Uraaaa!.... 🇷🇺🇷🇺🇷🇺Kazi imeisha huko burkimut tayari Iko Chini ya wanamziki
View attachment 2574601
❗️"Legally we took Bakhmut" - Evgeny Prigozhin confirmed that PMC "Wagner" occupied the administrative buildings of Artemovsk
The head of the Wagner PMC confirmed that the orchestra had occupied the administrative buildings of Bakhmut. The Russian flag and the banner of Wagner were erected on the roofs of the houses. Nevertheless, the forces of the Armed Forces of Ukraine remain in the western outskirts.
“Vladlen Tatarsky has a good memory,” such an inscription appeared on the Russian flag, which Yevgeny Viktorovich is holding in his hands.
Hatufurahii vita tunafurahia kukombolewa kwa dunia 😂Yaani mnafurahia vita
maelezo mengi ila kichapo cha mbwa koko kiko palepale ni suala la muda tu.He madude ya watu wa magharibi tena!!
Kwa hiyo tumekubaliana Russia anapigana na watu wa magharibi ila Ukraine chambo tu si ndio??
Ndio mkuu,na nyie si hua mnafurahia ushoga?Yaani mnafurahia vita
Hiyo tabia ipo dunia nzima mkuu, hivyo zikijitokeza jamii zinapinga hiyo kitu inayoharibu utu wa jamii husika basi msiwazuie..maana ni jambo linalohusu desturi ya jamii fulani kujilindia heshima yao..hata ukikutwa nawewe unamlima bakora mwanao anataka kufukuliwa mtaro ni haki yako unaiweka heshima mahali pake...
Cha msingi haki ya wanaume ilindwe kwa kujali haki za kiume, na haki za wanawake zilindwe kwa misingi ya uanawake, sio mtu unaiba haki za jinsia tofauti kwa kisingizio cha uhuru wa mtu binafsi..hiyo sio haki ni unyang'anyi wa haki kwa mhusika...au hamuoni kuna pointi hapo wakuu..
Kuchagua jinsia tofauti na yako ni wizi kama wezi wengine.
Hivi ni kwanini NATO na US waligomea kuweka No Fly Zone Ukraine?NATO is weak as f**View attachment 2574549
Hatari na nusu.Bakmut Hoyeee
We ol knows uti wa mgongo wa uchumi wa taifa lolote lile duniani ni Nishati. Any way hawa team flan huwa wana namna yao ya kufikiri ase.Japan imekuzwa kiuchumi na US?
Huwa huoni aibu, unapoongea Pumba?
Kwanini aivamie Brazil?
Nyeto imemuharibu huyo mchabuzi feki,hana alijualo inabidi wataalam wa IT kutoka pro Russia wa hacking Id yake wa change hilo jina wamuiite Abraham au leopard 2So NATO walivyoenda Iraq walikuwa wamevamiwa?
NATO Libya walikuwa wamevamiwa?
NATO Yugoslavia walikuwa wamevamiwa?
Mbona unakua muongo muongo?
Unafaidika nini ukiongea uongo?
Hiyo ndio maana ya super power[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]
Hata EU wabweke.......hawawezi tutisha
Russian envoy to Belarus says weapons will be moved to ally’s territory despite ‘noise in Europe and the United States’.
Kuna tofauti kati ya kudhibitiwa na kuadhibiwa. Elon aliadhibiwa na siyo kudhibitiwa!Mh kwa hiyo Elon Musk hawi controlled na satanic government ya Marekani?
Kwa nini walitaka kumnyang'anya kampuni yake baada ya kuvuta bange hadharani?
Wazee wa double standard
.Sawa nitakujulisha,endelea kufuatilia takwimu ninazowaletea hapa;!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app