LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yeye alenge tuu ila kichapo ndio anakula, yaani Yale mavifaru yanageuzwa chuma chakavu 😀😀😀
 
Atakuwa anauza au anagawa? 😁😁 ,Mbona hashushi sasa
 
Nisaidie kuelewa mantiki yako. Gharama ya feleji (steel, si chuma=iron) kwenye gari ni labda 15%. Piga hesabu gharama inahitaji kiasi gani hadi bei ya gari ni mara mbili.
kama Urusi inashusha bei ya chuma (msingi wa feleji), kwa nini bei yake ipande kwenye soko la dunia? Si kushuka?
Maana Urusi inazalisha sehemu ya 1/25 ya chuma duniani. Wasipouza kitu, bei itapanda kidogo. Wakishusha bei, wazalishaji wengine wanapaswa kushusha pia. Au vipi?
RankCountryUsable iron ore
production
(1000 tonnes)
Year
World
2,500,000​
2019
1 Australia
930,000​
2019
2 Brazil
480,000​
2019
3 China
350,000​
2019
4 India
210,000​
2019
5 Russia
99,000​
2019
6 South Africa
77,000​
2019
7 Ukraine
62,000​
2019
8 Canada
54,000​
2019
9 United States
48,000​
2019
10 Kazakhstan
43,000​
2019
 
Mzee ili chuma kiwe chuma lazima kiyeyushwe. Na nishati simple and cheap ya kuyeyushia chuma ni coal. Kumbuka Kazakhstan, Ukraine zitakuwa upande wa Russia.
 

Em tuzitizame hizi picha.... Af mnisaidie ni propaganda au reality...

Hivi

Hyo alama ni hapa chini


Na kuna post nyingine ya NATO hii apa chini


Hyo picha ya huyo Dada iangalie vizuri

Angalieni hyo badge ya kifuani

Ndo ile ile ya black sun

Hivi apa kuna nn Ukraine... Mmmh🤔

Angalieni tena na hii ya Mzee Zelensky

Iangalie vzur hyo alama kwenye bendera

Ndo hii ilopostiwa apa na huyu jamaa...
Af angalia maana ya hyo symble


Vipi wadau na hizo ni propaganda?
 
Kila mtu ashinde mechi zake...... Wazungu wanahishangaa imekuwaje vita vipiganwe ulaya?
Vita si kwajili ya asia na afrika?
Neo nazi hao
 
Ukiambiwa huna akili unaaanza kulia lia emu jisomee hiki ulichoandika uone kama kweli hiki kilifaa kuandikwa na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…