Mimi siyo mdogo wako kwa vile unaelekewa kujau mambo mengi ya kusimuliwa kuliko mimi ninayejua yaliyokuwa yanatokea moja kwa moja nikiwa ni kijana mwemye akili zangu. Nyie mnaosomasoma maoni ya watu mbalimbali ndio mnaohitaji kusaidiwa kuelewa ukweli. Yote unayoongea ni ya kuambiwa kwani unaelekea hujui kuwa wakati Msumbiji inapigana vita ya msituni, Zimbabwe pia ilikuwa inapigana, Nambia nayo ilikuwa inapigana na Angola nayo ilikuwa inapigana. Notion ya kuhamishia mapambano kutoka Msumbiji kwenda Zimbabwe ni ya kinadharia inayootokana na kusoma hadithi mbalimbali na haisemwi na mtu mwenye kuelewa mabo kikamilifu.Bado unazunguka tu mdogo wangu. Unagusia gusia tu vitu vichache.
Hapa Key point ni Putin kuwepo Tanzania.
Nimekueleza sababu zipo nyingi tu za Putin kuwepo Tanzania.
1. MPLA ilikuwa inasaidiwa na Tanzania pomoja na USSR
2. Baada ya kuikomboa Msumbiji mapambano yalihamia kuikomboa Zimbabwe. Na kuna kambi zilizokuwepo zikiendelea na Mafunzo moja wapo ni Bagamoyo na Kongwa.
Sasa wewe umeng'ang'ania mwaka mmoja tu wakati hapo imeandikwa Putin akiwepo Tanzania 1973 - 1977.
Nimekuuliza Kuanzia 1975 mpaka 1977 Putin alikuwa wapi? Umebaki kubwabwaja tu.
Usiende nje ya mada. Hapa tunamuongelea Putin. Issue za Mnangagwa kwenda china sidhani kama ipo kwenye context.
WEWE LETA PROOF KUWA PUTIN HAJAWAHI KUWEPO TANZANIA DURING STRANGLE.
Ndiyo nakwambia kwamba wewe ni mfuasi wa nadharia za za kusoma sana. Kama Iringa watu wana uwezo wa kununua mahindi gunia kwa shilingi mia lakini Dar watu wana uwezo wa kununua gunia hilo kwa shilingi Elfu na wote wanapata gunia lao bila mahangaiko nani ni tajiri baina ya Iringa na Dar? PPP metric inapima hivyo; ndiyo maana nikakuambia itumie kwa umakini.Mzee unaandika maneno mengi context zero.
PPP kirefu chake purchasing power parity. Ni uwezo wa kununua.
Kama wananchi wanauwezo wa kununua bidhaa kuliko nchi yako tatizo liko wapi?
Unajua maana ya purchasing power parity?
Inakuuma kuitwa mdogo wangu.Mimi siyo mdogo wako kwa vile unaelekewa kujau mambo mengi ya kusimuliwa kuliko mimi ninayejua yaliyokuwa yanatokea moja kwa moja nikiwa ni kijana mwemye akili zangu. Nyie mnaosomasoma maoni ya watu mbalimbali ndio mnaohitaji kusaidiwa kuelewa ukweli. Yote unayoongea ni ya kuambiwa kwani unaelekea hujui kuwa wakati Msumbiji inapigana vita ya msituni, Zimbabwe pia ilikuwa inapigana, Nambia nayo ilikuwa inapigana na Angola nayo ilikuwa inapigana. Notion ya kuhamishia mapambano kutoka Msumbiji kwenda Zimbabwe ni ya kinadharia inayootokana na kusoma hadithi mbalimbali na haisemwi na mtu mwenye kuelewa mabo kikamilifu.
Elewa kuwa uhuru wa Msumbiji na Angola ulisaharakishwa baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyowaondoa Americo Tomas na Marcel Caetano madarakani huko Ureno. Wanajeshi walichoka kupigana vita isiyo na mwisho hivyo wakawaoandoa vinara hao wa ukoloni na kuweka serikali iliyoanza kuachia makoloni.
PPP inatumia exchange currency mdogo wangu. Hao watu wa Iringa na Dar wote wanatumia Tsh. Au hujui hilo?Ndiyo nakwambia kwamba wewe ni mfuasi wa nadharia za za kusoma sana. Kama Iringa watu wana uwezo wa kununua mahidni gunia kwa shilingi mia lakini Dar watu wana uwezo wa kununua gunia hilo kwa shilingi Elfu. lakini wote walapata gunia lao nani ni tajiri baina ya Iringa na Dar? PPP metric inapima hivyo.
Ndio nataka aelewe.
Kisa cha Idd Amin kuivamia Tanzania ni kutokana na na Askari wengi wa Tanzania walikuwa wakielekea Angola kuwasaidia ndugu zetu MPLA.
Baada ya Idd Amini kupata taarifa hizo kuwa askari wameenda Angola ndio aliivamia Tanzania.
Unazidi kuruka rukaruka tu. Wewe mwenyewe hujaweka proof kuwa Putin alikuwa Tanzania. Kama una uhakika huo leta copy ya passport yake yenye muhuli wa kuingia Tanzania kama hutaendelea kuruka ruka tu.Inakuuma kuitwa mdogo wangu.
Ona sasa hapa tunataka uweke proof kuwa Putin hakiwepo Tanzania. Hizi porojo zote nani anazitaka?
Nimekueleza sababu za Putin kuwepo Tanzania.
1. Vita vilivyokuwa vinaendelea huko Angola
2. Ukombozi bado uliluwa unaendelea kupitia Msumbiji kuikomboa Zimbabwe.
Kambi zilizokuwepo ni pamoja na Kongwa, Bagamoyo na Dakawa. Nimekuongezea kambi nyingine.
Wewe leta proof hatutaki porojo.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🇷🇺💪JDAMs
View attachment 2583458
Baada ya kukabidhiwa JDAMs, ukraine wakaanza kuzitumia wakiwa na matarajio kwamba zinaweza kubadili upepo wa vita
View attachment 2583432
Ila matokeo yamekuja kinyume na matarajio yao.
From NBC news, Kwenye moja ya documents zilizoleak, wanasema mojawapo imeonyesha kufeli kwa JDAMs wakati Ukraine wakizitumia.
Leaked secret Pentagon documents lift the lid on U.S. spying on Russia’s war in Ukraine
NBC News obtained more than 50 of the leaked documents, many of them labeled “Top Secret."www.nbcnews.com
wakaja na assumptions zao;
ya kwanza wanahisi fuses hazikua configured properly,
na hoja ya pili ni GPS signal issues, wenyewe wanasema "potentially caused by Russian jamming efforts"
View attachment 2583434
View attachment 2583437
Imewafanya mpaka U.S wameanza ku "study" sababu ya failure ya JDAM bombs hapo Ukraine,
View attachment 2583449
Kwa hoja ya kwamba Russian jamming efforts ndio imesababisha issues kwenye GPS signals za JDAMs mpaka kupelekea iwe na matokeo mabaya, basi ni hatua kubwa sana ya kiteknolojia.
Ni ujumbe pia kwa silaha nyingine guided zinazotumia GPS kwamba zinaweza kuwa jammed na zisitoe matokeo watakayotarajia
Nimekuuliza mwaka 1975 - 1977 putin alikuwa wapi? Leta jibu plz.Unazidi kuruka rukaruka tu. Wewe mwenyewe hujaweka proof kuwa Putin alikuwa Tanzania. Kama una uhakika huo leta copy ya passport yake yenye muhuli wa kuingia Tanzania kama hutaendelea kuruka ruka tu.
Wakati wa ujana wake wote, Putin hakuwahi kuishi Tanzania kama mkufunzi wa mafunzo ya kijeshi kwa wapigani uhuru.
Acha kusambaza uwongo.
Basi inawezekana pia hujui kuwa vipimo kama GDP PPP GNP vyote vinatumia dollar ya kimarekani; hata wewe mwenyewe ulitoa namba hizo kwa kutumia dollar hiyo hiyo ya kimerekani.PPP inatumia exchange currency mdogo wangu. Hao watu wa Iringa na Tanzania wote wanatumia Tsh. Au hujui hilo?
Unamjua Savimbi?Uongo mtupu... isitoshe chanzo cha Vita ya Kagera sio huu uongo ulioandika hapa....uhuru wa Angola ulikuwa mwaka 1975 na Vita ya Kagera mwaka 1979.
Halafu kasome vizuri historia ya Uhuru wa Angola, uone namna Tz awali haikutambua Uhuru huu sababu ya mvutano kati ya Mpla, Fnla na Unita.
Purcharsing Power ya wananchi wa nchi zinazounda Brics bado ina struggle na ina gaps(Matabaka) ingawa inaenda ikikua. Bado wana kazi kubwa ya kufanya, Ili wawe tishio ni lazima watengeneze soko kutoka kwa wananchi wao na si kutegemea soko la Ulaya.Nadhani mojawapo ya makosa mnayofanya ni ya kudhani kuwa uchumi unapangwa na serikali. Kama wewe ni msomi wa Macroeconomics, utakuja elewa kuwa efforts zote za kuiangusha Marekani kiuchumi zitakwama kwa vile uchumi wa mareklani unajeindesha wenyewe wakati nchi zote za kwenye Brics, labda ukiondoa india tu, zinategemea uchumi unaoendeshwa na serikali. Hizo kiswahili huwa tunazzita mbio za sakafuni.
Hiyo PPP metric unayotumiapia huenda hujui kuwa inategemea pia na kipato cha mwananchi wa kawaida. Kwa lugha rahisi sana ni kwama iwapo nchi inaingiza wastani wa Sh 10 halafu wanachi wa kawaida wengi anapata Tsh 0.50 tu, basi PPP ya nchi hiyo itakuwa ni Sh 20, wakati mapato ya wastani huo wa TSh 10 hizo hizo katika nchi ambayo kipato cha mwanachi wa kawaida ni Sh mbili, basi PPP ya nchi hiyo Sh5. Elewa kuwa PPP inaweza kuwa kubwa sana katika nachi zenye maskini wengi kulinganisha na zile ambazo wanachi wake wengi ni matajiri. Itumie meteric hiyo kwa makini.
Kwahiyo Infinix inayouzwa ndani ya China inauzwa kwa dollar? Hebu acha basi hizo mdogo wangu.Basi inawezekana pia hujui kuwa vipimo kama GDP PPP GNP vyote vinatumia dollar ya kimarekani; hata wewe mwenyewe ulitoa namba hizo kwa kutumia dollar hiyo hiyo ya kimerekani.
Mimi nakujibu kwa picha tu.Uongo mtupu... isitoshe chanzo cha Vita ya Kagera sio huu uongo ulioandika hapa....uhuru wa Angola ulikuwa mwaka 1975 na Vita ya Kagera mwaka 1979.
Halafu kasome vizuri historia ya Uhuru wa Angola, uone namna Tz awali haikutambua Uhuru huu sababu ya mvutano kati ya Mpla, Fnla na Unita.
Putin alimaliza chuo Summere ya 1975, akajiunga na KLGB Trainining kwa miaka mitatu, which means alimaliza mafunzo mwaka 1978 au 1979 hivi. Wewe mwenyewe hujui alikuwa wapi ila unaungaunga vistori tu. Asingekubaliwa kuwa ofisa wa KGB bila kukamilisha training ya miaka mitatu iliyokuwa inatakiwa ambapo pamoja na mambo ya kijeshi na silaha, na ukachero, walikuwa wanajifunza lugha za Kigeni; Puni alijifunza kiingereza na kijerumani.Nimekuuliza mwaka 1975 - 1977 putin alikuwa wapi? Leta jibu plz.
Wasiofahamu vyema historia yake wanamuita jasusi nguli....ila hii 'miscalculation' aliyofanya kuanzisha hii Vita imemvua huo 'unguli'.Na wewe pia kimbelembele; hiyo bio uliyoweka imenyesha wapi kuwa alikwenda Tanzania. Afterall inaonyesha kuwa alimaliza chuo mwaka 1975, kwa hiyo mwaka 1973 asingekuwa na sifa za kuwa mkufunzi wa mambo ya kijeshi kuja kufundisha Tanzania. Mwishoni mwa mwaka 1975 alijiunga na KGB kwa hiyo ilibidi apitie mafunzo mbalimbali ya ukachero na ya kijeshi, ambako alifeli mafunzo ya ukachero baada ya kukutwa ana poor judgement ya risk level. Kwa hiyo akawa ni ofisa wa KGB ambaye hakupewa mission risky akawa yuko makao makuu tu kwa muda mrefu sana. Poor judgement aliyoonekana nayo wakati huo ndiyo inayoleta hili balaa la Ukraine leo.
Hiyo picha haijibu chochote kwamba Putin alikuwa Tanzania.
Kwahiyo alizuiliwa kuja Tanzania kuwasaidia Agola kupigana na UNITA?Putin alimaliza chuo Summere ya 1975, akajiunga na KLGB Trainining kwa miaka mitatu, which means alimaliza mafunzo mwaka 1978 au 1979 hivi. Wewe mwenyewe hujui alikuwa wapi ila unaungaunga vistori tu. Asingekubaliwa kuwa ofisa wa KGB bila kukamilisha training ya miaka mitatu iliyokuwa inatakiwa ambapo pamoja na mambo ya kijeshi na silaha, na ukachero, walikuwa wanajifunza lugha za Kigeni; Puni alijifunza kiingereza na kijerumani.
Leta ushahidi wako kuwa alikuwa Tanzania anafundisha wapigania uhuru kwa kireno huku yeye mwenyewe akiwa anajifunza kiingereza na kijerumani wakati huo!
Mbona sasa unaanza kuwa mpumbavu. Hiyo comment nimekujibu wewe?Hiyo picha haijibu chochote kwamba Putin alikuwa Tanzania.
Hata mimi ninazo nyingi nilizochukua kutoka Daily News zamani kidogo. Ukitaka mashindano ya kuonyeshana picha za zamani nipe muda na mimi nikazivute kwenye DVD kwa kutumia computer nyingine kwani hii haina optical drive.