MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Kwa hiyo unakubali kuwa Ujerumani, Japan, South Korea ni makoloni ya USA?uturuki si koloni lake kama vile belaruz
Basi usione makosa ya kiuandishi kiupande wake ukaona pro Russia hawafanyi.Hamna usinitumie acha ninae muongelea afanye. Kwani we ni secretary au msemaji wake?
Sawa sawa ndugu BidenBasi usione makosa ya kiuandishi kiupande wake ukaona pro Russia hawafanyi.
Yaani maneno mengine hayaeleweki kabisa hata kusomeka wala hatulalamiki na kutukana ila nyinyi mnatukana kisa mko tofauti ya kimawazo na wenzako.
Putin sio Riek Machar. Anaweza kwenda hata Amsterdam na hakuna yeyote atakae jitia ukichaa amkamateKuna Taarifa Mwamba PUTUN kutembelea Uturuk
Sasa Tuone nini watafanya
Ndo nafasi aliyokuwa nayo Putin kule East German?Counter Espionage
Hivi Russia au Putin atafaidika Nini Kwa kumdungua Biden?Kufanya hivyo si kuanzisha world war 3?Au Kwa lugha nyingine nuclear war!Utoto wake upo wapi hapo. Yaani kuna mtu anasema kwamba yale makombora yanayojaribiwa Urusi yatarushwa mpaka White House, na mimi nasema kwa nini wasubiri warushe washington wakati jamaa alikuja hadi Kyiv? Ukiona kitu hukielewi siyo kwamba LAZIMA kiko chini ya kiwango, inawezekana wewe ndiye uwezo wako wa kuelewa ndiyo uko chini ya kiwango.
Yaani nyie hamuwezi kujenga hoja mpaka mseme mambo ya hoja za kitoto, ushoga, ujinga, na mengineyo?? Jifunzeni kuwa watu wazima kwa kujibu hoja kwa hoja badala ya kutafuta sifa kwa kuita watu kwa sifa za ajabu ajabu!!
Lisu alikimbilia Belgium,Tumsikilize na Lissu juu ya Russia vs Ukraine
Kumbe west Kwa miaka 200 wamekuwa wakiivamia urusi,
Mrusi inabidi atoe kichapo kitakatifu
kujiunga na umoja wa kimaskini, sijui nani atamkopa mwenzie.BRICS
Mambo yanazidi Kuiva Sasa Maombi yameongezeka Kwa nchi Kutaka Kujiunga
Nchi zilizo wasilisha Maombi ni
Saudi Arabia, UAE, Egypt, Algeria, Argentina, Mexico and Nigeria.
View attachment 2570792
🇿🇦South African Foreign Minister:
Requests to join the BRICS group were submitted by Saudi Arabia, UAE, Egypt, Algeria, Argentina, Mexico and Nigeria.
Putin analia anasema tabia ya US ni mbaya sana, bila wao vita ingekuwa imeshakwisha kitambo saana. anasema "its US who are holding up this war"[emoji389]Ukraine has received a $1.25 billion grant from the US. The US has already sent $15.5 billion in grants since the start of the war, Ukraine’s Ministry of Finance reported.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yule dikiteta Hana akili kabisa, Ugomvi kaanzuisha mwenyewe,Tena baada ya kupewa maonyo kibao kutoka Kwa viongozi wa dunia,ni ajabu Leo hii analialia eti!!Putin analia anasema tabia ya US ni mbaya sana, bila wao vita ingekuwa imeshakwisha kitambo saana.
Huo ni umoja wa kukopeshana aka VIKOBAkujiunga na umoja wa kimaskini, sijui nani atamkopa mwenzie.