Mbona sehemu za ku invest zipo nyingi tu:
Hong Kong
Japan
Taiwan
Russia
Indonesia
Malaysia
Dubai
Etc.
Wapumbavu hawa.hawana jeshi la kupambana na Mrusi wataendelea kupigwa kama ngomaAiseee...
Wanamgambo wa Ukraine wanakimbia kusalimisha roho zao...
Wapumbavu hawa.hawana jeshi la kupambana na Mrusi wataendelea kupigwa kama ngoma
Huyo tulisema toka mwanzo hatumgusi hata aje Moscow bila mwaliko haguswi huyo.The Russian Federation failed to physically eliminate President of #Ukraine Volodymyr Zelensky so now the aggressor state will try to eliminate him politically.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi ni mkubwa ndo maana kachukua ardhi Ukraine kwa miaka 2.Wataendelea kupigwa Kama ngoma kivipi wkt vita inaenda mwaka wa pili?
Russia fake superiority has been exposed big times,hamna kitu mule
Na hili liemekuwa pigo kubwa sana kwa US. F.R Kennedy Junior kawachana ukweliDunia inahitaji mataifa patanishi kama China na Urusi nasiyo mataifa chonganishi kama USA na vibaraka wake.
Hongera sana Saudi Arabia kwa kuamua kujitenga na yule muovu, mwenyezi Mungu awe nanyi katika maisha yenu mapya ya amani.
Manazi mamboleo.Kiboko ya Manazi [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2580482
Atakuwa ametoboka Kama Tenga.Na hili liemekuwa pigo kubwa sana kwa US. F.R Kennedy Junior kawachana ukweliView attachment 2580481 yaani mpaka hii vita inaisha na US atakuwa hoi
Eeh wapewe silaha waende front
Endeleeni kutetea Ukraine ili uwe mwisho wa Mankind. Urusi Forever supporter.Hawa washenzi ndio maana wanapigana na Urusi yaani Urusi alishindwa,tumeisha.πΈπ°πΈπ°πΈπ°πΈπ°πΈπ°ππ
View attachment 2579647
Nilishawaambia wale supporter wa machoko Ukraine na NATO kuwa Russia anapigana kushinda. Haijalishi itachukua karne ngapi ila Malengo lazima yafikiwe. Taratibu mtaanza kumuelewa anachokifanya."Russia doesn't work for a calendar, but for a result"
Wale LGBTQ mliokuwa mnataka Russia aimalize hii SMO ndani ya muda mchache, mkae kwa kutulia.View attachment 2579904