Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji16][emoji16][emoji16]

Mtaani kwangu hapa Duka la kwangu mwenyewe, mtaji wa kwangu mwenyewe but Ngazi karibu na mwisho kimamlaka. Si mwingine bali Mwenyeketi wa Mtaa anaweza kuniandikia Notice ya kutaka nisitishe shughuli zangu kwasababu atakazoziona kwa maslahi ya jamii inayotuzunguka na nisiwe na pingamizi zaidi ya kutii, Endapo nikakaidi nikatupwa ndani kwa kudharau Mamlaka.

Watoto mnaowaeleza wanashinda nyuma ya Sim zao kusoma Udaku kwenye jamii zinazo wazunguka hakuna lolote wajualo. Poleni ila mtafika tu japo kwa kuchoka sana [emoji848][emoji847].
Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa vijana wa sasa.

Yaani li mtu limeshasahau juzi tu hapa Makonda alivyotoaga amri ya marufuku ya kufungua biashara siku ya jumamosi mpaka saa nne asubuhi

Hadi kariakoo maduka yalikuwa yanachelewa kufunguliwa.

Halafu li mtu linakuja kusema eti sera au amri ya serikali haina impact kwenye private business.

Haya ndio yale matoto yaliyozaliwa huku mama zao wanakula mi-P2 kwa wingi. Kichwa kimejaa maji matupu.
 
Denmark is aiming to start supplying Ukraine with Leopard 1 tanks "by the summer," Danish Defense Minister Troels Lund Poulsen said on April 10.

Speaking during a joint press briefing with Ukrainian Defense Minister Oleksii Reznikov, Poulsen said "looking forward half a year" that allies can potentially supply Ukraine with up to 100 Leopard 1 tanks.

Learn more: Denmark to transfer Leopard 1 tanks, Caesar howitzers to Ukraine by summer

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mpaka saizi Ukraine imepokea zaidi ya leopard 200 kwenye post na magazeti[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa vijana wa sasa.

Yaani li mtu limeshasahau juzi tu hapa Makonda alivyotoaga amri ya marufuku ya kufungua biashara siku ya jumamosi mpaka saa nne asubuhi

Hadi kariakoo maduka yalikuwa yanachelewa kufunguliwa.

Halafu li mtu linakuja kusema eti sera au amri ya serikali haina impact kwenye private business.

Haya ndio yale matoto yaliyozaliwa huku mama zao wanakula mi-P2 kwa wingi. Kichwa kimejaa maji matupu.
🤣
Mgambo tu akiingia sokoni hapakaliki jamaa anakwambia Mamlaka na biashara hazihusiani. Hii nchi ngumu sana mkuu.
 
[emoji845][emoji3575]Ukrainian airspace will be opened as soon as military actions are over and Ukraine wins, State Air Traffic Service Enterprise of Ukraine reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Foreign Ministers Dmytro Kuleba of Ukraine and Zbigniew Rau of Poland have discussed the needs of the Ukrainian Armed Forces and agreed on the need for decisive steps to be made at the upcoming NATO summit in Vilnius.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine's goal of defeating the aggressor country and rebuilding a strong and democratic Ukraine as part of the European Union and NATO remains unchanged, Ukrainian Prime Minister Denys Shmyhal wrote on Telegram.#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakati kikwete akiwa MKUFUNZI Monduli alikuwa na umri Gani !!??
Mkuu Mimi kuna sehemu kulitokea ubishi mkubwa Mimi nilisema Putin aliishi tz lakini ukweli nilikosa facts za kusapoti hoja yangu kupitia vyombo mbalimbali vinavyoaminika, na nilikubali kushindwa Kwa kukosa ushahidi,

Sasa kama unavyanzo vya kuaminika vinavyothibitisha kuwa Putin aliishi tz naomba unipe, maana inanisaidia na Mimi kwenda kutoa darasa sehemu
 

Egyptian official denies leaked intelligence suggesting Egypt's military was producing weapons for Russia​

From CNN’s Mostafa Salem and Anna Chernova


A senior Egyptian official denied that Egypt’s military was planning to produce 40,000 rockets for Russia, following a report from The Washington Post citing a leaked US intelligence document, Egyptian state-affiliated media said.

A leaked US intelligence document obtained by The Washington Post said Egypt’s President Abdel Fattah el-Sisi instructed officials to keep production and shipment secret "to avoid problems with the West."

The "top secret" document from February contains purported conversations between Sisi and senior Egyptian military officials, according to the newspaper. It referenced plans to supply Russia with artillery and gunpowder, with Sisi asking officials to keep the plans a secret, The Washington Post reported.

CNN has not seen the document cited by the Washington Post and is not able to confirm its authenticity.

The unnamed Egyptian official called the report "informational absurdity" and said that Egypt follows a "balanced policy" with all international parties, according to Al Qahera News, a state-affiliated media outlet. The statement was also carried by several other Egyptian state-affiliated news outlets.

Egypt is one of the world’s top recipients of US military aid, receiving $1.3 billion in military financing annually.

What Russia says: Russia’s Kremlin spokesperson Dmitry Peskov called the information a "hoax."

"It looks like another hoax, of which there are plenty now. This is how you should treat such publications," Peskov said in response to a question from a journalist on the report.

CNN has reached out to the Egyptian Ministry of Foreign Affairs for comment.

Remember: Highly classified Pentagon documents leaked online in recent weeks have provided a rare window into how the US spies on allies and foes alike, deeply rattling US officials, who fear the revelations could jeopardize sensitive sources and compromise important foreign relationships.

=========================

Supa-pawa wa kuchora amegeukia Misri kununua silaha....
 

Russia may see wider budget deficit as global isolation continues: IMF​

Russia may experience a wider budget deficit and a smaller current account surplus this year, while global isolation dampens its economic growth prospects, the International Monetary Fund (IMF) said.

The IMF raised its 2023 Russia GDP forecast to growth of 0.7 percent from 0.3 percent, but lowered its 2024 prediction to 1.3 percent from 2.1 percent, saying it also expected labour shortages to further harm affect the economy.

By 2027, the IMF expects Russia’s economic output to be 7 percent lower than forecasts made before Moscow invaded Ukraine.
 
Back
Top Bottom