Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
fafanua, ni kwa namna gani? nisije kuwa naongea na zombie hapa.Upeo wako ni mdogo sana na akili zako ni finyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fafanua, ni kwa namna gani? nisije kuwa naongea na zombie hapa.Upeo wako ni mdogo sana na akili zako ni finyu.
Ufafanuzi wa nini Chapwa? Mambo mengine acha yajipitie.fafanua, ni kwa namna gani? nisije kuwa naongea na zombie hapa.
Umeona uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo. Hivi kweli kwa akili yako unaamini kuhusu zombies!? Unaishi kwenye fantasy world mwanangu. Amka kutoka usingizini.fafanua, ni kwa namna gani? nisije kuwa naongea na zombie hapa.
Maana yake ni nini? Vipi mgogoro huu utasaidia Italia kufikia ubora wa Finland? Si rahisi...Hadi [emoji634] Italy hali ni kama ya finland
wewe ni wa kukuignore tu.Umeona uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo. Hivi kweli kwa akili yako unaamini kuhusu zombies!? Unaishi kwenye fantasy world mwanangu. Amka kutoka usingizini.
Basi usijifanye mjuaji wakati akili huna. Upo na inferiority complex mwanangu.wewe ni wa kukuignore tu.
Yeye alenge tuu ila kichapo ndio anakula, yaani Yale mavifaru yanageuzwa chuma chakavu 😀😀😀We've also been hearing today from Russian Deputy Foreign Minister Sergei Ryabkov.
He has warned Western arms convoys to Ukraine could be “legitimate targets” for the Russian Armed Forces.
Speaking on state TV, Mr Ryabkov said: “We have warned the US that pumping weapons into Ukraine, which they have orchestrated, from a number of countries, is not just a dangerous move - it is a move that turns these convoys into legitimate targets.
"We have warned of the consequences that can result from this reckless transfer to Ukraine of such types of weapons as portable air-defence systems, anti-tank missile systems and so on.”
The minister then claimed that the US did not take Russia’s warnings seriously.
Tanzania na sisi tununue hizi MANPAD na zile drones za Uturuki, Russia kala kibondo sana
Atakuwa anauza au anagawa? 😁😁 ,Mbona hashushi sasaKwa hili wataoumia sio china wala russia ila ulaya.
Hapa russia anaweza kushusha bei ya raw materials zake akawauzia washirika kama china na india, production cost zitazid shuka huku za ulaya zikizid panda. Mfano kama tan moja ya chuma ishafika usd 100,000 unategemea scania gari za ulaya bei yake itaruka kwa mara mbili ya bei yasasa huku mchina akiendelea kupata chuma kwa bei rahisi, mwisho wa siku viwanda ulaya vitafirisika au vitalazimika kuhamia kwenye nchi ambazo raw material iko chin.
Mfano leo tu karibia nusu ya viwanda finland viko hoi sabab ya bei ya umeme hapa hatujafikisha mwez.
Nchi ulaya zinaenda firisika kwa mgogoro huu
Nisaidie kuelewa mantiki yako. Gharama ya feleji (steel, si chuma=iron) kwenye gari ni labda 15%. Piga hesabu gharama inahitaji kiasi gani hadi bei ya gari ni mara mbili.Kwa hili wataoumia sio china wala russia ila ulaya.
Hapa russia anaweza kushusha bei ya raw materials zake akawauzia washirika kama china na india, production cost zitazid shuka huku za ulaya zikizid panda. Mfano kama tan moja ya chuma ishafika usd 100,000 unategemea scania gari za ulaya bei yake itaruka kwa mara mbili ya bei yasasa huku mchina akiendelea kupata chuma kwa bei rahisi, mwisho wa siku viwanda ulaya vitafirisika au vitalazimika kuhamia kwenye nchi ambazo raw material iko chin.
Mfano leo tu karibia nusu ya viwanda finland viko hoi sabab ya bei ya umeme hapa hatujafikisha mwez.
Nchi ulaya zinaenda firisika kwa mgogoro huu
| Rank | Country | Usable iron ore production (1000 tonnes) | Year |
|---|---|---|---|
| World | 2,500,000 | 2019 | |
| 1 | 930,000 | 2019 | |
| 2 | 480,000 | 2019 | |
| 3 | 350,000 | 2019 | |
| 4 | 210,000 | 2019 | |
| 5 | 99,000 | 2019 | |
| 6 | 77,000 | 2019 | |
| 7 | 62,000 | 2019 | |
| 8 | 54,000 | 2019 | |
| 9 | 48,000 | 2019 | |
| 10 | 43,000 | 2019 |
Mzee ili chuma kiwe chuma lazima kiyeyushwe. Na nishati simple and cheap ya kuyeyushia chuma ni coal. Kumbuka Kazakhstan, Ukraine zitakuwa upande wa Russia.Nisaidie kuelewa mantiki yako. Gharama ya feleji (steel, si chuma=iron) kwenye gari ni labda 15%. Piga hesabu gharama inahitaji kiasi gani hadi bei ya gari ni mara mbili.
kama Urusi inashusha bei ya chuma (msingi wa feleji), kwa nini bei yake ipande kwenye soko la dunia? Si kushuka?
Maana Urusi inazalisha sehemu ya 1/25 ya chuma duniani. Wasipouza kitu, bei itapanda kidogo. Wakishusha bei, wazalishaji wengine wanapaswa kushusha pia. Au vipi?
Rank Country Usable iron ore
production
(1000 tonnes)Year World 2,500,0002019 1 Australia
930,0002019 2 Brazil
480,0002019 3 China
350,0002019 4 India
210,0002019 5 Russia
99,0002019 6 South Africa
77,0002019 7 Ukraine
62,0002019 8 Canada
54,0002019 9 United States
48,0002019 10 Kazakhstan
43,0002019
Kwa sasa tupo kwenye mji huu wa Mariupol.kiev tutafika tu wala aina shidaKuna watu walisema leo kiev ina pigwa show ya kibabe na kubebwa mpo wapi bhanaaa[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 2148270
We jitoe ufahamu, video imewekwa na wizara ya ulinzi ya Russia leo hiiHawa walikufa wote
Wamesanda. Ngoja suone.The head of EU diplomacy, Borrell, said that the EU would not interfere in the situation in Ukraine by military means, but would harm the Russian economy. Galip SV Liwagu View attachment 2148277
Neo nazi haoView attachment 2148260
Em tuzitizame hizi picha.... Af mnisaidie ni propaganda au reality...
View attachment 2148263
Hivi
View attachment 2148264
Hyo alama ni hapa chini
View attachment 2148267
Na kuna post nyingine ya NATO hii apa chini
View attachment 2148268
Hyo picha ya huyo Dada iangalie vizuri
View attachment 2148272
Angalieni hyo badge ya kifuani
View attachment 2148273
Ndo ile ile ya black sun View attachment 2148274
Hivi apa kuna nn Ukraine... Mmmh🤔
Angalieni tena na hii ya Mzee Zelensky
View attachment 2148279
Iangalie vzur hyo alama kwenye bendera
View attachment 2148280
Ndo hii ilopostiwa apa na huyu jamaa...
Af angalia maana ya hyo symble
View attachment 2148282
Vipi wadau na hizo ni propaganda?
Huko mlifika kitambo mume stuck hapo hapo.Kwa sasa tupo kwenye mji huu wa Mariupol.kiev tutafika tu wala aina shidaView attachment 2148271
Ukiambiwa huna akili unaaanza kulia lia emu jisomee hiki ulichoandika uone kama kweli hiki kilifaa kuandikwa na weweKwa hili wataoumia sio china wala russia ila ulaya.