professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,511
Hebu rudia ulicho andika kam kinaelewekaKwa mfano sheria inayokataza kuita vita "vita".
Mfano hukumu inayompeleka baba gerezani kwa sababu binti yake alichora shuleni bendera ya Ukraine kwenye picha.
Mfano uchaguzi bandia
Mfano sheria inayokataza kupinga vita
Vifo: sawa vitani wanakufa kila upande. Ila mmoja alianza. Vifo hivyo si lazima wala mapenzi ya Mungu.
PUMBA. Kwenye nchi aisisizo za NATO mnafataga nini?Sisi tunazungumzia wanachama wa NATO, hiyo statement haijata mtu wa nje. Na kinyume cha NATO kuna kikoba cha watu masikini kilikuwa kinaitwa Soviet Union kilipigania North Korea, kikapigana Afghanistan kikashindwa na Mujahedeen, baadae maisha yakawa magumu kikavujika na sasa kikapigana chenyewe. Who is the boss between the two?
Nchi inawahitaji wataalamu kama nyinyi kukosekana kwako tunashindwa kwenda mbele kabisaHalafu mabilionea India na Malaysia wanakuja USA kununua T-Bill and T-Bond kwa USA dollars?
Huwezi shindana na USA kwneye currency,’ ni porojo tu
Russia ina mabilionea wengi sana,wana invest sana kwenye real estate na faida kununua T-bill kwa hela ya kimarekani.
Anyway,haya ni mambo ya kitaalam acha niishie hapa
Kwani xi ataenda lini Ukraine au bado simu hazipokelewi[emoji298]️China’s Ambassador to the EU, Fu Cong, said that statements about "no limits to friendship" between China and Russia are "nothing but rhetoric", The New York Times reported.
He also said that China was not on Russia's side in the war and does not recognise Crimea as Russian, as well as other Ukrainian territories "included" into the Russian Federation.
[emoji328]: Courtesy of Chinese Mission to the EUView attachment 2577332
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukishatulia utanijibu.Kwani mimi ndiye niliyemtuma awe mpiga punyeto?
Hicho kitu akiwezi kutokeaSawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,
Hivi umeshajiuliza siku mchina akisema kuanzia sasa mtu yeyote akitaka kufanya biashara na China watumie yuan au pesa ya nchi husika ni nini kitatokea kwenye Dollar????
Halafu angalia ni nchi ngapi zimehifadhi dollar Kwa ajili ya kununua bidhaa uchina,
Ni swala la muda tu dollar itakuja kupoteza sokoni na ndiyo sababu ya SMO kufanyika taratibu ili kuchelewesha muda
Petrol inaenda kuipiga chini dollar
Sawa mkuu lakini musk anataka kuonana na Rais wa China baada ya kuanza kuhisi tatizo kwenye dollar,
Hivi umeshajiuliza siku mchina akisema kuanzia sasa mtu yeyote akitaka kufanya biashara na China watumie yuan au pesa ya nchi husika ni nini kitatokea kwenye Dollar????
Halafu angalia ni nchi ngapi zimehifadhi dollar Kwa ajili ya kununua bidhaa uchina,
Ni swala la muda tu dollar itakuja kupoteza sokoni na ndiyo sababu ya SMO kufanyika taratibu ili kuchelewesha muda
Petrol inaenda kuipiga chini dollar
Mkuu China haitaki USD ishuke haraka. Maana imejenga akiba kubwa ya USD (pesa, hisa, madeni ya serikali za US) na USD kama ingeporomoka ingekuwa hasara kubwa kwa China. Pia nguvu ya uchumi wa China inategemea hali ya sarafu yake. USD ikishuka, bidhaa za China zitakuwa ghali zaidi.
China inatunza akiba kubwa kabisa ya USD duniani (nje ya Marekani) inataka kutunza thamani yake.
Mabadiliko yote lazima yatokee polepole sana.
Acha propaganga zako za ajabu sana hivi hujawahi kuona decaying cities nchini Merikani - sehemu nyingine ni chafu na ovyo kuliko hata shanties za Kibera na baadhi ya vitongoji vya South Afrika - hayo wadanganye watu ambao hawajawahi kutembea nje ya Afrika, umewahi hata kulinganisha miundo mbinu ya hivi sasa huko Merikani na Uchina tofauti zake ni kubwa mno kama kulinganisha mbingu na Dunia, Wachina wako mbali sana kwenye masuala ya barabara,reli,mawasiliano na ujenzi wa makazi ya watu, afya - Sasa tembelea madaraja reli na barabara za huko Merikani huwezi amini ukilinganisha na za Uchina ambazo niza kisasa kabisa na mpangilio mzuriUmri wastani wa wanaume Urusi : Miaka 67 (wanawake si walevi vile wanafikia wastani miaka 76, hivyo takriban miaka 70 kwa jumla)
Umoja wa Ulaya: wastani miaka 81
Marekani: miaka 77 wastani kitaifa (hapa lazima kuzingatia idadi kubwa ya maskini na ubaguzi wa rangi! - watu weusi wana wastani kama Warusi)
Viwanda vya Urusi vilitoa magari 450,000 kwenye mwaka 2022, vilitoa milioni 1.2 kwenye mwaka 2021.Topic: Automotive industry in Russia
Find the most up-to-date statistics about the automotive industry in Russiawww.statista.com
Kuhusu hali ya maendeleo nchini: Jielimishe kwa mfano kuhusu Inguchetia na Tuva. Zote maeneo maskini sana (na hali halisi maeneo yasiyo ya Warusi, ni koloni zilizovamiwa na urusi kwenye karne ya 19 na 20). Warusi wanawekeza katika mji kama Moscow na Peterburg - huko kwenye maeneo ya mbali wanapuuza hali ya watu.
View attachment 2577093
View attachment 2577097Russia’s decaying villages
Thousands of villages have a population of less than ten people, and many more lack adequate infrastructure.www.aljazeera.com
Lorino, Siberia, Urusi (sawa picha za majengo yalioharibika unaweza kupata hata kuhusu miji ya Marekani, ila hali ya vijiji ambako watu wanaishi ni jambo tofauti...)
Okay, ngoja tubadirishane mawazo kwanza - la kwanza: Jeshi la Ukraine limepewa amri kwamba wasionyeshe au kukubali matukio ambayo Urusi wamefanikiwa kuharibu/destroy some hyped critical military assents from the west - ili warusi wasijue silaha zao zimefanikiwa vipi kiharibu silaha walizo pewa na nchi za magharibi,, wamepigwa marufuku hata ku-record video clips na kupiga picha kuhusu mafanikio ya silaha za Urusi kiziharibu/teketeza silaha za magharibi chini Ukraine, huwezi kumsilia Zelensky akisema silaha wanazopewa na US/Zinatiwa kiberiti na jeshi la Urusi badala yake utamsikia Zelensky mara zote akiomba msaada wa silaha zaidi hasemi alizopewa kila siku zinaishia/kwenda wapi??Mkuu sijali majenerali kwa jumla kama ni Poland MArekani Urusi.... Ila hadithi hiyo tumejadili tafadhali lete hoja badala ya mahubiri:
1) mantiki gani kuficha majenerali wa NATO Lviv kwenye handaki kama wangeweza kufanya kila kazi waziwazi kiomita 20 kutoka Lvin nchini Poland ???
2) mantiki gani ukiamini taarifa kuwa "Warusi wamekuta maiti 40 za WaNATO baada ya pigo" kama mahali pa tukio paliripotiwa ni Lviv (baadaye walihamisha kwenda Kyiv) - yote miji pasipo Warusi!!!
3.) Mantiki gani jeshi la Urusi lina mafanikio makubwa lakini hapa hakuna neno rasmi kutoka siasa au jeshi la Urusi???? Taarifa zote ni mablogu ya propaganda tu bila uthibitisho wa jeshi la kirusi??
Swali la uwezo wa Kizhal kufikia kina hili tuache sasa, 1-3 itoshe.
Karibu sana!
Acha magreen yako - Uchina haiwezi kusema mambo kama hayo dhidi ya Urusi hata siku moja - hizo ni fake news,, hata mtu ambaye hajawahi kwenda shule akipitia habari hizi atajua ni za kuchonga tu.[emoji298]️China’s Ambassador to the EU, Fu Cong, said that statements about "no limits to friendship" between China and Russia are "nothing but rhetoric", The New York Times reported.
He also said that China was not on Russia's side in the war and does not recognise Crimea as Russian, as well as other Ukrainian territories "included" into the Russian Federation.
[emoji328]: Courtesy of Chinese Mission to the EUView attachment 2577332
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ana mchango gani zaidi ya MajunguNchini kwako Hali ikoje...na mchango wako ni upi?
Mkuu naona hata kama si rahisi kupokea habari kutoka kwa "You know nothing", labda itakusaidia kujua kwambaChina ya Buza labda unaongelea asee. You know nothing.
View attachment 2577430