Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
CHEERS.Thanks
CHEERS.Thanks
Hizo ni mimba za chuki tu mkuu wala hamna kingine. Unajua mbongo anapochukia kitu for no reason kila jambo baya anakusukumia wewe tu.Swali zuri mkuu, mimi nilimuhoji swali dogo tu, kwamba,je,anajua Warusi walianza kuunda engine zao za Petrol na diesel kwa ajili ya magari na ndege tokea mwaka gani? Hana jibu, yeye masaa yote anazungumzia jinsi warusi walivyo na uwezo mdogo kwenye masuala ya sayansi na teknolojia, yuko overly obsessed na masuala ya propaganda ambazo anazisikia kutoka kwenye media za CNN,SkyNews etc pamoja na articles kutoka wikipedia ambazo majoroty zimeandikwa deliberately kuisema vibaya Urusi,Uchina na Korea Kaskazini.
Hata kama wanajua vizuri masuala ambayo Russia hiko light years ahead of them lakini wataongezea vipengele vya kuwaponda tu - ndio walivyo, bahati nzuri kwa wana sayansi wanao juwa ukweli wala hilo haliwasubuhi wanajua ukweli ni upi na ngonjera za wana siasa za kujitutumua kwamba mataifa yao ndio zaidi hilo wana sayansi wanalijua zaidi - ndio maana siku za hivi karibuni mwana sayansi wa Kimerikani na Industrialist mahili nchini Merikani Bwana Elon Musk alizionya nchi za magharibi particularly wanasiasa na wanajeshi wa Merikani kwamba wasiichezee Urusi jasa hasa kwenye masuala ya silaha za kisasa zenye uwezo mkubwa ambao mataifa ya magharibi hawana, aliongezea maneno mengine ya kuzipa matumaini nchi za magharibi ili zisijisikie vibaya - lakini alijua wazi kwamba message imekuwa sent and delivered - lililobaki ni mataifa ya magharibi kujitathimini kama kweli wana ubavu wa kumchezea/pigana ana kwa ana na Putin.
Daaah jamaaa unahamisha magoli tu .... Kila ukiuliza ukijibiwa unakimbilia kwengine...lete na bajeti ya mwaka ya Pentagoni na ile ya wizara ya ulinzi ya China na Urusi - tuanzie hapo.
Raha sanaUkrainian high-ranking official, quoted by the American media ABC News: "It's increasingly difficult for Kiev to counter Russian fighter jets in the sky. The new generation of Russian fighters, especially the Su-35 makes a huge difference in air superiority.
huyu mwarabu anayejifanya mzungu atuache kwanza tuhangaike na Putin.Rais wa Uturuki Erdogan
Anasema Hatokubari West wamgombanishe na Urusi
Erdogan said he would not allow Western countries to drag Turkey into a war against Russia.
Haya ndio mambo yenu mnayotaka kulazimisha kwenye Mataifa ya Afrika.
Je? hii ni sawa.
Kama hili mnaona sahihi ila Urusi kuivamia Ukraine sio sahihi?View attachment 2571217
Uturuki ni mwanachama wa NATO🤣🤣🤣uturuki si koloni lake kama vile belaruz
Chinese walikuwa na options mbili mezani[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]China yaanza ushirikiano wa Kijeshi na Russia mara moja
Chinese military will start cooperating with Russian military.
“People’s Liberation Army is ready to enhance communication and cooperation with the Russian military, deepen military mutual trust, and hold regular joint naval, air patrols & drills” - China’s Defense Ministry spokesperson.View attachment 2571082
Hakuna wanao mdharau Wote wana Mwogopa mbayaLGBT wanamdharau Putin lakini angalia viongozi wa nchi nyingine wanavyosikia Raha wakifananishwa na Putin
ℹ️ President of the Republika Srpska Milorad Dodik thanked Secretary of State Blinken for comparing him to "leader of the great state Putin"
Lile tangazo lipo. Kuna mahali pameandikwa kuwa ni kwa sababu ya kupinga ushoga??Kipindi cha Trump,Makonda alipigwa ban na US!Moja ya sababu ni kuminya haki za mashoga!
Trump ni republican!
Ushoga ni jambo lao wao Westerns. Ni agenda ambayo wanai push.Lile tangazo lipo. Kuna mahali pameandikwa kuwa ni kwa sababu ya kupinga ushoga??
Tulikuwa tunajadili mambo ya Makonda. Hii sasa unajibu nini??Usilete ubishi usiokuwa na maana yoyote.
Nimemjibu aliyeuliza kuhusu deni la China!what is your point ? eleza tu usiwe na wasiwasi.