kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mkuu tukiingia hapa tunakutana na watu mbalimbali, pamoja na wengine ambao ni wadogo moyoni (wengine pia kichwani). Katika maisha ya kawaida wanapaswa kuonyesha uso mzuri na kuheshimu uungwana fulani. Ila hapa wako huru. Unawaona uchi kiroho.Lakni kukoment bila ya kumtukana mtu kwanini mnashindwa ndugu wakati mtu huyo hajakutukana?
Je watazihitaji kweli? Maana Warusi wanaogopa kuingia katika hewa juu ya Ukraine, wanarusha roketi zao kutoka mbali tu ambako MIG-29 haitakwenda.[emoji298][emoji1255] Poland completed the transfer of the first MiG-29 fighters to Ukraine.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Safi sana.So NATO walivyoenda Iraq walikuwa wamevamiwa?
NATO Libya walikuwa wamevamiwa?
NATO Yugoslavia walikuwa wamevamiwa?
Mbona unakua muongo muongo?
Unafaidika nini ukiongea uongo?
Nakunukuu bila kuongeza neno.Bakhmut imeondoka.
NATO Military planners wameuliwa na Kinzhal ilipopiga kwenye maandaki yao.
Counter-Offensive imebakia kwenye makaratasi tu.
Mkuu si NATO iliyoamua No Fly Zone, ilikuwa azimio la Umoja wa Mataifa kwa sababu Gaddhafi alichinja raia wa Libya. Wala Urusi wala China walipinga azimio hili.Hivi Libya alikuwa mwana NATO? Mbona waliweka "a no fly zone"?
Wito wa kuheshimiana humu kwa kutotumia lugha chafu ulishaitwa ila wapo ambao wameamua kupuuza.Lakni kukoment bila ya kumtukana mtu kwanini mnashindwa ndugu wakati mtu huyo hajakutukana?
Mkuu kuhusu anga la Ukraine ni serikali ya Ukraine inayoweza kutangaza hatua ya aina hii. Kama NATO ingeamua kusaidia serikali ya Ukraine kutekeleza maagizo yake, ingekuwa hatua halali kabisa.ndugu Ukraine si member wa NATO, sasa NATO itaanzaje kuweka no fly zone kwa nchi ambayo si Mwanachaa wake?
Ha ha haa.Tangu wale panya wa NATO wapigwe na kitu kizito cha mrusi kwenye shimo la 80m hali pale Ukraine imekuwa tete sana kwao. Jeshi la Ukraine limegeuka kuwa mgambo wagner group wanajipigia tu wanavyotaka, Zelenskiy kapoteza matumaini, USA&NATO wapo kuomboleza vifo vya watu wao huku wakiwa wamepoteza matumaini
Tujikumbushe kidogo tangu kuanza kwa hii operation Ukraine na washirika wake wamepoteza haya maeneo ambapo kwa upande mwingine ni mafanikio ya Urusi katika SMO yake;
●Kharison
●luhansiky
●Mariupol
●Donetsik
●Zaporizhzhia
●now Bakhmut
Zelenskiy akiendelea kukaza fuvu kwa kuwasikiliza hao bwana wake, na Odessa&Kharkov wanaume wataziongeza kwenye list na kufunga hesabu kabisa huku Ukraine ikibaki kama taifa butu.
Kijeshi tunasema "RUSSIA INAPIGA KWENYE MSHONO"
Mimi nikiwa kama pro-Russia nimewawakilisha pro-Russia wenzangu kutaja mafanikio ya upande wetu (Kwa ufupi) tangu kuanza kwa hii SMO yetu, hivyo basi kwa heshima na tahadhima namkaribisha Pro-NATO&West yeyote atakae wawakilisha wenzake katika kutaja mafanikio ya upande wao tangu kuanza kwa hii SMO.
KARIBUNI PRO-NATO&WEST.
HII IMEM COST MRUSI...
Wakati wenzake wanaanzisha umoja baada ya vita vikuu ya pili vya dunia mwaka 1945 yeye akajifungia ndani kutengeneza technologia zake kwa lugha yake.
Wenzake wakati lugha zao wanahakikisha zinasambaa Africa na ulimwenguni kote yeye akajifungia ndani kufanya mambo yake kwa siri.
Sasa haya yote yanam cost...leo hii unaanza kusaka marafiki wapi na wapi ndugu? lugha yako yenyewe hakuna hata mwafrica anaingea huo urafiki unafanyikaje? baki na Belaruz - Mchina, Mkorea na Muhindi si wa kutegemea hata kidogo
Russian President Vladimir Putin and Belarusian leader Alexander Lukashenko are close allies [File: Vladimir Astapkovich/Sputnik/Kremlin via Reuters]