MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
We Mzungu pori unabadili historia kwa faida ya nani?Mkuu unapenda kufundisha lakini hujielimishi.
Wachechen wanakumbuka wafalme wao tangu miaka 700 na zaidi (hali halisi kwa muda mrefu kuliko kumbukumbu ya Urusi na utemi wa Moscow!). Tafuta habari za wafalme wa Chechnya walioitwa Khour, Khasi, Chakh na kadhalika, walikuwa wengi tu. Wakoloni Warusi walivamia eneo lao kuanzia karne ya 18 lakini Wachechen walijitetea chini ya viongozi kama Mansur Ushurma na Imam Shamil aliyeshindwa mnamo 1859 pekee.
Tuva kuomba kujiunga na Urusi? Kichekesho hicho. Tuva na pia Mongolia zilikuwa nchi ambako jeshi la Urusi ya Kikomunisti iliwahi kupeleka wakala zake waliotawala chini ya usimamizi wa Warusi (kama Sultani wa Zanzibar chini ya Waingereza - kisheria Zanzibar ilikuwa nchi "huru" iliyokubali mwongozo wa "washauri" Waingereza).
Katika miaka ile tangu 1928 hadi 1953 hakuna kiongozi aliyeweza kufanya chochote bila amri na idhini wa dikteta Stalin. Pamoja na hayo, wakala wa Urusi alikuwa kiongozi wa wakomunisti Salchak Toka; aliwahi kulazimisha watu wake kuficha imani yao katik dini ya Ubuddha akafunga mahekalu na monasteri za watawa. Alijisikia salama zaidi kama nchi yake iliingia ndani ya Urusi....
Sababu za viongozi wa Mongolia (waliopewa nafasi zao pia na jeshi la Urusi) zilikuwa vilevile ila Stalin hakutaka ugomvi na China (maana Mongolia iliwahi kuwa sehemu ya China hadi 1911 - iliweza kujitenga tu baada ya kuingilia kwa Urusi). Hivyo Stalin hakupokea Mongolia wakati ule.
Na walisema urusi amefanikiwa kuwazui Finland kutojiunga nato.Hakuna General hata mmoja wa NATO kauwawa na Urusi, Urusi ni kubwa jinga haina uwezo huo. Na wala NATO haiwezi weka command yake nchini Ukraine wakati sio mwanachama. Kwanza NATO sio washamba kama nyinyi mnapigana vita kienyeji na sasa mnajiliza mwaka umeisha.
Huo uongo kaambizane kijiweni kwenu. Unaweza taja hata jina moja la General wa NATO aliyeuawa pale Ukraine? Achana na watu 400 uliodai, taja mmoja tu. Na ukitaka kujua ulivyo na uongo wa kitoto, command ya watu 400 inafanya nini, watu 400 wanacommand solar system nzima ama namna gani.
Na Marekani haina mpango wa kupigana na Russia, kwa lipi hasa ililonalo? Kama unataka vita yao si uwaambie Russia ndio waanze. Shamba la gesi na mafuta hilo halimtishi hata South Korea kiuchumi, kijeshi ndio hilo mwaka sasa limeshindwa Ukraine. Na kwa taarifa yako kesho Finland inajiunga NATO sasa jinyongeni kama inakuuma.
Chechens si ni Warusi. Mapigano ya Warusi wenyewe kwa wenyewe ila lawama kwa Marekani? Marekani ina nguvu kumbe hadi ndani ya Urusi inasababisha vita sasa si muipige maana sababu tiyari ipo.
Hawa si ndio walipigwa hawa na kuchukuliwa asilimia 10 ya eneo lao.Basi nitajie nchi gani jirani ya Russia iliyo mwanachama wa NATO imevamiwa. Nakutajia Georgia na Ukraine ambazo ni majirani wa Russia tena wanachama wa zamani wa Soviet block waliovamiwa na Russia.
Finland anatamani awe upande salama na ndiyo anajiunga kesho. Urusi kama inataka itumie nuclear itumie tuone kama itabaki. Vitisho vya nukes ndio vinafanya Finland yenye nguvu in conventional warfare iongeze guarantee ya ulinzi kwa kujiunga kwa wenye nukes. Otherwise, Finland single handedly inaimudu Urusi ukitoa nyuklia
Hizo ndio hoja zenu za kutusi watu.Siku zote mtu akishakuwa shoga na akili zinatoka na marinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuwaangalie tu alafu tuseme hi!
Syrskyi referenced the possibility of a future counter-offensive, saying that βthe forward movement of our entire army depends on what every soldier is doing right now on their section of the front.ββThe enemy is weakening and trying to cover up its failures with new fakes about the capture of Bakhmut," Syrskyi said.
Kombora moja aina ya SAM3 (au 4?) ya Ukrane ililengwa kwa roketi ya Kirusi ikaanguka upande wa Poland karibu na mpaka . . .Poland ilipigwa kombora na nani?
Gen. Sergei Vladimirovich Surovikin-The hero of the great Russian federation[emoji635]Prigozhin on Surovikin's role in the battle for Artemovsk: "The decision to conduct the Bakhmut operation, the so-called "Bakhmut meat grinder", was made by the commanders of the PMC "Wagner". Sergei Surovikin was directly involved in its design and implementation
Sasa unasema kombora la Ukraine likaanguka upande wa Poland. Then hapa ulitaka wafanyeje hao NATO β¬οΈKombora moja aina ya SAM3 (au 4?) ya Ukrane ililengwa kwa roketi ya Kirusi ikaanguka upande wa Poland karibu na mpaka . . .
Na lilivyo pigwa kombora poland hao watu wako wa vikoba walifanya nini zaidi ya kumsema zele asiwachonganishe
Niliwai kuishi hapo when I was baboonBakmut Hoyeee
Kinachokuuma ni nini Finland kujiunga na NATO au unawapangia, mbona unasema Russia hana tatizo na hilo. Wamejadili bungeni wakapitisha sasa unasemaje wamepangiwa na Marekani. Au unadhani wao ni level za kujengewa vyoo kama third world countries.Umetumia vigezo gani kusema Finland anaimudu Urusi kivita bila nukes?
Finland unasema Yuko salama akiwa member wa NATO!Lakini Urusi hana mpango na Finland kwasababu hawana mgogoro!Hoja hapa ikitokea escalation ya hii SMO let's say,Unadhani Russia atakubali majirani wawe ground ya NATO forces kumshambulia?Si ataanza na Nukes Kwa majirani kwanza?
Finland anajiunga NATO muda mbaya sana!Unadhani kwanini katika sheria za NATO,huwezi kupewa uanachama ukiwa vitani au ukiwa na migogoro inayoweza kupelekea vita?Kuna sababu ya msingi hapo!Kwanini Huo mchakato wa Finland asingefanyiwa Ukraine kama Zele alivyoomba na kukataliwa?
Russia hawezi vamia nchi ya NATO,ndivyo ambavyo NATO hawawezi kumvamia Russia au kuweka no fly zone huko Ukraine!
Lakini hapa nasema Incase of escalation,Unadhani Finland Yuko Salama zaidi?
Kwanini Finland na Sweden hawakujiunga NATO pale Urusi alipovamia Georgia na Crimea?Why now?They are being played by US!
Zele alisema kombora la Russia limepiga Poland au unajizima data ila Marekani na NATO wakakataa kata kata kua Russia hausiki kwa nini walikataa na je muungano wao wa vikoba upo kwa kujilinda na nani ?Poland ilipigwa kombora na nani?
Na wapoland wawili walikufa.Kombora moja aina ya SAM3 (au 4?) ya Ukrane ililengwa kwa roketi ya Kirusi ikaanguka upande wa Poland karibu na mpaka . . .
Mnapata shida ya nini.kwani nyie mpo bakhmut sehemu gani.hamna video ya kuonyesha mpo Bakhmut maana sioni sababu ya makelele.Bakhmut bado pagumu Sana kwa wavamizi...
As Wagner chief claims "legal" control of Bakhmut - what can we determine from night-time video?
Jack Taylor, Sky News forensic journalist
Earlier we reported that Russia's paramilitary Wagner Group has claimed to hold "legal" control over the city of Bakhmut.
The claims were made in videos posted by Yevgeny Prigozhin, the group's leader, one of which shows soldiers raising Russian flags on the ruins of a building.
Ukraine has reacted by dismissing the claims and a spokesperson for the military said that Wagner fighters had "raised the flag over some kind of toilet".
Sky News has verified that part of the video was filmed by the Bakhmut City Council building. Distinctive markings on the building seen can be matched to other verified videos filmed by soldiers in the area.
Other surrounding buildings, rubble and trees can be matched to existing verified videos and satellite imagery.
This is a screenshot from part of the video that shows fighters raising flags on rubble that is claimed to be the ruins of the city council building.
This video, posted today and filmed in the day time, shows what is left of the building and the flags themselves.
This location is currently on the assessed frontline in Bakhmut, according to data from the Institute for the Study of War.
Ukrainian forces still control a large portion of the embattled city and fighting has continued for months.
This isn't the first time that the Wagner Group has claimed successes in Bakhmut.
On 3 March, Yevgeny Prigozhin claimed that they had "practically encircled" the city and has continually made similar claims.
Copy link
[emoji23][emoji23][emoji23] Wanaleta insha kibaoMnapata shida ya nini.kwani nyie mpo bakhmut sehemu gani.hamna video ya kuonyesha mpo Bakhmut maana sioni sababu ya makelele.
Pigeni picha mkiwa kwenye jengo la mji ili muonyeshe umma kuwa bakhmut bado mpo nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€π€π€π€Kaka umeandikaaaa[emoji119][emoji119][emoji119]
Leo Huko Ujerumani Migahawa Inatoa Risiti Mwishoni Kukiwa na Ujumbe Unaosema
Ushirikiano Na Urusi upo Imara
Wamarekani Nendeni Mkafagie milango ya nyumbazenu Kisha Muondoke Mrudi Kwenu
NATO IONDOKE
The message at the bottom of the receipt from the German restaurant: "The bond with Russia is strong! Americans, go sweep your doorstep, take your country back and leave! NATO GONE!"
View attachment 2575571
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] awamini macho yao.awamini kuwa Bakhmut imekwenda[emoji23][emoji23][emoji23] Wanaleta insha kibao
Aisee,umejibu kitoto sana tofauti na nilivyotegemea!Uwe na usiku mwema!Kinachokuuma ni nini Finland kujiunga na NATO au unawapangia, mbona unasema Russia hana tatizo na hilo. Wamejadili bungeni wakapitisha sasa unasemaje wamepangiwa na Marekani. Au unadhani wao ni level za kujengewa vyoo kama third world countries.
Kwanini unawapangia Finland wangejiunga NATO pale Russia ilivyovamia Georgia? Kwani katiba yao inasema mwisho wa kujiunga NATO ni 2008 Georgia ilivyovamiwa?
Niliwahi kuona vinapogwa kiberiti huko kaskazini mwa Syria wakati Uturuki ilivo ivamia kaskazini mwa Syria walitumia Vifaru a Ujerumani viliteketezwa vilivyo nusurifa vikakimbizwa kirudishwa Uturuki kama ni type hiyo hiyo ndivyo vinapelekwa huko Ukraine basi vitapata wakati mgumu sana havitaweza ku-survive kwenye frontline hata vikiwa na DU vita teketezwa na suicide drones na latest Russian Kornet ATGM.Wakuu naomba kuuliza
Vile vifaru vya Challengers na Leopards mbona havionekani wala kusikika kwenye uwanja wa vita..?
Wakati mwingine lugha zako za ajabu sana - wewe mtu mzima unaweza kumwambia kwamba "kwani kinacho kuuma ni nini??" hizo ni lugha za mitaani si za kistaarabu hata kidogo!!Kinachokuuma ni nini Finland kujiunga na NATO au unawapangia, mbona unasema Russia hana tatizo na hilo. Wamejadili bungeni wakapitisha sasa unasemaje wamepangiwa na Marekani. Au unadhani wao ni level za kujengewa vyoo kama third world countries.
Kwanini unawapangia Finland wangejiunga NATO pale Russia ilivyovamia Georgia? Kwani katiba yao inasema mwisho wa kujiunga NATO ni 2008 Georgia ilivyovamiwa?