Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanaota! Kwanza wangetafuta air defense inayoweza kudhibiti hypersonic missile
Mkuu twende kwenye uhalisia,unafikiri counteroffensive ya augost 2022 russia hakuwa na hypersonic missiles.usa alishindwa vietnum licha ya kuwa mpaka na nukes.mkuu vita siyo rahisi kiuhalisia ila ni rahisi kihisi(hususani kwenye mitandao watu wanaishi fantasy world)
 
The second strongest army in the world View attachment 2580528
Ndio maana panaitwa meat grinders. Hapo bakhumut palishakombolewa kitambo ila anachofanya ukraine ni mbinu ya kivita pia, ila ina madhara makubwa sana kwa upande wa ukraine.

Kivip? Ukraine anawekeza nguvu kubwa hapo bakhumut kwa lengo la kumchosha urusi, pia kumzuia urusi isiendelee kusonga mbele na kushikilia maeneo mengi zaidi.

Pia sababu nyinigine ni ya kisiasa pamoja na kipropanganda.
Na ndio maana ma specialist wa vita na wachambuzi walishasema bakhumut ilishaanguka kutokana na criteria za ushindi wa kivita ambazo hazipimwi tu kwa kuchukua eneo husika kwa asilimia [emoji817].

Ndo maana juzi mkuu wa wagner kasema legally bakhumut ishaangauka. Sasa nini zelesnky anafanya Ili kuaminisha jmma kua bakhumut haijaanguka??

Anachofanya zelezky ni hiki misaada anayotumiwa, mamluki pamoja na wanajeshi wa kiukraine wanaofundishwa nchi mbalimbali. Anawatuma in batalion bakhumut KILA baada ya mda fulani wakiwa full equipment na siraha za kisasa za nato na USA.

Ikifyekwa anatuma nyingine kwa sharti la kuto kusalenda au kuretreat.
That means wanajeshi wa ukraine hapo bakhumut wanapitia kipindi kigumu sana ila zelezky hajali na kwa kua bado risasi zinalindima hapo bakhumuti anasema bakhumut haijakombolewa.

Ndo maana wataalamu wa vita wakichukua hasara ya ukraine hapo bakhumut na nguvu anayoitumia wanaconclude kua ishaangauka kitambo.

Kipropanganda zelesky kafanikiwa pia kuwazuia warusi wasisonge mbele zaidi kwa kuwachelewesha hapo bakhumuti kafanikiwa ila ukweli haujifichi hii mbinu ni msiba KWA zelesky time will tell.

Upande wa urusi hata ikipigana miaka kumi hapo bakmuti hakuna anachokipoteza kwa sababu yeye malengo yake yanaendelea kutumia ambayo ni kuendelea kuwaua wanazi kuzoofisha jeshi la ukraine na kuifanya ukraine iendelee kua maskini
Pia kaa upande mwingine anaendelea kuizoofish NATO,USA Pamoja na umoja wa ulaya.

KWA hiyo mrusi kuwepo hapo bakhumuti hata kwa miaka kumi hakuna tatizo as longer malengo yake ya SMO yanatimia akiwa hapohapo bakhumuti.
 
Sio kwamba hawezi anawezaa shidaa ni akiingia moja kwa moja atawekewaa vikwazo na biashara nyingi zitaziliwaa hivyoo Russia na china wote watapotezaa so yupo nutral ili urusi isimame
Kweli kabisa!
 
Huyo tulisema toka mwanzo hatumgusi hata aje Moscow bila mwaliko haguswi huyo.
Mkuu upo serious au unatania?Rejea mwanzoni mwa vita majaribio ya kumuua au kumwondosha ikuru(kuwa ni kiongozi wa neo nazi).mpaka kuombwa wanajeshi wa ukraine wampindue ili vita iepukwe.mkuu jaribu kuangalia uhalisia au otherwize si mfuatiliaji wa vita hii hasa kabla ya 2014.
 
Vaisi vasa.
Kama hujui sema tukufahamishe kiungwana TU.
Toka zama za cold war,USSR ndio iliyokua imepandikiza majasusi wengi ndani ya USA na nchi za west kuliko wao.
Ussr ndio nchi katika cold war iliyokua inakamata majasusi wengi wa USA na west kuliko wao.
Hayo yote yamerithiwa na Russian federation.
Ungekua ni mpenzi wa kujisomea machaposho mbalimabali ya cold war ungejua mengi ya kushangaza.
 
Mkuu mbona kama na wewe unaandika propaganda pia.unasema wanajeshi wa ukraine wanakufa then husemi kama wa urusi pia wanakufa.
pia unasema jeshi la ukraine linadhoofika lakini husemi kama upande wa pili pia vilevile(ila labda kwa sababu ya population kubwa kwa urusi dhidi ya ukraine
140+ kwa 43)
mkuu muda mwingine ukikosoa propaganda basi jitahidi kuwa neutral na si kuaminisha kuwa upande wako siyo propaganda ila wa pili ni propaganga(ila humu jukwaani propaganda ni nyingi kwa pande zote japo kuna upande umezidi)
 
Nilishawaambia wale supporter wa machoko Ukraine na NATO kuwa Russia anapigana kushinda. Haijalishi itachukua karne ngapi ila Malengo lazima yafikiwe. Taratibu mtaanza kumuelewa anachokifanya.
Mkuu kwanini usitumie lugha ya staha au mzuri kueleweka zaidi ya matusi yenye kuudhi.ushauri tu maana sometimes age ina influence behavior.
 
Wazee wa Photoshop [emoji28][emoji1787]


Ukraine’s military intelligence said that the supposed classified war files leaked online were forged by Russia.

“In recent decades, the most successful operations of the Russian special services took place in Photoshop,” Defense Ministry’s Main Intelligence Directorate spokesperson Andrii Yusov said on television, as quoted by Ukrainska Pravda.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa "3:1 Rule of Combat". Invading force inabidi iwe kubwa mara tatu ya defending force kama wana nguvu sawa kwenye front. Russia inahitaji wanajeshi wengi zaidi kupiga Bakhmut kuliko Ukraine. Hivyo hivyo kwenye loss za KIA na WIA Russia inapata wengi zaidi ya Ukraine kwa mathematical model hii ambayo iko proved since WW1 na WW2 na vita mbalimbali.

Russia nayo inapoteza wanajeshi, inatumia resources na budget, inapoteza zana za kivita, wear and tear inaleta logistical nightmare na service, battle fatigue, demoralising the troops watu mnapigana tangu May 2022 mnatokea Luhanks iko chini ya Urusi tangu 2014 na iko kama 150km kutoka Bakhmut ilipo ila hadi leo kuchukua eneo lililo umbali wa 150k mnashindwa wakati mnajiita second strongest army in the world. Nchi ishaanza kutumia vifaru model ya enzi Mwalimu Nyerere anavaa kaptula wewe unadai inaweza pigana miaka 10😂

Kuwazuia Warusi wasisonge mbele sio propaganda, ndio vita yenyewe hiyo, au ulitaka waimbiwe kwaya. Kwani malengo ya Ukraine ni nini kama hilo sio mojawapo.
Urusi haina uwezo kupigana sehemu yoyote miaka kumi, labda wawe waasi wavaa makatambuga. Last time I checked USSR ilipigana na Mujahedeen pale Afghanistan wakashindwa vita wakaondoka 1989, na 1992 wakavunjika muungano. Hapo walijitutumua kupigana miaka mingi wakaambulia kusaga uchumi wao, Russia yenyewe ndio ilikuwa mstari wa mbele kuvunja muungano.
 
,[emoji298][emoji298] British intelligence says Moscow failed to bring Ukraine’s unified energy system to collapse during the fall and winter, so this campaign was effectively curtailed.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sikiliza at your own risk



Pro NATO mnatakiwa kusikiliza hii ni muhimu
LoL tamu sana hii.
Ila pro something watasemq ni maoni yake.
Hata majenerali wastaafu na wakuu wa majasusi wastaafu wa USA wakisema kama hivi,utasikia vijenero vya Jf vinawapinga kua hayo ni maoni Yao.
Ila siku zote ukweli hua haujifichi.
Vladimir Putin ni kiongozi wa kikpekee katika zama hizi.
 
[emoji298][emoji298] From June 12 to June 23, NATO allies will hold the largest aviation exercise in their history, Air Defender 2023.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]The Cabinet of Ministers has approved a draft decision of the EU-Ukraine Association Committee in Trade Configuration, which creates conditions for Ukraine to acquire the EU internal market regime in the sphere of roaming.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…