Mkuu hii ni kweli kabisa. Kama umeshaelewa hiyo, je umejiuliza pia kwa nini hadi leo watu wengi wanapendelea kufanya biashara na mikataba kwa US$?Ngoja nikueleweshe kwenye ili.
3. Nchi zinalazimika ku invests kwenye USD assets ili ziweze ku trade pindi zinapofanya international trades. Otherwise, hakuna haja ya ku hold USD denominated investments
Wamepromoti demokras gani Libya, iraq Afghanistan nk nk?? Kama sio kuwaacha kwenye matatizo zaidiNATO promotes democratic values and encourages consultation and cooperation on defense and security issues to build trust and, in the long run, prevent conflict. NATO is committed to the peaceful resolution of disputes.
No any NATO member has seen a military conflict with another member. Meanwhile, former Soviet block members have seen various wars and invasions.
Umri wastani wa wanaume Urusi : Miaka 67 (wanawake si walevi vile wanafikia wastani miaka 76, hivyo takriban miaka 70 kwa jumla)Weka statistics Acha kuropoka
Wewe tatizo lako ni nini hasa!! Kufa kwa Majenerali hasa wa Merikani maana naona hao ndio unawajali zaidi kuliko majenerali wa kutoka UK,Ukraine na Poland, au unasikitishwa sana na a very high kinetic war head ya Kinzhal missile in destroying fortified underground bunker na ku-vapourise a cream ya majenerila kutoka NATO nations walio kuwa wanasimamia na kutoa ushauri kwa Zelensky na jeshi lake kwa kuwapatia intel info za movement za jeshi la Urusi zinazo naswa na kuchukuliwa picha na satellite za Kimerikani, baadae jeshi la Ukraine linapewa cordinates ili walenga shabaha za kushamubulia mizinga na wanajeshi wa UrusiMkuu samahani hujui habari za handaki hiyo. Maana hakuna handaki ya majenerali wa NATO iliyopigwa. Unaamini stori tu.
Mkuu sijali majenerali kwa jumla kama ni Poland MArekani Urusi.... Ila hadithi hiyo tumejadili tafadhali lete hoja badala ya mahubiri:Wewe tatizo lako ni nini hasa!! Kufa kwa Majenerali hasa wa Merikani maana naona hao ndio unawajali zaidi kuliko majenerali wa kutoka UK,Ukraine na Poland, au unasikitishwa sana na a very high kinetic war head ya Kinzhal missile in destroying fortified underground bunker na ku-vapourise a cream ya majenerila kutoka NATO nations walio kuwa wanasimamia na kutoa ushauri kwa Zelensky na jeshi lake kwa kuwapatia intel info za movement za jeshi la Urusi zinazo naswa na kuchukuliwa picha na satellite za Kimerikani, baadae jeshi la Ukraine linapewa cordinates ili walenga shabaha za kushamubulia mizinga na wanajeshi wa Urusi
Narudia kusema kwa mara nyingine tena kwamba unaonekana suala zima umelivalia njuga kweli kweli - unafikiri it can't be real, it cant be!!, after all unafikiri majenerali hasa hasa wa Kimerikani ni unexpendable hata kama wametumwa na wakubwa zao kusimamia a very risky mission critical operations nchini Ukraine - vyombo vya kinteligensia vya Putin got a wind of what was going on kwenye kile Wamerika/NATO na Ukraine walifikiri ni impregnable bunker ndio maana Warusi wakaona hisiwe taabu na wao wakawajia na kitu kizito namely a very heavy war head travelling at MACH 10+ capable of destroying fortified targets like underground bunkers au kwenye tunnels zilizo chimbwa hata chini ya milima, nimejirudia hapa kwa lengo maalumu - nataka kuwakumbusheni kwamba Taifa la Urusi si la kubezwa hata kidogo wale wote wanao fikiri wanaweza kuizingira Urusi kwenye mipaka yake ma ku-spring up a surprise attack towars her wanajidanganya.
Kama china akifikia uamuzi huo dollar itakuwa na wakati mgumu sana, Hii vita marekani akiendelea kushupaza shingo mbeleni huko kuna majanga.Sawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,
Hivi umeshajiuliza siku mchina akisema kuanzia sasa mtu yeyote akitaka kufanya biashara na China watumie yuan au pesa ya nchi husika ni nini kitatokea kwenye Dollar????
Halafu angalia ni nchi ngapi zimehifadhi dollar Kwa ajili ya kununua bidhaa uchina,
Ni swala la muda tu dollar itakuja kupoteza sokoni na ndiyo sababu ya SMO kufanyika taratibu ili kuchelewesha muda
Petrol inaenda kuipiga chini dollar
Mkuu hii ni kweli kabisa. Kama umeshaelewa hiyo, je umejiuliza pia kwa nini hadi leo watu wengi wanapendelea kufanya biashara na mikataba kwa US$?
Labda kwa sababu katika miaka hii yote sarafu hiyo ilikuwa thabiti zaidi?
Imeanza kushuka na itaendelea polepole kushuka lakini hadi sasa watu huiona kama sarafu imara zaidi.
Mkuu China haitaki USD ishuke haraka. Maana imejenga akiba kubwa ya USD (pesa, hisa, madeni ya serikali za US) na USD kama ingeporomoka ingekuwa hasara kubwa kwa China. Pia nguvu ya uchumi wa China inategemea hali ya sarafu yake. USD ikishuka, bidhaa za China zitakuwa ghali zaidi.Sawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,
Hivi umeshajiuliza siku mchina akisema kuanzia sasa mtu yeyote akitaka kufanya biashara na China watumie yuan au pesa ya nchi husika ni nini kitatokea kwenye Dollar????
Halafu angalia ni nchi ngapi zimehifadhi dollar Kwa ajili ya kununua bidhaa uchina,
Ni swala la muda tu dollar itakuja kupoteza sokoni na ndiyo sababu ya SMO kufanyika taratibu ili kuchelewesha muda
Petrol inaenda kuipiga chini dollar
Naomba source ya hii habari yakoMkuu China haitaki USD ishuke haraka. Maana imejenga akiba kubwa ya USD (pesa, hisa, madeni ya serikali za US) na USD kama ingeporomoka ingekuwa hasara kubwa kwa China. Pia nguvu ya uchumi wa China inategemea hali ya sarafu yake. USD ikishuka, bidhaa za China zitakuwa ghali zaidi.
China inatunza akiba kubwa kabisa ya USD duniani (nje ya Marekani) inataka kutunza thamani yake.
Mabadiliko yote lazima yatokee polepole sana.
Sisi tunazungumzia wanachama wa NATO, hiyo statement haijata mtu wa nje. Na kinyume cha NATO kuna kikoba cha watu masikini kilikuwa kinaitwa Soviet Union kilipigania North Korea, kikapigana Afghanistan kikashindwa na Mujahedeen, baadae maisha yakawa magumu kikavujika na sasa kikapigana chenyewe. Who is the boss between the two?Wamepromoti demokras gani Libya, iraq Afghanistan nk nk?? Kama sio kuwaacha kwenye matatizo zaidi
Karibu sana.Naomba source ya hii habari yako
Haya masupapawa uchwara tulishakubaliana yanatumia nguvu nyingi kuliko akili. Yenyewe yanadhania NATO ipo kwa ajili ya kile kijiji cha kuchuuza gesi na mafuta wakati NATO yenyewe on its own inasaidia kuondoa migogoro. Wanachama wa NATO wengi ni nchi kubwa kiuchumi, hasa wale wa mwanzo.Umedadavua vyema..,hata kutokuwepo migogoro miongoni mwa hayo mataifa ya NATO ni mafanikio tosha!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nchini kwako Hali ikoje...na mchango wako ni upi?Umri wastani wa wanaume Urusi : Miaka 67 (wanawake si walevi vile wanafikia wastani miaka 76, hivyo takriban miaka 70 kwa jumla)
Umoja wa Ulaya: wastani miaka 81
Marekani: miaka 77 wastani kitaifa (hapa lazima kuzingatia idadi kubwa ya maskini na ubaguzi wa rangi! - watu weusi wana wastani kama Warusi)
Viwanda vya Urusi vilitoa magari 450,000 kwenye mwaka 2022, vilitoa milioni 1.2 kwenye mwaka 2021.Topic: Automotive industry in Russia
Find the most up-to-date statistics about the automotive industry in Russiawww.statista.com
Kuhusu hali ya maendeleo nchini: Jielimishe kwa mfano kuhusu Inguchetia na Tuva. Zote maeneo maskini sana (na hali halisi maeneo yasiyo ya Warusi, ni koloni zilizovamiwa na urusi kwenye karne ya 19 na 20). Warusi wanawekeza katika mji kama Moscow na Peterburg - huko kwenye maeneo ya mbali wanapuuza hali ya watu.
View attachment 2577093
View attachment 2577097Russia’s decaying villages
Thousands of villages have a population of less than ten people, and many more lack adequate infrastructure.www.aljazeera.com
Lorino, Siberia, Urusi (sawa picha za majengo yalioharibika unaweza kupata hata kuhusu miji ya Marekani, ila hali ya vijiji ambako watu wanaishi ni jambo tofauti...)