushi kusema mashoga wapo Marekani na Ulaya tu. Dunia nzima ina mashoga!!Safi sana kama umeanza kujitambua na kujitoa kwenye kutetea hao mashoga westerners
Ni jambo jema kujitambua na kuwa upande sahihi.
Unaijua sababu iliyosababisha Makonda apigwe ban, kama ilivyoonyesha kwenye lile tangazo?Lile tangazo lipo. Kuna mahali pameandikwa kuwa ni kwa sababu ya kupinga ushoga??
![]()
Si hilo hapo nimeweka!!??Unaijua sababu iliyosababisha Makonda apigwe ban, kama ilivyoonyesha kwenye lile tangazo?