kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ndo umejua leo? Mwamba alikuwa counter intelligence officer pale East Berlin. Kazi kubwa ni kuwatambua na kuwafichua majasusi wa nchi zingine waliokuwa wanaingia pale kwa kazi chafu
Mtu wenu kumbe alikuwa ni miongoni mwa watu wasiojulikana!??
Hawa watu walikuwa watu wabaya sana. Ni watu "Wasiojulikana" kule Ujerumani Mashariki al maarufu kama "Stasi"
Muongozee huyo na ni mtaalam wa mashoat aka karateeNdo umejua leo? Mwamba alikuwa counter intelligence officer pale East Berlin. Kazi kubwa ni kuwatambua na kuwafichua majasusi wa nchi zingine waliokuwa wanaingia pale kwa kazi chafu
Stasi??Ndo umejua leo? Mwamba alikuwa counter intelligence officer pale East Berlin. Kazi kubwa ni kuwatambua na kuwafichua majasusi wa nchi zingine waliokuwa wanaingia pale kwa kazi chafu
Lile kombora la hypersonic la Kinzhal lililopiga na kuua wanajeshi wa NATO waliokuwa 80m chini ya ardhi limemfanya Comedian Zelensky awe mpole sana siku hizi.
Sasa hivi humuoni tena na zile mbwembwe zake za kujirekodi na kurusha vi video clip kila baada ya siku moja.
Baada ya lile kombora amekumbuka lile ombi la PM wa Israel kwa Putin kwamba asimuue Zelensky. Maana Putin kama angeamua kumuangamiza angemuua siku nyingi sana.
Adabu imeanza kumrejea.
Mtu wenu kumbe alikuwa ni miongoni mwa watu wasiojulikana!??
Hawa watu walikuwa watu wabaya sana. Ni watu "Wasiojulikana" kule Ujerumani Mashariki al maarufu kama "Stasi"
Hapa umesahau URAL na ZILNdo maana nikasema hakuna unachokijua kuhusu Urusi.nikisema ivyo unaona kama vile nakukosea.
Ukiwa na makampuni yako ya kutengeneza magari utakiwi kuzuia kampuni za nnje kuja kuwekeza kwako kisa na wewe unatengeneza magari.
Hayo uliyoyataja ni makampuni ya nnje yenye viwanda vyao Urusi vya kutengeneza magari, na si kampuni za Urusi za kutengeneza magari.
Urusi ana kampuni zake zinazotengeneza magari ambazo ni kama
(1) GAZ
(2)KAMAZ
(3)UAZ
(4)AZLK
(5)AvtoVAZ
(6)LADA
(7)AURUS MOTORS
Na zipo zingine ndogo ndogo.
Kampuni kama GAZ na AZLK zimeanzishwa kabla ya hata kampuni ya Toyota aijulikani kama itakuja kutokea.toka mwaka 1918 AZLK imeanza kutengeneza magari na kampuni ya GAZ toka mwaka 1930 imeanza kutengeneza magari.sasa kama ni leseni ilibidi Toyota na Nissan waombe wao leseni maana wamewakuta jamaa wanatengeneza magari hapo toka kitambo.
Ndo maana nakwambia vitu vingi uvijui kuhusu Urusi
Kwamba Hilo ulikuwa haulijui ndio Sasa?? Jaribu kuficha ujinga kidogo hata kama ndio mahaba Yani Leo ndio ujue kuwa Putin alikuwa mtu wa system kweli!!! Leo ndio ujue na uweze kujadili vitu vizito wakati hiki Cha waaazi kabisa kimekushangaza Leo..??
Mtu wenu kumbe alikuwa ni miongoni mwa watu wasiojulikana!??
Hawa watu walikuwa watu wabaya sana. Ni watu "Wasiojulikana" kule Ujerumani Mashariki al maarufu kama "Stasi"
Ni vyema kuwapa Elim na wakatae wenyewe, kuliko kuwatelekeza kabisa.Afu humu ndani wengi ambao wapo upande wa Upinde ni watoto sana wanafikiri US ndo kila kitu hawana historia ya Russia. Yule Dogo T14 armata amemaliza chuo 2021. So hapo age yake ipo below 25 ndo walewale kizazi cha America. Kubishana na hawa watoto ni kupoteza muda tu, mtaishia kubishana tu.
Wewe jamaa sijui una umri gani??mbona unaongea vitu cheap sana na common..yaani kweli kuna mtu hajui historia ya Putin, na KGB background yake-East Germany, na kuwa mkuu wa FSB -1998...etc
Mtu wenu kumbe alikuwa ni miongoni mwa watu wasiojulikana!??
Hawa watu walikuwa watu wabaya sana. Ni watu "Wasiojulikana" kule Ujerumani Mashariki al maarufu kama "Stasi"
Kumbe Bakhmut ilikuwa mbaya kiasi hicho?Ukrainian army ‘almost destroyed’ – Wagner chief
The head of the Wagner Group private military company (PMC) Evgeny Prigozhin has described Ukraine’s losses in the battle for the city of Artryomovsk as almost fatal to Kiev’s entire military. The sacrifices made by his force for the sake of Russia were worth it, he added.
“As of today, the battle for Bakhmut has almost destroyed the Ukrainian army,” Prigozhin said in a statement on Wednesday, using the name by which Kiev calls the city. The clash also “gave a serious beating to PMC Wagner,” he acknowledged.
He called the battle the “general engagement” of the entire conflict and said that in it Wagner troops got pitted against Ukrainian armed forces and “foreign units installed into them.” A victory by his troops would be “a turning point” and a historic event, securing a Russian victory, Prigozhin predicted.
“The Russian army alone will be left on the chessboard, and all other pieces will be removed,” he forecast. “Even if PMC Wagner is destroyed in the Bakhmut meat grinder but takes the Ukrainian army with it … it would mean that we have accomplished our historic mission.”