Hiyo counter offensive itafanyika lini.?Counteroffensive ikianza idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga itafikia kiwango hambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa hii vita!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo counter offensive itafanyika lini.?Counteroffensive ikianza idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga itafikia kiwango hambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa hii vita!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
"Global Isolation" ipi hiyo?Russia may see wider budget deficit as global isolation continues: IMF
Russia may experience a wider budget deficit and a smaller current account surplus this year, while global isolation dampens its economic growth prospects, the International Monetary Fund (IMF) said.
The IMF raised its 2023 Russia GDP forecast to growth of 0.7 percent from 0.3 percent, but lowered its 2024 prediction to 1.3 percent from 2.1 percent, saying it also expected labour shortages to further harm affect the economy.
By 2027, the IMF expects Russia’s economic output to be 7 percent lower than forecasts made before Moscow invaded Ukraine.
Russia Airborne...
😆😆😆😆😆🤣
Mgambo tu akiingia sokoni hapakaliki jamaa anakwambia Mamlaka na biashara hazihusiani. Hii nchi ngumu sana mkuu.
Kuna kitu kinaitwa Ration pack au MRE, ili kuifahamu vizuri zaidi ingia youtube andika MRE then chagua ya nchi husika uone vilivyomo kwenye package yake.Naomba nieleweshwe wakuu nimekuwa nikifatilia hii operation ya urusi tangu mwanzo ,ninachotaka kufahamu wanajeshi vitani wanakulaga chakula gani na kama cha kupikwa ni kwamba panatengwa mahali wanakuwa wanapikiwa kila mda na kusambaziwa au kinakuwa chakula let say cha makopo ambacho hukaa navyo mda mrefu wakiwa front ? Naomba ufafanuzi wa kina
Hii ni bonge la documentary.
Yaani huna unachojua Bora unyamaze. Hivi unajua maana ya ppp ?Nadhani mojawapo ya makosa mnayofanya ni ya kudhani kuwa uchumi unapangwa na serikali. Kama wewe ni msomi wa Macroeconomics, utakuja elewa kuwa efforts zote za kuiangusha Marekani kiuchumi zitakwama kwa vile uchumi wa mareklani unajeindesha wenyewe wakati nchi zote za kwenye Brics, labda ukiondoa india tu, zinategemea uchumi unaoendeshwa na serikali. Hizo kiswahili huwa tunazzita mbio za sakafuni.
Hiyo PPP metric unayotumiapia huenda hujui kuwa inategemea pia na kipato cha mwananchi wa kawaida. Kwa lugha rahisi sana ni kwama iwapo nchi inaingiza wastani wa Sh 10 halafu wanachi wa kawaida wengi anapata Tsh 0.50 tu, basi PPP ya nchi hiyo itakuwa ni Sh 20, wakati mapato ya wastani huo wa TSh 10 hizo hizo katika nchi ambayo kipato cha mwanachi wa kawaida ni Sh mbili, basi PPP ya nchi hiyo Sh5. Elewa kuwa PPP inaweza kuwa kubwa sana katika nachi zenye maskini wengi kulinganisha na zile ambazo wanachi wake wengi ni matajiri. Itumie meteric hiyo kwa makini.
Asante kwa kunisaidia kumuelewesha.Mzee unaandika maneno mengi context zero.
PPP kirefu chake purchasing power parity. Ni uwezo wa kununua.
Kama wananchi wanauwezo wa kununua bidhaa kuliko nchi yako tatizo liko wapi?
Unajua maana ya purchasing power parity?