Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]
1680203250162.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
1446.jpg

Mtu wenu kumbe alikuwa ni miongoni mwa watu wasiojulikana!??

Hawa watu walikuwa watu wabaya sana. Ni watu "Wasiojulikana" kule Ujerumani Mashariki al maarufu kama "Stasi"
Ndo umejua leo? Mwamba alikuwa counter intelligence officer pale East Berlin. Kazi kubwa ni kuwatambua na kuwafichua majasusi wa nchi zingine waliokuwa wanaingia pale kwa kazi chafu
 
Lile kombora la hypersonic la Kinzhal lililopiga na kuua wanajeshi wa NATO waliokuwa 80m chini ya ardhi limemfanya Comedian Zelensky awe mpole sana siku hizi.

Sasa hivi humuoni tena na zile mbwembwe zake za kujirekodi na kurusha vi video clip kila baada ya siku moja.

Baada ya lile kombora amekumbuka lile ombi la PM wa Israel kwa Putin kwamba asimuue Zelensky. Maana Putin kama angeamua kumuangamiza angemuua siku nyingi sana.

Adabu imeanza kumrejea.

Ameanza kupata akili mpaka anaforce kuonana na Xi lazima kakutana na kitu kizito. Now amejua NATO hawana ubavu kwa Russia and nothing Ukraine can achieve against Russia. Akiendelea kukaza fuvu atabaki na wanawake tu nchi nzima. Bad news raia wake wanakimbilia Russia.
 
Afu humu ndani wengi ambao wapo upande wa Upinde ni watoto sana wanafikiri US ndo kila kitu hawana historia ya Russia. Yule Dogo T14 armata amemaliza chuo 2021. So hapo age yake ipo below 25 ndo walewale kizazi cha America. Kubishana na hawa watoto ni kupoteza muda tu, mtaishia kubishana tu.
 
Ndo maana nikasema hakuna unachokijua kuhusu Urusi.nikisema ivyo unaona kama vile nakukosea.

Ukiwa na makampuni yako ya kutengeneza magari utakiwi kuzuia kampuni za nnje kuja kuwekeza kwako kisa na wewe unatengeneza magari.

Hayo uliyoyataja ni makampuni ya nnje yenye viwanda vyao Urusi vya kutengeneza magari, na si kampuni za Urusi za kutengeneza magari.

Urusi ana kampuni zake zinazotengeneza magari ambazo ni kama

(1) GAZ
(2)KAMAZ
(3)UAZ
(4)AZLK
(5)AvtoVAZ
(6)LADA
(7)AURUS MOTORS

Na zipo zingine ndogo ndogo.


Kampuni kama GAZ na AZLK zimeanzishwa kabla ya hata kampuni ya Toyota aijulikani kama itakuja kutokea.toka mwaka 1918 AZLK imeanza kutengeneza magari na kampuni ya GAZ toka mwaka 1930 imeanza kutengeneza magari.sasa kama ni leseni ilibidi Toyota na Nissan waombe wao leseni maana wamewakuta jamaa wanatengeneza magari hapo toka kitambo.

Ndo maana nakwambia vitu vingi uvijui kuhusu Urusi
Hapa umesahau URAL na ZIL
 
1446.jpg

Mtu wenu kumbe alikuwa ni miongoni mwa watu wasiojulikana!??

Hawa watu walikuwa watu wabaya sana. Ni watu "Wasiojulikana" kule Ujerumani Mashariki al maarufu kama "Stasi"
Kwamba Hilo ulikuwa haulijui ndio Sasa?? Jaribu kuficha ujinga kidogo hata kama ndio mahaba Yani Leo ndio ujue kuwa Putin alikuwa mtu wa system kweli!!! Leo ndio ujue na uweze kujadili vitu vizito wakati hiki Cha waaazi kabisa kimekushangaza Leo..??
 
Afu humu ndani wengi ambao wapo upande wa Upinde ni watoto sana wanafikiri US ndo kila kitu hawana historia ya Russia. Yule Dogo T14 armata amemaliza chuo 2021. So hapo age yake ipo below 25 ndo walewale kizazi cha America. Kubishana na hawa watoto ni kupoteza muda tu, mtaishia kubishana tu.
Ni vyema kuwapa Elim na wakatae wenyewe, kuliko kuwatelekeza kabisa.

Makosa yalifanywa na waasisi wa taifa letu kwa kutoweka mikakati ya kuelimisha vizazi vipya juu ya historia na uzalendo wa Taifa letu.

Historia bora zinakuza sana uzalendo wa wananchi, na ndio maana juzi hapa Putin alilikazia sana hili la historia na tamaduni za Taifa lao.
Alikomalia sana kuhusu vizazi vipya kufundishwa histori ya taifa na mwenendo wa ulimwengu dhidi ya Taifa lao.

Wanahitaji kupokea uponyaji ili tuendelee kuliponya taifa.
Kaka tuschoke kuwapa elim kadri wanavyozidi kujionyesha jinsi walivyo weupe vichwani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
1446.jpg

Mtu wenu kumbe alikuwa ni miongoni mwa watu wasiojulikana!??

Hawa watu walikuwa watu wabaya sana. Ni watu "Wasiojulikana" kule Ujerumani Mashariki al maarufu kama "Stasi"
Wewe jamaa sijui una umri gani??mbona unaongea vitu cheap sana na common..yaani kweli kuna mtu hajui historia ya Putin, na KGB background yake-East Germany, na kuwa mkuu wa FSB -1998...etc
 
Ukrainian army ‘almost destroyed’ – Wagner chief

The head of the Wagner Group private military company (PMC) Evgeny Prigozhin has described Ukraine’s losses in the battle for the city of Artryomovsk as almost fatal to Kiev’s entire military. The sacrifices made by his force for the sake of Russia were worth it, he added.

“As of today, the battle for Bakhmut has almost destroyed the Ukrainian army,” Prigozhin said in a statement on Wednesday, using the name by which Kiev calls the city. The clash also “gave a serious beating to PMC Wagner,” he acknowledged.

He called the battle the “general engagement” of the entire conflict and said that in it Wagner troops got pitted against Ukrainian armed forces and “foreign units installed into them.” A victory by his troops would be “a turning point” and a historic event, securing a Russian victory, Prigozhin predicted.

“The Russian army alone will be left on the chessboard, and all other pieces will be removed,” he forecast. “Even if PMC Wagner is destroyed in the Bakhmut meat grinder but takes the Ukrainian army with it … it would mean that we have accomplished our historic mission.”
 
“The Ukrainians are doing a very effective area defense that is proven to be very costly to the Russians. For about the last 20, 21 days, the Russians have not made any progress whatsoever in and around Bakhmut,” said U.S. Chairman of the Joint Chiefs of Staff, General Mark Milley.

“So it’s a slaughter-fest for the Russians. They’re getting hammered in the vicinity of Bakhmut, and the Ukrainians have fought very, very well,” he added.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56]


From February 24, 2022 to March 31, 2023, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 173,360 russian military personnel, including 460 soldiers over the past day.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukrainian army ‘almost destroyed’ – Wagner chief

The head of the Wagner Group private military company (PMC) Evgeny Prigozhin has described Ukraine’s losses in the battle for the city of Artryomovsk as almost fatal to Kiev’s entire military. The sacrifices made by his force for the sake of Russia were worth it, he added.

“As of today, the battle for Bakhmut has almost destroyed the Ukrainian army,” Prigozhin said in a statement on Wednesday, using the name by which Kiev calls the city. The clash also “gave a serious beating to PMC Wagner,” he acknowledged.

He called the battle the “general engagement” of the entire conflict and said that in it Wagner troops got pitted against Ukrainian armed forces and “foreign units installed into them.” A victory by his troops would be “a turning point” and a historic event, securing a Russian victory, Prigozhin predicted.

“The Russian army alone will be left on the chessboard, and all other pieces will be removed,” he forecast. “Even if PMC Wagner is destroyed in the Bakhmut meat grinder but takes the Ukrainian army with it … it would mean that we have accomplished our historic mission.”
Kumbe Bakhmut ilikuwa mbaya kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom